Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Ukiona unakopesheka jua unachakulipa, uwezi pata mkopo mkuu kama hauna kitu, nayo hayo ni maendeleo.
 

Asiye kuelewa atakuwa na matatizo ya akili...
 
Hili lako ndio povu!!.. wewe ungejibu tu ....kama unatoa uchambuzi chambua lakini usiseme shida wengi ni below average!!....Hii nikujiona wewe uko above average!! So nikataka tujue kamchango kako ka Annua GDP
Vipi Jomba, povu la nini?! Kwani kuna mahali umetajwa kwamba nawe ni miongoni mwa hao walio below average?!
 
Sasa itakuwaje maana Zitto kila siku anatuambia; exports zimeshuka, ohoo hi miradi aina faida, mara atufundishe mambo ya GDP na kwa mujibu wa data zake serikali inaongopa sijui nini na nini ina maana alikuwa anatuvuruga tu siku zote.
 
Nchi ilishafika hapo since 2018
 
Wewe ambaye uko above average mind umetusaidia nn....kwenye hili taifa....ushangae hata Kodi tu unakwepa!!? ......Hawa wajuaji wa mdomoni wanatuchelewesha Sana...
Ameweka data hapo pamoja na kuzitolea ufafanuzi. Sasa anakuchelewesha kivip?!
 
Hili lako ndo povu!!.. we ungejibu tu ....kama unatoa uchambuz chambua lakin ucseme shida wengi n below average!!....Hii nikujiona wewe uko above average!! So nikataka tujue kamchango kako ka Annua GDP
Anayetaka kujua anauliza, lakini wewe from nowhere ukaleta uncertainty zako kwamba I'm possibly ni mkwepa kodi!

Sasa kama sio povu tuite nini hicho?! Yaani post mzima umeona mstari wa mwisho badala ya kujadili mada kuu?! Je, wale wanaozungumza masuala ya nyumbu, umewahi kuhoji u-simba au u-tembo wao?!
 
Reactions: Pep
Kwa hiyo mpaka kufikia hapo sisi ndio tunakuwa tunalingana na nchi zipi za wazungu kiuchumi yaani? Ufafanuzi tafadhali
 
Wewe ndiyo bure kabisa umeandika nini sasa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…