Ata izo benki binafsi aswa matawi makubwa nayo shida tupu ,wanachofanya nikubana gharama za uendeshaji wa ayo matawi kwa kuwa na idadi fulani ya teller kutokana na ukubwa wa branch na ndio wanavyofeli kuna NMB MADARAKA TANGA nayo ni jipu unaweza kwenda kutaka huduma kwa tellers ukaipata baada ya masaa 2 na kuendelea kutokana na nyomi ya watu na watoa huduma wachacheKama ni benki ya serikali, hakùna shida,nenda benki binafsi.
Mkuu ita meneja wa bank mkalisheni kikao!tellers room ziko nne
ajabu tuko na mtu .moja tu aisee
Sio zoteMabenki yetu yana huduma mbovu sana.
Pole mkuu...HIVI MMEKOSA WAFANYAKAZI??
AMA WAFANYAKAZI WANAFANYA KAXI KWA MAZOEA??
HII MARA YA TATU NIMETOKA HAPO MLIMANCITY TUMEPANGANA KAMA WATU 12 MHUDUMU N MMOJA TU HUU N USHENZI
WEWE UNAEPANGA KUTOA HELAAA KUWEKA NENDA SEHEMU ZINGINE BRANCH OVYOO KABISA
MBAYA ZAIDI WANAKUJA WAZUNGU AMA WAHINDI WANAPELEKWA MOJAKWAMOJA COUNTER
MLIOFOLEN MNAMBIWA SUBIRIN
SHAAAAAA
CC
MANAGER
DIR
Haya makubwa ni yote tu, branch hii inafanya vizuri ila nyingine hovyo kabisa hakuna usawa wa huduma kati ya branch na branch japo ni Benki ile ile.Sio zote
Wee mweusi mwe,ao wanakuona takataka...aisee magu aliwanyoosha hawa watuHivi mmekosa wafanyakazi??
Ama wafanyakazi wanafanya kaxi kwa mazoea?
Hii mara ya tatu nimetoka hapo mlimancity tumepangana kama watu 12 mhudumu n mmoja tu huu n ushenzi
Wewe unaepanga kutoa hela kuweka nenda sehemu zingine branch ovyo kabisa.
Mbaya zaidi wanakuja wazungu ama wahindi wanapelekwa moja kwa moja counter.
Mlio foleni mnambiwa subirini
Shaaaaaa
CC
MANAGER
DIR
Panya nao watafanya yao bora uweke kwenye simtankTunzeni hela makabatini
Kwani hao bank wanatunzia wapi hizo noti? kuwapelekea hela ni kuwawezesha wao na familia zao waishi vizuri, huku wewe mwenye fedha ukiambulia makato.Panya nao watafanya yao bora uweke kwenye simtank