Benki ya NBC ina mhudumu mmoja pamoja na kuwa na foleni

Ukifa ndo zimepotea hizo!
Zikiwa bank, ukifa unawanufaisha watu wa bank. Muhimu hapa ni kumshirikisha mwenzako mahali mnapotunzia salio.
Wengine tunakuwa masikini kwa sababu pesa zetu zinaenda kuwatajirisha wengine huko bank.​
 
Hao wanatoa posho 😀,bila posho Benki za eneo hasa Kariakoo huduma utasikia tu
 
Hao wanatoa posho 😀,bila posho Benki za eneo hasa Kariakoo huduma utasikia tu
MKUU SASA NAKUELEWA

KWA NN

KUNA WAHINDI WAMEKUJA MDA TOFAUTI
WAKAMWONA JAMAA SIJUI N MANAGER AMA MSAIDIZI GAFLA HUYO HUYO MWAMBA AKASOGEA GOLINI TUNAPOSUBIRIA WTU 12
TUKAMBIWA TULIEN JAMAA AKAPEWA HUDUMA AKAONDOKA

ILIPOKARIBIA KWANGU KAJA MWINGINE HAWA NAHISI MARUBANI MAANA WALIKUWA WAMEMWAGIKA KAMA WOTE LEO MLIMAN CITY
HAWA WAKAJA STRAIGHT TUKAMBIWA TULIA....

HAHAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…