Benki yapiga mnada nyumba ya mwandishi wa habari wa Gazeti la RAIA MWEMA kisa deni la Tsh. Milioni 5.2

sukuma gang pamoja na kupigwa na kitu kizito na chenye ncha kali hapo 17/3/2021 lakini baado wana rusha mateke kwa hasira
mungu ndiyo keshaamua hivyo wakae kwa kutulizana
Kameze dawa zako
 
Mda mwingine watoto wanateseka kwa ujinga wa mama zao! Kuna wanawake wanakela mpaka thamani ya wanao unakuwa huioni!
 
Mbona umewaza Mimi kutangulia kufa?
Hujawaza ikitokea mke wangu kafa itakuaje?

Hebu acheni mambo ya kutuwazia mabaya bhana, kifo anapanga mola.

Hata wife anaweza kutangulia vile vile
Pond uko sahihi,nachukia watu wanaodhani mwanaume tu ndiye atakayetangulia kufa
 
Inapokuwa imepigwa mnada kwa milioni 30 ilhali deni ni milioni 5, za ziada zinakwenda wapi?
 
hee FINCA nayo ni benki?
 
kwani kama wameuza bei juu ile inayozidi si atapewa?
 
Kwani watu wanapitia maisha gani mpka wanakopa mbona mpka leo sijawahi kopa ili nifanye jambo bora nijichange na kubana matumizi nikiwekeza kwa jambo langu lijalo.

Sasa hapo watakaoteseka ni watoto mke anaweza akapata jibwana likamtuliza
Mshukuru mungu mzee usijione mjanja ulimi utakuoonze mzee
 
Deni milioni 5 nyumba imeuzwa zaidi ya hiyo pesa je iliyobaki baada ya kukata deni anapewa mhusika ama. Kitengo cha loan katika mabenki yetu ni wezi sana. Kuna muda fulani walitaka kumdhulum mzee mmoja nyumba akatia biti kali afisa mikopo akarudi nyuma.
 
Halafu huyu
Wabongo mnapenda sana kupepeta midomo kuliko kusoma taarifa kamili.

Hiyo taarifa inaonesha huwa jamaa yake kawafanyia makusudi.
Nadhani kulikuwa na mgogoro wa umiliki wa nyumba kati ya mume na mke, mume kabadilisha jina la umiliki ikaonyesha ni ya kwake. Hapo mtihani. Naona mume kamwaga mboga na ugali
 
Insurance haikulipii mkopo kwa sababu za hasara zako za kibiashara.

Insurance inakusaidia kukulipia pale ukifariki ama ukipata ulemavu wa kudumu tu
Hapo juu kadai bank imeuza nyumba ya marehem mme wake ambaye ndo alikopa
 
Nyumba ya thamanii ya zaidi milioni 50, inauzwa 30.

Hainiingii akilini mwamba akubali loss ya almost mil 20+ ya thamani ya nyumba Kwa ajili ya deni la milioni 4.7 ..........tena na mtu alietengana nae .......

Huyo mwamba akili nyingi imetumika hapo.
 
Mwanaume kakopa ki Siri Siri bila mke kuhusika katika Documents hizo na kisheria dada wa watu anayo haki nyumba ni Yao sio ya mme tu
Mwanaume kabadili umiliki wa nyumba
Mwanaume kakopa ki Siri Siri bila mke kuhusika katika Documents hizo na kisheria dada wa watu anayo haki nyumba ni Yao sio ya mme tu
Kuna kitu hakiko sawa. Kwa maelezo ya mke, mume kabadilisha umiliki nakufanya nyumba iwe yake peke yake. Na kuna kesi nyingine mahakamani. Isije ikawa mume kafanya makusudi kukomoa
 
🥺🥺🥺🥺 kiufup mtihani mkuu
 
Kuna kaka kamfanyia mkewe huu umafia. Deni ni milioni 70 sasa. Nyumba itauzwa soon. Mwanamke hana jinsi kajenga chumba kimoja sehemu anasubiria mnada akaanze maisha upya
 
Hainiingii akilini mwamba akubali loss ya almost mil 20+ ya thamani ya nyumba Kwa ajili ya deni la milioni 4.7 ..........tena na mtu alietengana nae .......

Huyo mwamba akili nyingi imetumika hapo.
Itakuwa bibie kamwaga mboga, bwana mkubwa kaondoka na ugali wenyewe kabisa
 
Naomba nisema pole sana kwa wana familia nzima, nasema ukweli kutengana Baba na Mama wanao umia ni watoto, nimeyapitia hayo maisha nayajua vyema sana, niwaombe wanaume wenzangu tujaribu sana kutuliza akili zetu hasa kipindi itokeapo migogoro na mke wako maana majanga tunayo waachia watoto wetu ni makubwa kuliko maamuzi tuanyoyachukuwa kwaajili ya kujipooza na magomvi yetu wazazi.
Kwa uono wangu hapo Baba kafanya kumkomoa huyo Mama lakini watakao teseka ni hao watoto, Mungu atuhurumie wazazi tuweze kuyaweka sawa maswala ya kifamilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…