Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kameze dawa zakosukuma gang pamoja na kupigwa na kitu kizito na chenye ncha kali hapo 17/3/2021 lakini baado wana rusha mateke kwa hasira
mungu ndiyo keshaamua hivyo wakae kwa kutulizana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kameze dawa zakosukuma gang pamoja na kupigwa na kitu kizito na chenye ncha kali hapo 17/3/2021 lakini baado wana rusha mateke kwa hasira
mungu ndiyo keshaamua hivyo wakae kwa kutulizana
Pond uko sahihi,nachukia watu wanaodhani mwanaume tu ndiye atakayetangulia kufaMbona umewaza Mimi kutangulia kufa?
Hujawaza ikitokea mke wangu kafa itakuaje?
Hebu acheni mambo ya kutuwazia mabaya bhana, kifo anapanga mola.
Hata wife anaweza kutangulia vile vile
hee FINCA nayo ni benki?View attachment 2436797
Nyumba hii ambayo ni mali ya Mary Victor Mahundi, mwandishi wa habari wa Gazeti la Raia Mwema la Dar es Salaam imepigwa mnada kwa Tsh. Milioni 30 ili kufidia deni la benki la Tsh. Milioni 5.2 ambalo alikuwa akidaiwa mume wa mwanahabari huyo.
Inaelezwa kuwa nyumba hiyo iliyopo Tabata, Kata ya Kinyerezi, Mtaa wa Kichangani ilipigwa mnada siku chache zilizopita na tayari mwandishi huyo na familia yake wametakiwa kutoka ndani ya nyumba ndani ya siku 14, leo Desemba 5, 2022 ikiwa ni siku ya 9 kati ya siku alizopewa kuhama.
Mary amesema taarifa hiyo ni ya ukweli na kudai kuwa alikuwa akifahamu juu ya deni hilo la mumewe lakini hakuwa anajua kilichokuwa kikiendelea hadi kufikia hatua ya nyumba hiyo kupigwa mnada.
“Nilikuwa Dodoma katika shughuli zangu za uandishi wa habari, nikapokea simu kutoka Serikali ya Mtaa kunijulisha kuwa nyumba yangu inapigwa mnada.
“Niliporejea nikapata nakala ya barua ya taratibu za nyumba kupigwa mnada moja ikiwa imetumwa katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya na benki wamefuata taratibu nyingine zote inavyotakiwa, lakini hilo deni ni la mume wangu ambaye kwa sasa hatupo naye pamoja.
View attachment 2436799
“Nimewasiliana na Mkuu wa Wilaya kumueleza hali ninayopitia kwa kuwa hii nyumba si ya mume wangu peke yake ni mali ya familia, yeye (mume) kwa sasa hayupo nasi anaishi sehemu nyingine, inamaanisha kuwa tutatakiwa kuondoka ndani ya siku hizo 14, na kuwa watatuletea mabaunsa na kututoa kwa nguvu. Mkuu wa Wilaya ameniambia anashughulikia suala langu.
“Wakati huohuo, napambana kutafuta msaada wa kisheria ili kuweka zuio kabla ya hakimu na Majaji kwenda likizo ya kufunga mwaka, kwa kuwa sikushirikishwa katika huo mchakato wao wa mnada,” anasema Mary.
Nyaraka za benki zinaonesha kuwa deni lililosalia ni Tsh. 4,759,368 (Milioni 4.7), asilimia 10 ya deni ni Tsh. 475,936, hivyo jumla deni ni Tsh. 5,235,304.
Mary ameongeza kuwa: "Naomba kama kuna yeyote ambaye anaweza kunipa msaada wa kisheria anisaidie katika hilo kwa kuwa hapa nawazi nitaishi vipi na wanangu, kwanu hata huyo mume bado nina kesi naye kwa kuwa alibadili nyaraka na kuofanya nyumba ionekane ya kwake peke yake wakati hii nyumba ni ya familia, nina watoto, nitaenda wapi mimi na watoto wangu!
View attachment 2436800
View attachment 2436801
kwani kama wameuza bei juu ile inayozidi si atapewa?View attachment 2436797

Mshukuru mungu mzee usijione mjanja ulimi utakuoonze mzeeKwani watu wanapitia maisha gani mpka wanakopa mbona mpka leo sijawahi kopa ili nifanye jambo bora nijichange na kubana matumizi nikiwekeza kwa jambo langu lijalo.
Sasa hapo watakaoteseka ni watoto mke anaweza akapata jibwana likamtuliza
Halafu huyuNaona watu mnaanza kumlaumu mwanaume, ila kwa mtiririko huu wa story huyo mama alijua kila kitu na yeye ndo anataka kufanya utapeli.
Hakuna bank inayokopesha bila consent ya mke au mume wa mkopaji.
Na mtu unavyokopa ukaweka rehani nyumba hivi unakuwa unategemea usipolipa nini kitokee?
Nadhani kulikuwa na mgogoro wa umiliki wa nyumba kati ya mume na mke, mume kabadilisha jina la umiliki ikaonyesha ni ya kwake. Hapo mtihani. Naona mume kamwaga mboga na ugaliWabongo mnapenda sana kupepeta midomo kuliko kusoma taarifa kamili.
Hiyo taarifa inaonesha huwa jamaa yake kawafanyia makusudi.
Hapo juu kadai bank imeuza nyumba ya marehem mme wake ambaye ndo alikopaInsurance haikulipii mkopo kwa sababu za hasara zako za kibiashara.
Insurance inakusaidia kukulipia pale ukifariki ama ukipata ulemavu wa kudumu tu
Nyumba ya thamanii ya zaidi milioni 50, inauzwa 30.
Mwanaume kabadili umiliki wa nyumbaMwanaume kakopa ki Siri Siri bila mke kuhusika katika Documents hizo na kisheria dada wa watu anayo haki nyumba ni Yao sio ya mme tu
Kuna kitu hakiko sawa. Kwa maelezo ya mke, mume kabadilisha umiliki nakufanya nyumba iwe yake peke yake. Na kuna kesi nyingine mahakamani. Isije ikawa mume kafanya makusudi kukomoaMwanaume kakopa ki Siri Siri bila mke kuhusika katika Documents hizo na kisheria dada wa watu anayo haki nyumba ni Yao sio ya mme tu
Mume hajafa, wametenganaHapo juu kadai bank imeuza nyumba ya marehem mme wake ambaye ndo alikopa
🥺🥺🥺🥺 kiufup mtihani mkuuView attachment 2436797
Nyumba hii ambayo ni mali ya Mary Victor Mahundi, mwandishi wa habari wa Gazeti la Raia Mwema la Dar es Salaam imepigwa mnada kwa Tsh. Milioni 30 ili kufidia deni la benki la Tsh. Milioni 5.2 ambalo alikuwa akidaiwa mume wa mwanahabari huyo.
Inaelezwa kuwa nyumba hiyo iliyopo Tabata, Kata ya Kinyerezi, Mtaa wa Kichangani ilipigwa mnada siku chache zilizopita na tayari mwandishi huyo na familia yake wametakiwa kutoka ndani ya nyumba ndani ya siku 14, leo Desemba 5, 2022 ikiwa ni siku ya 9 kati ya siku alizopewa kuhama.
Mary amesema taarifa hiyo ni ya ukweli na kudai kuwa alikuwa akifahamu juu ya deni hilo la mumewe lakini hakuwa anajua kilichokuwa kikiendelea hadi kufikia hatua ya nyumba hiyo kupigwa mnada.
“Nilikuwa Dodoma katika shughuli zangu za uandishi wa habari, nikapokea simu kutoka Serikali ya Mtaa kunijulisha kuwa nyumba yangu inapigwa mnada.
“Niliporejea nikapata nakala ya barua ya taratibu za nyumba kupigwa mnada moja ikiwa imetumwa katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya na benki wamefuata taratibu nyingine zote inavyotakiwa, lakini hilo deni ni la mume wangu ambaye kwa sasa hatupo naye pamoja.
View attachment 2436799
“Nimewasiliana na Mkuu wa Wilaya kumueleza hali ninayopitia kwa kuwa hii nyumba si ya mume wangu peke yake ni mali ya familia, yeye (mume) kwa sasa hayupo nasi anaishi sehemu nyingine, inamaanisha kuwa tutatakiwa kuondoka ndani ya siku hizo 14, na kuwa watatuletea mabaunsa na kututoa kwa nguvu. Mkuu wa Wilaya ameniambia anashughulikia suala langu.
“Wakati huohuo, napambana kutafuta msaada wa kisheria ili kuweka zuio kabla ya hakimu na Majaji kwenda likizo ya kufunga mwaka, kwa kuwa sikushirikishwa katika huo mchakato wao wa mnada,” anasema Mary.
Nyaraka za benki zinaonesha kuwa deni lililosalia ni Tsh. 4,759,368 (Milioni 4.7), asilimia 10 ya deni ni Tsh. 475,936, hivyo jumla deni ni Tsh. 5,235,304.
Mary ameongeza kuwa: "Naomba kama kuna yeyote ambaye anaweza kunipa msaada wa kisheria anisaidie katika hilo kwa kuwa hapa nawazi nitaishi vipi na wanangu, kwanu hata huyo mume bado nina kesi naye kwa kuwa alibadili nyaraka na kuofanya nyumba ionekane ya kwake peke yake wakati hii nyumba ni ya familia, nina watoto, nitaenda wapi mimi na watoto wangu!
View attachment 2436800
View attachment 2436801
Kuna kaka kamfanyia mkewe huu umafia. Deni ni milioni 70 sasa. Nyumba itauzwa soon. Mwanamke hana jinsi kajenga chumba kimoja sehemu anasubiria mnada akaanze maisha upyaKwa sisi wakopaji
Sikuhizi mambo yamerahisishwa Sana
Unaweza ukakopea nyumba ya familia bila hata mkeo kujua.(mi mwnyw mmoja wapo)
Cha muhimu unakwenda mahakamani unakula kiapo Cha sijaoa, KAZI imeisha
Mwanamke akikuzingua anakuta kila kitu kina mikopo tayari
Itakuwa bibie kamwaga mboga, bwana mkubwa kaondoka na ugali wenyewe kabisaHainiingii akilini mwamba akubali loss ya almost mil 20+ ya thamani ya nyumba Kwa ajili ya deni la milioni 4.7 ..........tena na mtu alietengana nae .......
Huyo mwamba akili nyingi imetumika hapo.
Na hela itarudishwa kwa aliyekuwa mume wake. Duu shida sanaKwa mujibu wa sheria ya benki,hela inayobaki inapaswa kurudishwa kwa muhusika.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app