Manepesa
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,065
- 3,714
Kwa maneno ya dharau ambayo kocha wa Berkane aliyoyasema kua Simba hawana ufundi ni dhahiri nilijua kua watakuja kucheza mpira wa playstation, ufundi mwingi na kushinda magoli mengi. Kwamba Simba wangejua outplayed.
Ila nilichokiona na wadau wa mpira nilikua nao tumeona tofauti, Simba imepiga mpira wa kufundishwa...mpira wa kiufundi...Hawa berkane they were outplayed...ni wadhaifu na Wachovu tu, walivyoona wamekuona outshined na outclassed vibaya mno, wanatumia silaha yao ya pili ambayo ni refa wa kimkakati waliyepewa ahakikishe wanawapunguza nguvu Simba...rejea huyu huyu ndio alihakikisha mamelodi apite mbele ya Yanga sports club kwa kukataa goli la wazi ukiacha ushabiki maandazi lakini tunajua mamelodi nayo ilipita kimkakati .
Sasa leo walijua kua wamekaliwa vibaya hivyo silaha yao kubwa ilikua ni refa wa kimkakati ambaye alitoa red cards kimkakati na pia ni bahati ya Mungu hata kocha wetu alibaki Hadi mwisho.
Pamoja na hayo ila sijawahi kuona spirit ya kiupambanaji na utaalam wa Hali ya juu wa Simba baada ya red card ya mchongo na kukataa goli la wazi.
Nami pia naungana na Mwana FA naibu Waziri wa michezo kua kuanzia Sasa tusipotezeane muda bingwa wa CAF wawe wanamuandaa.
Simba ni timu kubwa ..Simba ni tishio. Tutakutana. Sisi ni pipo.