900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
Siyo goliLile la Aziz Ki ni goli au sio goli?? 🤣🤣
Siyo goliLile la Aziz Ki ni goli au sio goli?? 🤣🤣
Sasa nikiwaambiwa Hawa wadau wanatokwa mapovu mengi mdomoni...kua huyo peke yake ndio hua anawekwa kimkakati haswa mechi za mtoano hatua ngumu kuanzia nusu fainali ama fainali ..Aziz ki alitoa machozi ...Tangu wananch tupoteze kombe ile mech hainitok akilin mpaka leo tulikosa lile kombe kwa kukosa uzoefu lakn boli tulicheza vizur mno
Mturudishie hela zetu 250k larefu sana acheni wizi. Kama mie ilivyoniuma 250k yangu wacha na nyie iwaume.Kwa maneno ya dharau ambayo kocha wa Berkane aliyoyasema kua Simba hawana ufundi ni dhahiri nilijua kua watakuja kucheza mpira wa playstation, ufundi mwingi na kushinda magoli mengi. Kwamba Simba wangejua outplayed.
Ila nilichokiona na wadau wa mpira nilikua nao tumeona tofauti, Simba imepiga mpira wa kufundishwa...mpira wa kiufundi...Hawa berkane they were outplayed...ni wadhaifu na Wachovu tu, walivyoona wamekuona outshined na outclassed vibaya mno, wanatumia silaha yao ya pili ambayo ni refa wa kimkakati waliyepewa ahakikishe wanawapunguza nguvu Simba...rejea huyu huyu ndio alihakikisha mamelodi apite mbele ya Yanga sports club kwa kukataa goli la wazi ukiacha ushabiki maandazi lakini tunajua mamelodi nayo ilipita kimkakati .
Sasa leo walijua kua wamekaliwa vibaya hivyo silaha yao kubwa ilikua ni refa wa kimkakati ambaye alitoa red cards kimkakati na pia ni bahati ya Mungu hata kocha wetu alibaki Hadi mwisho.
Pamoja na hayo ila sijawahi kuona spirit ya kiupambanaji na utaalam wa Hali ya juu wa Simba baada ya red card ya mchongo na kukataa goli la wazi.
Nami pia naungana na Mwana FA naibu Waziri wa michezo kua kuanzia Sasa tusipotezeane muda bingwa wa CAF wawe wanamuandaa.
Simba ni timu kubwa ..Simba ni tishio. Tutakutana. Sisi ni pipo.
Hakutaka kuangalia ni offside kivipi. Anyway, sioni kama ni tatizo msimu ujao tukapambane tena tuvuke robo fainali.Offside inavyoonesha
Hapo sasa. Au hakukuwa na Screen?
Offside wanaamua watu wa var refa hana sababu ya kwenda kucheki kama ni offsideNa zaidi alikua anakataa waziwazi kwenda kuangalia...
NB: Maelekezo.
Wakijibu nishtueLile la Aziz Ki ni goli au sio goli?? 🤣🤣
Mkuu shida sana kujenga hoja na mashabiki maandazi. Shida mno. Unatumia energy na akili Mingi for nothing hata haulipwi..akili mbovu kama walivyo berkane timu mbovu.Wewe ndio huna akili nadhani,...kwenye VAR alipaswa kwenda ili kuhakiki kama faulo aliyofanya ina deserve yellow card
Mlidhani mtakutana na 3 MWALONGOKwa Ugeni wa simba kwenye fainali, na uzito wa mechi yenyewe naungana na wewe kabisa kuwa maamuzi ya refa yamechangia kuwatoa simba mchezoni.
Huyu mwamuzi hakuwa na uwezo wa ku~handle pressure ya mchezo.
mfano ile red card ya kagoma mwamuzi ni kama aliipania sana, kwa sababu hakujihangaisha na VAR kuprove.
Akikushtua nishtueWakijibu nishtue
Malalamiko peleka LATRAMkuu shida sana kujenga hoja na mashabiki maandazi. Shida mno. Unatumia energy na akili Mingi for nothing hata haulipwi..akili mbovu kama walivyo berkane timu mbovu.
NB: kwenye var alikua anakataa wazi wazi kwenda sababu na naamin hata kwenye var walispot makosa ila aliyakataa nina uhakika na Hilo.
Hapo ndipo nilipopata mashaka Sana. Yeye masikio Tu,macho aaaNa zaidi alikua anakataa waziwazi kwenda kuangalia...
NB: Maelekezo.
Malalamiko peleka LATRASimba kaonewa sana,tena ktk namna nyingiii kuanzia mechi ya kwanza. Zimefanyika namna nyingi kumdhoofisha Simba
Ile kauli kuwa atakaye hujumu anauwawa pale pale uwanjani vipi,refa katoka,watanzania mkiwa mnasema muwe mnamaanishaHapo ndipo nilipopata mashaka Sana. Yeye masikio Tu,macho aaa
😂😂😂😂😂Tangu wananch tupoteze kombe ile mech hainitok akilin mpaka leo tulikosa lile kombe kwa kukosa uzoefu lakn boli tulicheza vizur mno
Team inayoweza kupata ubingwa wa CAF ktk awamu hii, nje ya waarabu ni MAMELODI Bas.Ni maelekezo mkuu...walishajua kinachoenda kuwatokea..gemu hii ilianza kuchezwa nje muda sana ...Aziz ki alilia siku Ile unafikiri mchezo...anyway kila lenye mwanzo Lina mwisho..nafikiri Sasa Simba itakua namna ya ku deal na Hawa mafia cartel wa CAF wanaoback up timu zao either zipenye kwenye hatua muhim ama kuchukua ubingwa...haswa timu za kiarabu...
Ndio nani huyoMlidhani mtakutana na 3 MWALONGO