Berkane ni timu dhaifu sana na wamepewa refa wa kimkakati kuwasaidia

Berkane ni timu dhaifu sana na wamepewa refa wa kimkakati kuwasaidia

Kwa hasira za ki-kolo, Karia na bodi ya ligi watalazimisha ubingwa wa ligi wa mchongo uende kwa 5imba, kwa kuifanyia figisu Yanga.
 
😅😅😅 Wanalunyasi wenzangu tusimsingizie Referee leo bwana Dahane amechezesha fair sanaaa
 
Kwa maneno ya dharau ambayo kocha wa Berkane aliyoyasema kua Simba hawana ufundi ni dhahiri nilijua kua watakuja kucheza mpira wa playstation, ufundi mwingi na kushinda magoli mengi. Kwamba Simba wangejua outplayed.

Ila nilichokiona na wadau wa mpira nilikua nao tumeona tofauti, Simba imepiga mpira wa kufundishwa...mpira wa kiufundi...Hawa berkane they were outplayed...ni wadhaifu na Wachovu tu, walivyoona wamekuona outshined na outclassed vibaya mno, wanatumia silaha yao ya pili ambayo ni refa wa kimkakati waliyepewa ahakikishe wanawapunguza nguvu Simba...rejea huyu huyu ndio alihakikisha mamelodi apite mbele ya Yanga sports club kwa kukataa goli la wazi ukiacha ushabiki maandazi lakini tunajua mamelodi nayo ilipita kimkakati .

Sasa leo walijua kua wamekaliwa vibaya hivyo silaha yao kubwa ilikua ni refa wa kimkakati ambaye alitoa red cards kimkakati na pia ni bahati ya Mungu hata kocha wetu alibaki Hadi mwisho.

Pamoja na hayo ila sijawahi kuona spirit ya kiupambanaji na utaalam wa Hali ya juu wa Simba baada ya red card ya mchongo na kukataa goli la wazi.

Nami pia naungana na Mwana FA naibu Waziri wa michezo kua kuanzia Sasa tusipotezeane muda bingwa wa CAF wawe wanamuandaa.

Simba ni timu kubwa ..Simba ni tishio. Tutakutana. Sisi ni pipo.
Ndio mpige short on target moja kwa dakika miambili halafu mkamlaumu refa? Wewe na huyo waziri wako wote hamna akili
Anataka bingwa ateuliwe kama yeye alivyopata ubunge wake kwa kuteuliwa na magu
 
Kwa hasira za ki-kolo, Karia na bodi ya ligi watalazimisha ubingwa wa ligi wa mchongo uende kwa 5imba, kwa kuifanyia figisu Yanga.
The only way ya kuupata ubingwa ni kuleta timu umfunge Simba, ukigoma umegawa mwenyewe.
 
Simba kaonewa sana,tena ktk namna nyingiii kuanzia mechi ya kwanza. Zimefanyika namna nyingi kumdhoofisha Simba
Tukio lipi ambalo Simba kaonewa? Mnataka magoli ya offside yawe yanahesabiwa? Berkane walipata goli la tatu kule Morocco lakini likakataliwa mkaona ni haki ila leo replay inaonesha wazi kabisa goli lililofungwa mchezaji alishakuwa katoka offside lakini mnaona sio haki.

Goli ambalo Simba walipata kutangulia, kulikuwa na faulo ya wazi kwa mchezaji wa Berkane lakini mwamuzi akapeta na Simba akanufaika kwa kupata goli la kutangulia mnaona ni haki kwenu.

Mechi dhidi ya Stellenbosch waamuzi waliwabeba sana mechi zote mbili na Simba iliingia fainali kwa mbeleko ya mwamuzi mkampa sifa kuwa anajua kuchezesha kisa tu alikuwa upande wa Simba.

Hakuna popote Simba alipoonewa
 
Tatizo lilianza kwa Fadlu kuropoka maneno ya hovyo, anasikiliza sana Singeli sikuhizi,

Mechi ile ya kwanza alijitapa Berkene watajuta kwanini hawakufunga magoli matatu
Lilivyopatikana goli la kutangulia, wakati mechi ikiwa inaendelea akawageukia mashabiki kisha akawa anawaaminisha shughuli imeisha washangilie. Nikajisemea kimoyo moyo kuwa anaweza kuumbuliwa kama alivyofanyiwa dhidi ya Azam.
 
Kwa maneno ya dharau ambayo kocha wa Berkane aliyoyasema kua Simba hawana ufundi ni dhahiri nilijua kua watakuja kucheza mpira wa playstation, ufundi mwingi na kushinda magoli mengi. Kwamba Simba wangejua outplayed.

Ila nilichokiona na wadau wa mpira nilikua nao tumeona tofauti, Simba imepiga mpira wa kufundishwa...mpira wa kiufundi...Hawa berkane they were outplayed...ni wadhaifu na Wachovu tu, walivyoona wamekuona outshined na outclassed vibaya mno, wanatumia silaha yao ya pili ambayo ni refa wa kimkakati waliyepewa ahakikishe wanawapunguza nguvu Simba...rejea huyu huyu ndio alihakikisha mamelodi apite mbele ya Yanga sports club kwa kukataa goli la wazi ukiacha ushabiki maandazi lakini tunajua mamelodi nayo ilipita kimkakati .

Sasa leo walijua kua wamekaliwa vibaya hivyo silaha yao kubwa ilikua ni refa wa kimkakati ambaye alitoa red cards kimkakati na pia ni bahati ya Mungu hata kocha wetu alibaki Hadi mwisho.

Pamoja na hayo ila sijawahi kuona spirit ya kiupambanaji na utaalam wa Hali ya juu wa Simba baada ya red card ya mchongo na kukataa goli la wazi.

Nami pia naungana na Mwana FA naibu Waziri wa michezo kua kuanzia Sasa tusipotezeane muda bingwa wa CAF wawe wanamuandaa.

Simba ni timu kubwa ..Simba ni tishio. Tutakutana. Sisi ni pipo.
Maamuzi ya refa yanayochukiza leo, mliyafurahia kule Morocco refa alikuwa wenu

Stellenbosch alikataliwa goli Kama mlilokataliwa leo

Berkane alikataliwa goli kama la leo

Mtu anacheza rafu kapewa kadi ya njano, kaonywa bado anaendelea mlitaka hadi aumize watu?
 
Hawana uwezo huo ndio mana wamepewa refa wa kimkakati kuhakikisha wanafanikiwa ...fadlu anajiamini na ni master class..kocha wa Berkane ndio mwenye dharau alijua anakuja kucheza na timu isiyojua Mpira...timu mbovu ...Mimi Wala sijababaishwa na ubingwa wao WA kutengenezewa mazingira, ndio mana naungana na Mwana FA na wapenda michezo wote na wanaojua Mpira sio.mashabiki maandazi, kua CAF Sasa wawe wanawapa tu timu hizo zinazomilikiwa na viongozi wa CAF ubingwa ili mwisho wa siku tusipotezeane muda
Mnakimbilia kuungana na wanasiasa kwenye mpira, kweli kuishiwa

Wao mbona wanawapotezea watu Muda wa kampeni +pesa kwa ajili ya uchaguzi ambao washindi washapangwa.
 
Berkane are just Tabata All Stars with a sugar daddy.

Siwezi katu eti kuumia na kubabaishwa na timu mbovu inayopewa ubingwa bila kuupambania. Sina muda wa kuweka video, kaangalieni wenyewe video zinasambaa mitandaoni huko maofisa wa CAF + berkane wakiwa na timu ya marefa katika vyumba
 
Maamuzi ya refa yanayochukiza leo, mliyafurahia kule Morocco refa alikuwa wenu

Stellenbosch alikataliwa goli Kama mlilokataliwa leo

Berkane alikataliwa goli kama la leo

Mtu anacheza rafu kapewa kadi ya njano, kaonywa bado anaendelea mlitaka hadi aumize watu?
Huyo mchezaji hata ligi kuu anafika sana mwilini mwa watu na kupiga viatu na huwa wanamsifia ni mjanja haonwi
 
Baada ya CAF kuzuia timu za Champions league kuhamia Confederation cup, mashindano ya confederation mwaka huu yalikuwa dhifu sana, ndiyo maana Simba ikafika fainali. We angalia timu zote zilizocheza na Simba leo hii kwenye ligi zao ziko wapi. Ni Simba na RS Berkane tu ndiyo ziko juu; nyingine zote ziko matatizoni.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
Screenshot_2025-05-18-12-05-22-14_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Makelele SC.
5. Malalamiko/Lia lia SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau/Mapaka SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mwakarobo SC.
11. Mbeleko/Bebwa bebwa SC.
12. Manguruwe SC.
13. Miso Misonda SC.
14. Mikia SC.
15. Mbuzi SC.
16. Zuwena SC.
17. Khamsa Khamsa/5imba SC.
18. Kufa Kiume SC.
19. Kikanuni SC.
20. Bahasha SC.
21. Ngada SC.
22. Kolowizards SC.
23. Kamdomo SC.
 
Haishi kutapatapa kama berkane kwa kumtumia ama kupewa kombe Bure kwa kupewa refa kimkakati awasaidie..unasikia wewe , na huyu hii mechi ya karibuni ya tatu kama si ya nne anatumika kimkakati kuwapitisha timu za wakubwa huko CAF...muulize mtu wa yanga ama muoneshe picha ya huyo refa uone kama hataangua kilio.
Leo ndio mnakiri kuwa Yanga alidhurumiwa goli halali,kweli mfa maji haachi kutapatapa.
 
Wachezaji wetu wawe na nidhamu ya mchezo....fainali fouls kibao za nn
 
Simba ata mcheze mfululizo na Berkane amna uwezo wa kuifunga mechi mbili shot on target 2 kweli mna lalamika.
Pale Zenji mechi imechezeshwa Fair , kule Berkane mlibebwa na marefa.
Kama marefa wangekuwa fair kule Morocco mlistahili kufungwa si chini ya Goli 4
 
Back
Top Bottom