Berkane ni timu dhaifu sana na wamepewa refa wa kimkakati kuwasaidia

Berkane ni timu dhaifu sana na wamepewa refa wa kimkakati kuwasaidia

Leo ndio mnakiri kuwa Yanga alidhurumiwa goli halali,kweli mfa maji haachi kutapatapa.
Wasituhusishe sisi hatukudhurumiwa goli lolote. Hao wamepigwa kihalali na marefa wamewabeba sana tangu mechi ya kwanza. Timu inacheza daki 200 shuti moja linalenga goli halafu wanasema walionewa.
 
Timu imeongoza points kwa makundi yote manne..
Imeruhusu bao chache katika mashindano
Imefungwa mechi chache
Imedro mechi chache
Imeongoza kufunga magoli mengi.

Bado kichaa mmoja anasema RS B imechukuwa kombe kwa mbeleko. Kwa takwimu za RS B amestahili kuchukuwa lile kombe.
Huku CAF hakuna akina Tatu Malogo ili wawasaidie penati za mchongo na ♦️ za mchongo kwa timu pinzani
 
Kwa Ugeni wa simba kwenye fainali, na uzito wa mechi yenyewe naungana na wewe kabisa kuwa maamuzi ya refa yamechangia kuwatoa simba mchezoni.

Huyu mwamuzi hakuwa na uwezo wa ku~handle pressure ya mchezo.
mfano ile red card ya kagoma mwamuzi ni kama aliipania sana, kwa sababu hakujihangaisha na VAR kuprove.
muwe mnaangalia na movements za mpira ulivyokuwa, RS BERKANE walikuwa katika move ya kushambulia kwa kushtukiza. Mr.kagoma alivunja kwa maksudi hiyo move unataka kwa nini asilimwe kadi ya njano?
 
Kwa maneno ya dharau ambayo kocha wa Berkane aliyoyasema kua Simba hawana ufundi ni dhahiri nilijua kua watakuja kucheza mpira wa playstation, ufundi mwingi na kushinda magoli mengi. Kwamba Simba wangejua outplayed.

Ila nilichokiona na wadau wa mpira nilikua nao tumeona tofauti, Simba imepiga mpira wa kufundishwa...mpira wa kiufundi...Hawa berkane they were outplayed...ni wadhaifu na Wachovu tu, walivyoona wamekuona outshined na outclassed vibaya mno, wanatumia silaha yao ya pili ambayo ni refa wa kimkakati waliyepewa ahakikishe wanawapunguza nguvu Simba...rejea huyu huyu ndio alihakikisha mamelodi apite mbele ya Yanga sports club kwa kukataa goli la wazi ukiacha ushabiki maandazi lakini tunajua mamelodi nayo ilipita kimkakati .

Sasa leo walijua kua wamekaliwa vibaya hivyo silaha yao kubwa ilikua ni refa wa kimkakati ambaye alitoa red cards kimkakati na pia ni bahati ya Mungu hata kocha wetu alibaki Hadi mwisho.

Pamoja na hayo ila sijawahi kuona spirit ya kiupambanaji na utaalam wa Hali ya juu wa Simba baada ya red card ya mchongo na kukataa goli la wazi.

Nami pia naungana na Mwana FA naibu Waziri wa michezo kua kuanzia Sasa tusipotezeane muda bingwa wa CAF wawe wanamuandaa.

Simba ni timu kubwa ..Simba ni tishio. Tutakutana. Sisi ni pipo.
Msimu ujao tuhakikishe kwa pamoja tunawapambania waamuzi wetu akina Tatu Malogo, Kepha Kayombo, Japhet Smart na Shomary Lawi ili wapate nafasi ya kuchezesha hayo mashindano.

Tusiishie tu kwenye kulalamika! Tuchukue hatua mara moja.
 
Berkane alishashinda mechi ya kwanza uku walikuja kukamilisha ratiba tu,ulitaka wachezeje ili ujue wanajua kucheza na wamejipanga.Simba ndiye aliyetakiwa acheze mpira mkubwa ili kupindua meza.Badala yake simba ndio wakaanza kucheza kama wao ndio wenye mtaji wa magoli na wako ugenini.Simba ilicheza mpira wa maana dakika 30 za mwanzo baada ya hapo wakapoteana wakakosa mbinu wakabaki kurudisha mipira nyuma nakupigiana pasi zisiyo na sababu.Rafa hana cha kulaumiwa kwenye hili labda kwa shabiki maandazi.
 
Baada ya CAF kuzuia timu za Champions league kuhamia Confederation cup, mashindano ya confederation mwaka huu yalikuwa dhifu sana, ndiyo maana Simba ikafika fainali. We angalia timu zote zilizocheza na Simba leo hii kwenye ligi zao ziko wapi. Ni Simba na RS Berkane tu ndiyo ziko juu; nyingine zote ziko matatizoni.
Dhaifu ilikua mwaka juzi, team had za kushuka daraja zipo. Lol
😂😂😂😂😂
 
😂😂😂 kila nikikumbuka shujaaa wetu wa mechi nachekaaaaaa....

Huo ndio ubaya ubwela wetu. REFA ITAKUWA ALIPATA SEMA TATU MALOGO NA KEFA KAYOMBO.
 
muwe mnaangalia na movements za mpira ulivyokuwa, RS BERKANE walikuwa katika move ya kushambulia kwa kushtukiza. Mr.kagoma alivunja kwa maksudi hiyo move unataka kwa nini asilimwe kadi ya njano?
Kaangalie tena vizuri
 
Back
Top Bottom