Ila Simba ni dhaifu zaidiKwa maneno ya dharau ambayo kocha wa Berkane aliyoyasema kua Simba hawana ufundi ni dhahiri nilijua kua watakuja kucheza mpira wa playstation, ufundi mwingi na kushinda magoli mengi. Kwamba Simba wangejua outplayed.
Ila nilichokiona na wadau wa mpira nilikua nao tumeona tofauti, Simba imepiga mpira wa kufundishwa...mpira wa kiufundi...Hawa berkane they were outplayed...ni wadhaifu na Wachovu tu, walivyoona wamekuona outshined na outclassed vibaya mno, wanatumia silaha yao ya pili ambayo ni refa wa kimkakati waliyepewa ahakikishe wanawapunguza nguvu Simba...rejea huyu huyu ndio alihakikisha mamelodi apite mbele ya Yanga sports club kwa kukataa goli la wazi ukiacha ushabiki maandazi lakini tunajua mamelodi nayo ilipita kimkakati .
Sasa leo walijua kua wamekaliwa vibaya hivyo silaha yao kubwa ilikua ni refa wa kimkakati ambaye alitoa red cards kimkakati na pia ni bahati ya Mungu hata kocha wetu alibaki Hadi mwisho.
Pamoja na hayo ila sijawahi kuona spirit ya kiupambanaji na utaalam wa Hali ya juu wa Simba baada ya red card ya mchongo na kukataa goli la wazi.
Nami pia naungana na Mwana FA naibu Waziri wa michezo kua kuanzia Sasa tusipotezeane muda bingwa wa CAF wawe wanamuandaa.
Simba ni timu kubwa ..Simba ni tishio. Tutakutana. Sisi ni pipo.
Tarehe 15 hii Simba iliyocheza leo hakuna namna inaweza kufungwa na Yanga...Kwa mantiki hiyo,Simba bingwa wa Ligi kuu na pengine Azam Fed.Berkane ashabeba ndoo kilichobaki ni ligi za ndani
Simba anakuwa best looser ligi kuu na FA
Yanga anaenda kufagia Ligi kuu na FA
Overconfidence ni kitu kibaya sana. Endeleeni kujiaminisha hivyo hivyo.Tarehe 15 hii Simba iliyocheza leo hakuna namna inaweza kufungwa na Yanga...Kwa mantiki hiyo,Simba bingwa wa Ligi kuu na pengine Azam Fed.
Muwe na akili hata kidogo, Ile ni second yellow card kwenye VAR akafate nn?Kwa Ugeni wa simba kwenye fainali, na uzito wa mechi yenyewe naungana na wewe kabisa kuwa maamuzi ya refa yamechangia kuwatoa simba mchezoni.
Huyu mwamuzi hakuwa na uwezo wa ku~handle pressure ya mchezo.
mfano ile red card ya kagoma mwamuzi ni kama aliipania sana, kwa sababu hakujihangaisha na VAR kuprove.
Mtacheza na TFFTarehe 15 hii Simba iliyocheza leo hakuna namna inaweza kufungwa na Yanga...Kwa mantiki hiyo,Simba bingwa wa Ligi kuu na pengine Azam Fed.
KWANI FADRU SI NDIYE ALIYESEMA WATAJUTA KWANINI HAWAKUFUNGA GOLI TATU KULE MORROCO SASA KIKO WAPIKwa maneno ya dharau ambayo kocha wa Berkane aliyoyasema kua Simba hawana ufundi ni dhahiri nilijua kua watakuja kucheza mpira wa playstation, ufundi mwingi na kushinda magoli mengi. Kwamba Simba wangejua outplayed.
Ila nilichokiona na wadau wa mpira nilikua nao tumeona tofauti, Simba imepiga mpira wa kufundishwa...mpira wa kiufundi...Hawa berkane they were outplayed...ni wadhaifu na Wachovu tu, walivyoona wamekuona outshined na outclassed vibaya mno, wanatumia silaha yao ya pili ambayo ni refa wa kimkakati waliyepewa ahakikishe wanawapunguza nguvu Simba...rejea huyu huyu ndio alihakikisha mamelodi apite mbele ya Yanga sports club kwa kukataa goli la wazi ukiacha ushabiki maandazi lakini tunajua mamelodi nayo ilipita kimkakati .
Sasa leo walijua kua wamekaliwa vibaya hivyo silaha yao kubwa ilikua ni refa wa kimkakati ambaye alitoa red cards kimkakati na pia ni bahati ya Mungu hata kocha wetu alibaki Hadi mwisho.
Pamoja na hayo ila sijawahi kuona spirit ya kiupambanaji na utaalam wa Hali ya juu wa Simba baada ya red card ya mchongo na kukataa goli la wazi.
Nami pia naungana na Mwana FA naibu Waziri wa michezo kua kuanzia Sasa tusipotezeane muda bingwa wa CAF wawe wanamuandaa.
Simba ni timu kubwa ..Simba ni tishio. Tutakutana. Sisi ni pipo.
Mkuu tangu lini VAR ikaangalia yellow card?Kumbuka ile sio straight red!Kwa Ugeni wa simba kwenye fainali, na uzito wa mechi yenyewe naungana na wewe kabisa kuwa maamuzi ya refa yamechangia kuwatoa simba mchezoni.
Huyu mwamuzi hakuwa na uwezo wa ku~handle pressure ya mchezo.
mfano ile red card ya kagoma mwamuzi ni kama aliipania sana, kwa sababu hakujihangaisha na VAR kuprove.
Simba kaonewa sana,tena ktk namna nyingiii kuanzia mechi ya kwanza. Zimefanyika namna nyingi kumdhoofisha SimbaKwa Ugeni wa simba kwenye fainali, na uzito wa mechi yenyewe naungana na wewe kabisa kuwa maamuzi ya refa yamechangia kuwatoa simba mchezoni.