Berkane ni timu dhaifu sana na wamepewa refa wa kimkakati kuwasaidia

Hahah...tulitegemea utetezi wa hivi....refa kacjezesha fair, kama goal ni kweli offside, mlitaka afanye nini?
Offside inavyoonesha Hapo sasa. Au hakukuwa na Screen?
 
Simba kaonewa sana,tena ktk namna nyingiii kuanzia mechi ya kwanza. Zimefanyika namna nyingi kumdhoofisha Simba
Lakini yule mwamuzi wa game ya kwanza alikuwa na uwezo mkubwa wa ku~deal na pressure ya mchezo tofauti na huyu wa leo ambaye aligeuka kuwa Mbogo
 
Hiki ni kipindi cha kuweweseka, huwa kinadumu kwa mwezi mzima wakati mwingine. Mtakua sawa tu watani.
Tangu wananch tupoteze kombe ile mech hainitok akilin mpaka leo tulikosa lile kombe kwa kukosa uzoefu lakn boli tulicheza vizur mno
 
Wakati yanga anakataliwa goli lake kule kwa madiba na wewe ulikuwa miongoni mwa waimba mapambio mliofurahia,,sasa Leo yamekukuta unatafuta huruma,,no way berkane ni Bora kuizidi Simba ayo mengine ni kujifariji tu
 
Tuliandika apa , Kocha wa Simba ana matatizo.
Huwezi kusema Berkane watajuta kwa kutofunga Goli la tatu.
Zile nikauli za Kiburi na zarau.
Hii mechi imechezeshwa Fair, Goli lilikua offside safi, Kagoma alistail kadi nyekundu.
Wale Berkane ata mrudiane tena wata wafunga bila shaka yoyote.
 
Visingizio fc,mlijuwa ni wale marefa wenu wa kmc? 😁😁
 
Visingizio fc,mlijuwa ni wale marefa wenu wa kmc? 😁😁
Dogo angalia mpira uliopigwa ...kwanza hio kmc ndio nini..? hakuna timu ligi kuu Ina hadhi ya kucheza na Simba. Ndio mana ikishinda mfululizo mnasema inabebwa.
 
Dakika zaidi ya 200 ulizocheza umepata shot on target 1 tu, wenzio wana zaidi ya 10 alafu unaongea ujinga
Shot on target baada ya kuharibu mechi na kutoa red card za kimkakati kama anatoa sehem zake za Siri kukojoa ...🚮 Timu mbovu ...
 
Mfa maji.....
Haishi kutapatapa kama berkane kwa kumtumia ama kupewa kombe Bure kwa kupewa refa kimkakati awasaidie..unasikia wewe , na huyu hii mechi ya karibuni ya tatu kama si ya nne anatumika kimkakati kuwapitisha timu za wakubwa huko CAF...muulize mtu wa yanga ama muoneshe picha ya huyo refa uone kama hataangua kilio.
 
Shot on target baada ya kuharibu mechi na kutoa red card za kimkakati kama anatoa sehem zake za Siri kukojoa ...🚮 Timu mbovu ...
Mechi ya kwanza more than 90 minutes hukupata shot hata 1 on target, mechi ya 2 leo dk ya 53 ndio unapata red card ukiwa na shot 1 na ndio goal, hiyo red card aliipata baada ya kuonywa sna kwa mdomo zaidi ya mara 1 kwa ujeuri wake akalambwa Yello ya kwanza, akacheza rafu kwa nyuma yellow ya pili ulitaka refa afanye nini? Au kosa la refa haswa ni nini katika mechi ya leo?
 
Hawana uwezo huo ndio mana wamepewa refa wa kimkakati kuhakikisha wanafanikiwa ...fadlu anajiamini na ni master class..kocha wa Berkane ndio mwenye dharau alijua anakuja kucheza na timu isiyojua Mpira...timu mbovu ...Mimi Wala sijababaishwa na ubingwa wao WA kutengenezewa mazingira, ndio mana naungana na Mwana FA na wapenda michezo wote na wanaojua Mpira sio.mashabiki maandazi, kua CAF Sasa wawe wanawapa tu timu hizo zinazomilikiwa na viongozi wa CAF ubingwa ili mwisho wa siku tusipotezeane muda
 
Reactions: Tsh
Wakati yanga anakataliwa goli lake kule kwa madiba na wewe ulikuwa miongoni mwa waimba mapambio mliofurahia,,sasa Leo yamekukuta unatafuta huruma,,no way berkane ni Bora kuizidi Simba ayo mengine ni kujifariji tu
Narudia berkane ni timu mbovu...tume wa outshined na outclassed kabisa ..wakafurahie ubingwa wao WA kupewa Bure na CAF.

NB: kwaio kumbe mnakubali huyo refa ni kirusi anatumika kupitisha klabu za baadhi ya viongozi wakubwa wa CAF?
 
Waamuzi wa leo waliikamia sana simba
Ni maelekezo mkuu...walishajua kinachoenda kuwatokea..gemu hii ilianza kuchezwa nje muda sana ...Aziz ki alilia siku Ile unafikiri mchezo...anyway kila lenye mwanzo Lina mwisho..nafikiri Sasa Simba itakua namna ya ku deal na Hawa mafia cartel wa CAF wanaoback up timu zao either zipenye kwenye hatua muhim ama kuchukua ubingwa...haswa timu za kiarabu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…