Berkane ni timu dhaifu sana na wamepewa refa wa kimkakati kuwasaidia

Tangu wananch tupoteze kombe ile mech hainitok akilin mpaka leo tulikosa lile kombe kwa kukosa uzoefu lakn boli tulicheza vizur mno
Sasa nikiwaambiwa Hawa wadau wanatokwa mapovu mengi mdomoni...kua huyo peke yake ndio hua anawekwa kimkakati haswa mechi za mtoano hatua ngumu kuanzia nusu fainali ama fainali ..Aziz ki alitoa machozi ...
 
Simba ilicheza mchezo mzuri mno.
 
Mturudishie hela zetu 250k larefu sana acheni wizi. Kama mie ilivyoniuma 250k yangu wacha na nyie iwaume.

Kila mtu kwa level yake. Nyie level yenu ni ya tatu maloko tuu
 
Wewe ndio huna akili nadhani,...kwenye VAR alipaswa kwenda ili kuhakiki kama faulo aliyofanya ina deserve yellow card
Mkuu shida sana kujenga hoja na mashabiki maandazi. Shida mno. Unatumia energy na akili Mingi for nothing hata haulipwi..akili mbovu kama walivyo berkane timu mbovu.

NB: kwenye var alikua anakataa wazi wazi kwenda sababu na naamin hata kwenye var walispot makosa ila aliyakataa nina uhakika na Hilo.
 
Mlidhani mtakutana na 3 MWALONGO
 
Malalamiko peleka LATRA
 
Bora sikuzaliwa tanzania ingawa wazazi walikua watanzania, maana wengi ni taka taka tu
 
Tangu wananch tupoteze kombe ile mech hainitok akilin mpaka leo tulikosa lile kombe kwa kukosa uzoefu lakn boli tulicheza vizur mno
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Team inayoweza kupata ubingwa wa CAF ktk awamu hii, nje ya waarabu ni MAMELODI Bas.

Sisi wengine tutakua wasindikizaji hadi mwisho wa dahari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…