Berkane ni timu dhaifu sana na wamepewa refa wa kimkakati kuwasaidia

Leo ndio mnakiri kuwa Yanga alidhurumiwa goli halali,kweli mfa maji haachi kutapatapa.
Wasituhusishe sisi hatukudhurumiwa goli lolote. Hao wamepigwa kihalali na marefa wamewabeba sana tangu mechi ya kwanza. Timu inacheza daki 200 shuti moja linalenga goli halafu wanasema walionewa.
 
Timu imeongoza points kwa makundi yote manne..
Imeruhusu bao chache katika mashindano
Imefungwa mechi chache
Imedro mechi chache
Imeongoza kufunga magoli mengi.

Bado kichaa mmoja anasema RS B imechukuwa kombe kwa mbeleko. Kwa takwimu za RS B amestahili kuchukuwa lile kombe.
Huku CAF hakuna akina Tatu Malogo ili wawasaidie penati za mchongo na ♦️ za mchongo kwa timu pinzani
 
muwe mnaangalia na movements za mpira ulivyokuwa, RS BERKANE walikuwa katika move ya kushambulia kwa kushtukiza. Mr.kagoma alivunja kwa maksudi hiyo move unataka kwa nini asilimwe kadi ya njano?
 
Msimu ujao tuhakikishe kwa pamoja tunawapambania waamuzi wetu akina Tatu Malogo, Kepha Kayombo, Japhet Smart na Shomary Lawi ili wapate nafasi ya kuchezesha hayo mashindano.

Tusiishie tu kwenye kulalamika! Tuchukue hatua mara moja.
 
Berkane alishashinda mechi ya kwanza uku walikuja kukamilisha ratiba tu,ulitaka wachezeje ili ujue wanajua kucheza na wamejipanga.Simba ndiye aliyetakiwa acheze mpira mkubwa ili kupindua meza.Badala yake simba ndio wakaanza kucheza kama wao ndio wenye mtaji wa magoli na wako ugenini.Simba ilicheza mpira wa maana dakika 30 za mwanzo baada ya hapo wakapoteana wakakosa mbinu wakabaki kurudisha mipira nyuma nakupigiana pasi zisiyo na sababu.Rafa hana cha kulaumiwa kwenye hili labda kwa shabiki maandazi.
 
Dhaifu ilikua mwaka juzi, team had za kushuka daraja zipo. Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kila nikikumbuka shujaaa wetu wa mechi nachekaaaaaa....

Huo ndio ubaya ubwela wetu. REFA ITAKUWA ALIPATA SEMA TATU MALOGO NA KEFA KAYOMBO.
 
muwe mnaangalia na movements za mpira ulivyokuwa, RS BERKANE walikuwa katika move ya kushambulia kwa kushtukiza. Mr.kagoma alivunja kwa maksudi hiyo move unataka kwa nini asilimwe kadi ya njano?
Kaangalie tena vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…