Uchaguzi 2020 Bernard Membe anaongea lugha rahisi na anaeleweka kuliko Lissu

Baada ya kuwasikiliza wagombea wa upinzani ambao tayari wameshaanza kampeni zao, nimejaribu kubainisha tofauti zao, ambapo kwa mtazamo wangu naona Bernard Membe ana uwezo Mkubwa Sana wa kuongelea mambo ya wananchi kwa lugha rahisi na inayoeleweka.

Aliongea kuhusu mazao ya kilimo na changamoto za masoko, wavuvi na changamoto zao, watumishi wa umma na kuporwa mishahara yao kwa lugha rahisi mno. Kwa upande wake Tundu Lissu, ana uwezo mzuri wa kuongea, lakini anaongea kwa jazba, anatumia muda mwingi kuongelea mambo ya haki za binadamu, kumuongelea Dkt. Magufuli na kuongelea jinsi wapinzani walivyofungwa kusumbuliwa na Polisi, alivyopigwa risasi.

Haya mambo hayana impact kubwa kwa wananchi wa kawaida walio wengi. Kwa maoni yangu ajikite kuelezea matatizo yanayogusa watu wote, na jinsi atakavyoyatatua.
Kwa Sababu wewe ni Kilaza hauwezi kumuelewa Lissu
 
Membe ni wa CCM ambaye alikuwa na nia ya kugombea Urais kwa tiketi ya Chama hicho lakini akafukuzwa asilete balaa kwa sababu anaeleweka vizuri na nyie wanachama wenzake na wananchi wa kwao na hilo ndo lilifanya Chama kuruhusu Fomu moja tu ya watia nia ili wengi wengine wasijitokeze wakaleta balaa zaidi kwa Mpendwa. Mwanachama wa CCM anatambulika kwa maneno, lugha, mwenendo hata kwa mwendo akiwa maili mbili!
 
Kutawala wajinga wengi kupitiliza ni shida sana. Sioni utawaambia nini wakuelewe!
Maadui wetu hawa, nañukuu tu,"Ujinga, umasikini ..... "
Kama nimekuelewa, nadhani uko sahihi. Ujinga wetu ni mwingi. Leo naongea na bodaboda anasema kwake yeye akipata abiria akapata ugali wa watoto inatosha! Haju ni kwa vipi siasa zinaathiri hata biashara yake ya bodaboda! Kwamba siyo lazima aendeshe bodaboda, kunaweza kuwa na mbadala ....... kuwa watoto wake wakisoma shule nzuri, kuna siku huko mbele wanaweza kumwondolea adha ya bodaboda...... Makabila mengine do bank on that... Chaga, Wahaya , Nyakyusa etc wana bank on their kids! anasema kama mimi sikuzoma, katu lazima mwanangu asome labda akatae mwenyewe!
 
kidogokidogo watu wanajaribu kuhamisha goli!!
 
Hayo mambo anayoongelea Lissu ni mambo ya msingi kama we unaona haeleweki basi una shida wewe
unajua Mimi huwa namshangaa Sana mtu anapomlazimisha mwenzake aamini kile anachokiamini kwahiyo Wewe ndo unaakili Sana?
 
Na mtu wa hivyo ukimweleza unachoamini wewe anapandwa jazba, anapata mihemko na kukutukana

Siasa ni imani tuvumiliane
 
Baada ya kuwasikiliza wagombea wa upinzani ambao tayari wameshaanza kampeni zao, nimejaribu kubainisha tofauti zao, ambapo kwa mtazamo wangu naona Bernard Membe ana uwezo Mkubwa Sana wa kuongelea mambo ya wananchi kwa lugha rahisi na inayoeleweka.

Aliongea kuhusu mazao ya kilimo na changamoto za masoko, wavuvi na changamoto zao, watumishi wa umma na kuporwa mishahara yao kwa lugha rahisi mno. Kwa upande wake Tundu Lissu, ana uwezo mzuri wa kuongea, lakini anaongea kwa jazba, anatumia muda mwingi kuongelea mambo ya haki za binadamu, kumuongelea Dkt. Magufuli na kuongelea jinsi wapinzani walivyofungwa kusumbuliwa na Polisi, alivyopigwa risasi.

Haya mambo hayana impact kubwa kwa wananchi wa kawaida walio wengi. Kwa maoni yangu ajikite kuelezea matatizo yanayogusa watu wote, na jinsi atakavyoyatatua.
Wataungana baadaye usiwe na hofu.
 
MASIKIO yako Yana matatizo,

Wakulima, Wafugaji, Wavuvi, A kina Mama, Wazee, Wasomi, Vijana,Watoto na Machinga wote wameongelewa kwa kirefu.

Habari ya RISASI NI MUHIMU WATANZANIA WAKAMJUA MHUSIKA MKUU.

UKWELI KUWEKWA WAZI SIYO CHUKI.

UBAYA WAKO UKIJULIKANA NA WENGI SIYO CHUKI BALI NDIYO UKWELI WENYEWE.

MTEKAJI MKUU, MUUAJI MKUU, MTESAJI MKUU AKIJULIKANA SIYO CHUKI KWAKE, BALI NDIYO UKWELI.

ASEMWE TU.
 
Baada ya kuwasikiliza wagombea wa upinzani ambao tayari wameshaanza kampeni zao, nimejaribu kubainisha tofauti zao, ambapo kwa mtazamo wangu naona Bernard Membe ana uwezo Mkubwa Sana wa kuongelea mambo ya wananchi kwa lugha rahisi na inayoeleweka.

Aliongea kuhusu mazao ya kilimo na changamoto za masoko, wavuvi na changamoto zao, watumishi wa umma na kuporwa mishahara yao kwa lugha rahisi mno. Kwa upande wake Tundu Lissu, ana uwezo mzuri wa kuongea, lakini anaongea kwa jazba, anatumia muda mwingi kuongelea mambo ya haki za binadamu, kumuongelea Dkt. Magufuli na kuongelea jinsi wapinzani walivyofungwa kusumbuliwa na Polisi, alivyopigwa risasi.

Haya mambo hayana impact kubwa kwa wananchi wa kawaida walio wengi. Kwa maoni yangu ajikite kuelezea matatizo yanayogusa watu wote, na jinsi atakavyoyatatua.
Hujapigwa risasi wewe
Hujui maumivu yake
Hujui alipitia magumu mangapi
Wanaoongea kistaarabu wana kila sababu kwa sababu hawa kupitia aliyopitia Tundu Lissu
Maisha ya Lissu yamebadilika kwa sababu ya roho mbaya dhuluma ya mtu au watu fulani
 
Kwa hiyo wewe haki za binadamu, watu kuuawa na kupigwa risasi ni mambo ambayo huyaelewi?

Kifupi ni kwamba Ukiwa na akili ndogo Huwezi kumwelewa Lissu

Kwa hiyo ndio irudiwe rudiwe mara elfu ndio akili ndogo ielewe... mbona Tanzania nzima inajua tu... na mbona tunakubali pia kwamba alichofanyiwa ni ukatili wa hali ya juu hata kabla yeye kurudi nchini... wanaombeza kutoka kwa moyoni mwao kwa alichofanyiwa, kama hakuna wakati wowote ile roho zao zimewa sumbua, hizo roho haziko hai tena...

Kampeni iendeshwe kama kampeni, mambo ya maendeleo yajadiliwe, na sera zimwagwe... sehemu serikali haijatekeleza ipasavyo, vyama vya upinzani zishikilie pale pale na kutueleza watatatua vipi kero husika za wananchi... na walete mbinu ambazo ni tofauti na za ccm ili hizo akili ndogo ziweze kutathmini njia mbadala za maendelo, kifupi nadharia tofauti... basi! Ndio kampeni yenyewe... kura za huruma usitegemee sana kwa watanzania... kwani wangapi waliingia barabarani wakati alishambuliwa kukemea ukatili huo??? Au tuseme kwamba wanao jazana kwenye mikutano ya Lissu wanakuja kumwona alivyo baada ya tukio lililomtokea?? Wanajua lililotokea, na amesha ongea ya kutosha kuhusu sakata lake hata kabla ya kampeni kuanza rasmi..sasa ni wakati wa kunadi sera na si vinginevyo!! Watanzania mpaka sasa hivi inajulikana wazi tu, asilimia kubwa si wajasiri sana, lakini pia akili yetu ndogo si ndogo kihivyo...
 
Membe yupo vizuri sana. Nimeshangaa lissu kuongelea mambo ya zao la pamba kiwanja cha furahisha. Wote waliokua wamejazana pale siamini kama kuna mkulima wa pamba. Nadhani alikua anaongea mwenyewe.

Wengi pale ni jobl
Basi mpe kura Membe.
 
Anaeleweka kwa kusema.

"CCM hoyeeee" !!!!!!?????
Sasa mtu amekaa CCM miaka zaidi ya thelathini, penigine hata hujazaliwa, nasema hivyo kwa kuona jina unalotumia kwenye ID yako, nawaza tu kwamba uko yanki yanki... unategemea nini, lazima ateleze hapo na pale mpaka azoee kwamba hayuko pale tena...
 
Back
Top Bottom