Risasi hadharani mbona zinapigwa hadi kwa wanandoa siku hizi. ππ pumbavuni sana, sa hivi watu wanajichukulia sheria mikononi tu. Unaweza kuzinguana na kimada akakushuti tu.Mambo mengi yamebadilika. Hakuna kutekwa na kupigwa risasi hadharani. Watu wanafurahia nchi yao.
JWTz na TISS, command inatoka Kwa rais TU.TISS ni wale wale wale, JWTZ ni wale wale, polisi ni wale wale, Waziri mkuu ni yule yule, makamu wa rais ambaye ndiye rais (ondoa tu neno Makamu ili iwe rais) ni yule yule. Kwa hiyo nadhani Mh. Membe ana matatizo binafsi na serikali ya Mama Samia, ni mnafiki maana kaongea hivyo kuonesha Mama Samia alikuwa Muuaji anaongoza serikali ya uuaji na ikifika 2025 atamgeuka na kusema hapaswi kupewa nafasi. Naamini Watanzania wapo macho na hawa waheshimiwa ambao ni wabaya sana
Saizi anabanikwa kuzimu huko ππAlimuua nani pimbi wewe? Na kwa minajili gani ya wao kuuliwa?
Kwa hiyo askari walikuwa karbu sana na magu kuliko mama mwenyewe? Atuambie km hakuwa na sauti alipata wapi nguvu za kusema alompiga risasi lissu hakuwa polisi wao maana hawez kumkosa mtu kwa risas nyingi vile.Nyie ndi miuaji na makuli mliokuwa mnabeba viroba kumfurahisha huyo mungu wenu feki aliyepigwa kama lile lisanamu la ndama walilojitengenezea nyikani. Laana inakusumbua, haya kwa kuwa wewe unajua twambie sasa katika linchi la wapuuzi kama nyinyi makamu wa Rais anashirikije na Samia ulimuona akishiriki namna gani?
Hao ndo watu? Akipotea mwanangu basi haina maana ππ mbona juzi tu mtu alikutwa kauliwa huko mwanza. Wauaji aliwatuma rais?Kama ulihusika Msako wa mtu na mtu upo NJIANI...Dunia lazima ujuwe HILI ..Ben ni Azory wapo WAPI
Hata ww, mimi na mama yako tutabanikwa tu huko.Saizi anabanikwa kuzimu huko ππ
Wewe ndio utabanikwa nae kwa sababu ndio ukishiriki mauji na kutesa watu kwa maagizo yake,tutakuwa tunawacheka tuu. ππHata ww, mimi na mama yako tutabanikwa tu huko.
Uliichagua wewe kwa uchaguzi upi?
Sa hivi pia hana kauli, inaendeshwa na msoga tu ndo maaana walamba asali wanakamua na kusifu.Rais samia alikua hana kauli wakati akiwa vice president nchi ilikua inaendeshwa na dikteta jiwe.
PumbafuHii siyo awamu ya sita!! Hii bado ni awamu ya tano!! Awamu huchaguliwa na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu. Kila awamu huchaguliwa ikiwa na Rais na makamu wake. Rais akifariki, makamu wake hushika usukani kuendeleza awamu hiyo hiyo!! Yawezekana kuna mambo wanayaonea aibu kwenye awamu ya tano na wanalazimisha kujitenga nayo jambo ambalo haliwezekani!! Kama ni sifa ni yao wote na kama ni lawama au fedheha ni yao wote!!
Alimuua nani? Mbona swali jepesi ila kulijibu unahangaika ππWewe ndio utabanikwa nae kwa sababu ndio ukishiriki mauji na kutesa watu kwa maagizo yake,tutakuwa tunawacheka tuu. ππ
Ben Saanane,Lwabaje,Mgimwa,Azory nk yaani list ni endlessAlimuua nani? Mbona swali jepesi ila kulijibu unahangaika ππ
Inaumiza sana. Akauwa watu wenye akili.Viroba vilivyojaa Anzory na Ben Sanane
Wanatafuta kupakazia π€£π€£Hii ni serikali ya awamu ya sita siyo ya 5
Mama alihusika kutoa maagizo ya kupiga risasi ndo maana akasema mwenyewe, alompiga risasi lisu hakuwa askari wao maana askari wao ana shabaha sana. Akamtia gaidi ndani miez 8Pumbafu
Wee jamaaKweli mapenzi ni upofu,,
Hata mwenye chongo huitwa kengeza.
Kama mnajua walikufa mbona mnauliza ben saanane mara azory yuko wapi? Walikuwa na nini hasa cha maana hadi wauawe kwa maagizo ya rais?Ben Saanane,Lwabaje,Mgimwa,Azory nk yaani list ni endless
Ukabaki wewe punguani. ππInaumiza sana. Akauwa watu wenye akili.
Alikuwa rais wa hovyo hovyo tu
Ndio si mliwatupa baharini kwenye viroba?Kama mnajua walikufa mbona mnauliza ben saanane mara azory yuko wapi? Walikuwa na nini hasa cha maana hadi wauawe kwa maagizo ya rais?