Bernard Membe kumbuka wakati hizo maiti unazodai kuokotwa kwenye viroba Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais. Na hii bado ni Serikali ya awamu ya tano

Viroba vilivyojaa Anzory na Ben Sanane
Kama hivyo viroba mliviona mbona mnakalia kusema wako wapi azory na ben? Mna akili kweli ninyi? Kumbe wako aliko muuaji wao 😁
 

Bernad Membe utambue ndugu yako ni mhusika mkuu wa mauaji ya JPM. Na muundo wa serikali iliyokuwepo awamu ya tano ni ule ule uliopo awamu ya sita isipokuwa awamu ya sita mafisadi wamerudishwa wote.​

Kama, alihusika katika hayo maiaji, basi taifa inabidi limpe tuzo na tumjengee sanamu katikati ya nchi kama shukurani kutukomboa toka mikono dhalimu ya yule nduli.
 
Ajiuzulu kisha atekwe? Kwa katiba hii na kwa aina ya mtu kama yule dhalimu, inabidi ukubaliane na chochote atakacho.
Kwa hyo nawe angekuja kwako hata ale jicho ungekubaliana nae? πŸ˜‚ akili zenu ni fyatu sana
 
Kwa hyo wako mavumbini aliko muuaji wao? Basi tusichoshane kwa kuuliza eti wako wapi. Halafu mnauani ninyi ili wasichukue nafasi zenu kwenye vyama vyenu mnamsingizia rais
Ndio ila mmja kabanikwa jehenamu na hao wako peponi wanamcheki tuu anavyohangaika πŸ˜†πŸ˜†
 
Utaendelea kuumia sana kila mara legasi itakapopolewa.
 
Hapo hakuna awamu ya sita mwamba tuna wabunge na madiwani wa awamu ya tano. na makamu ambaye kwa sasa ni raisi ameridhi kiti cha uraisi baada ya mwenzake kuaga dunia. Hatujafanya chaguzi yoyote zaidi ya katiba kutafasiriwa mwamba.
Kwa kifupi waamzi wa nchi hii ukianzia madiwani, wabunge na rais wamepitshwa na JPM na si wananchi. πŸ˜‚πŸ˜ uchaguzi wa 2020 haukuwa wa huru na haki.
 
Unatakiwa ujue kwamba HAKUNA MWANACCM YEYOTE MWENYE MALENGO MEMA NA NCHI HII , hilo sisi tunalitambua vizuri sana , lakini wale wanaoongea ukweli huwa tunawasikiliza , hatuwezi kuukataa ukweli hata kama unatoka kwa Shetani
πŸ˜‚πŸ˜‚ hana malengo na nchi hii atasemaje ukweli unaohusu nchi? Akisema ukweli huyo naona kabisa ana malengo mazuri na nchi. Chadema haina malengo kabsaa
 
Kumbe JPM alikuwa msikivu, mtu anataka kujiuzulu na kurudishwa mara 2 pote anapokelewa tu. Yasemekana lkn japo siyo kweli na mama alitetea had waliomtungua risas lissu kwa kusema si askari wao maana anawajua huwa hawakosi kizembe 😁
 
Kuwekana gerezani miezi 8 na kukutoa kisha kukuita ikulu upate kiyoyozi ni faraja sana.
Lile zimwi kisha ondolewa na Mungu, usipende kupingana na Mungu.
Mungu alisha liona litamaliza watu wenye haki ili litimize mapenzi ya shetani juu ya watanzania, akapitisha uamuzi sahihi tarehe 17 march, tukapata ukombozi wetu toka mikononi mwa shetani, mana hata mkoloni alikuwa afadhali
 
Rais awawajibishe wale askari wooote waliotumwa na jpm kuua watu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama alivyoondoa maalim seif, mama zitto n.k
 
Na mwigulu nchemba alikuwa waziri wa mambo ya ndani.
Binafsi siwezi kumlaumu Samia akiwa makamu wa rais.
Maana hicho CHEO NI PAMBO TU.
Mwenye sauti alikuwa rais,waziri mkuu,na waziri wa mambo ya ndani.
Kama kunyongwa wangeanza hao
Yaani nusu presidaa asiwe na taarifa za nchi liwe pambo? Ni sawa na kusema baba akifa mama hajui kitu chochote kuhusu familia bora watoto wake πŸ˜‚ punguzeni ukipofu.
 
Siyo kweli. Rais anafanya uteuzi kwa kumshirikisha makamu, huwezi kufanya maamzi ya nchi kivyako ni uongo mnajifichia tu. Samia alihusika sana ndo maana hadi kupigwa risas lisu alisema mpigaji hakuwa askari wao maana wa kwao wanashabaha sana.
 
Kwani sasa hivi si yupo Makamu wa Rais,jee unamsikia kwa lolote? Si unaona Mama ndiye ana shine, likiwa baya lake na zuri lake. Magufuli alituharibia sana nchi wacha apokee kisago huko jehanam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…