Bernard Membe kumbuka wakati hizo maiti unazodai kuokotwa kwenye viroba Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais. Na hii bado ni Serikali ya awamu ya tano

Bernard Membe kumbuka wakati hizo maiti unazodai kuokotwa kwenye viroba Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais. Na hii bado ni Serikali ya awamu ya tano

Bernad Membe utambue ndugu yako ni mhusika mkuu wa mauaji ya JPM. Na muundo wa serikali iliyokuwepo awamu ya tano ni ule ule uliopo awamu ya sita isipokuwa awamu ya sita mafisadi wamerudishwa wote.​

Kama, alihusika katika hayo maiaji, basi taifa inabidi limpe tuzo na tumjengee sanamu katikati ya nchi kama shukurani kutukomboa toka mikono dhalimu ya yule nduli.
 
Ajiuzulu kisha atekwe? Kwa katiba hii na kwa aina ya mtu kama yule dhalimu, inabidi ukubaliane na chochote atakacho.
Kwa hyo nawe angekuja kwako hata ale jicho ungekubaliana nae? 😂 akili zenu ni fyatu sana
 
Kwa hyo wako mavumbini aliko muuaji wao? Basi tusichoshane kwa kuuliza eti wako wapi. Halafu mnauani ninyi ili wasichukue nafasi zenu kwenye vyama vyenu mnamsingizia rais
Ndio ila mmja kabanikwa jehenamu na hao wako peponi wanamcheki tuu anavyohangaika 😆😆
 
Utaendelea kuumia sana kila mara legasi itakapopolewa.
 
Hapo hakuna awamu ya sita mwamba tuna wabunge na madiwani wa awamu ya tano. na makamu ambaye kwa sasa ni raisi ameridhi kiti cha uraisi baada ya mwenzake kuaga dunia. Hatujafanya chaguzi yoyote zaidi ya katiba kutafasiriwa mwamba.
Kwa kifupi waamzi wa nchi hii ukianzia madiwani, wabunge na rais wamepitshwa na JPM na si wananchi. 😂😁 uchaguzi wa 2020 haukuwa wa huru na haki.
 
Unatakiwa ujue kwamba HAKUNA MWANACCM YEYOTE MWENYE MALENGO MEMA NA NCHI HII , hilo sisi tunalitambua vizuri sana , lakini wale wanaoongea ukweli huwa tunawasikiliza , hatuwezi kuukataa ukweli hata kama unatoka kwa Shetani
😂😂 hana malengo na nchi hii atasemaje ukweli unaohusu nchi? Akisema ukweli huyo naona kabisa ana malengo mazuri na nchi. Chadema haina malengo kabsaa
 
Chagu wa Malunde Wacha kumhusisha Madam Prez na uhayawani. Kwanza kabisa kwenye unyama wa Magufuli ulikuwa unafanywa na kikundi chake cha WASIOJULIKANA chini ya Makonda na Sabaya.

Pilli Samia hata kwenye maamuzi makubwa ya Nchi alikuwa hashiriki licha ya kuwa ni Makamu wa Rais. Na yasemekana hata yeye mwenyewe alikuwa na wakati mgumu sana kiasi alitaka kubwaga manyanga kama mara 2, na akarudishwa na J Kikwette.
Kumbe JPM alikuwa msikivu, mtu anataka kujiuzulu na kurudishwa mara 2 pote anapokelewa tu. Yasemekana lkn japo siyo kweli na mama alitetea had waliomtungua risas lissu kwa kusema si askari wao maana anawajua huwa hawakosi kizembe 😁
 
Kuwekana gerezani miezi 8 na kukutoa kisha kukuita ikulu upate kiyoyozi ni faraja sana.
Lile zimwi kisha ondolewa na Mungu, usipende kupingana na Mungu.
Mungu alisha liona litamaliza watu wenye haki ili litimize mapenzi ya shetani juu ya watanzania, akapitisha uamuzi sahihi tarehe 17 march, tukapata ukombozi wetu toka mikononi mwa shetani, mana hata mkoloni alikuwa afadhali
 
Hakuna kitu kama shared presidency.... wakati mmoja Rais ni mmoja.

Serikali nzima kiuhalisia inawajibika kwa Rais tu, sasa kama walikuwa wanafanya ushenzi au wanashindwa kuzuia ushenzi au wanajifanya hawaoni ushenzi, hilo ni la CEO wa Serikali aka the president.

Rais amepewa dhamana ya kuwa Commander in Chief kuhakikisha usalama wa raia na mali zao, ikitokea raia wanatekwa, kuuawa ama kupotezwa bila utatuzi wa kueleweka, lawama zinapaswa kwenda kwake... Leo hii watu wanamlaumu Makamba kuhusu ujenzi wa Bwawa, umewahi kusikia wakimsema naibu waziri wake?

Wakianza watu kutekwa na kupotea sasa hivi, lawama apewe yeye; ila ya Magufuli ayabebe Magu mwenyewe
Rais awawajibishe wale askari wooote waliotumwa na jpm kuua watu 😂😂
 
Lile zimwi kisha ondolewa na Mungu, usipende kupingana na Mungu.
Mungu alisha liona litamaliza watu wenye haki ili litimize mapenzi ya shetani juu ya watanzania, akapitisha uamuzi sahihi tarehe 17 march, tukapata ukombozi wetu toka mikononi mwa shetani, mana hata mkoloni alikuwa afadhali
Kama alivyoondoa maalim seif, mama zitto n.k
 
Na mwigulu nchemba alikuwa waziri wa mambo ya ndani.
Binafsi siwezi kumlaumu Samia akiwa makamu wa rais.
Maana hicho CHEO NI PAMBO TU.
Mwenye sauti alikuwa rais,waziri mkuu,na waziri wa mambo ya ndani.
Kama kunyongwa wangeanza hao
Yaani nusu presidaa asiwe na taarifa za nchi liwe pambo? Ni sawa na kusema baba akifa mama hajui kitu chochote kuhusu familia bora watoto wake 😂 punguzeni ukipofu.
 
Rais ndie mwamuzi wa mwisho, mfano matendo maovu ya Makonda, Sabaya polisi na wengine utasema hakujua? Makamu ana mamlaka madogo sana,

Hawezi hata kuteua mkuu wa Wilaya,
Hivyo Rais akiwa mwovu makamu hana cha kufanya,

Hata kujiuzulu anashindwa, inabidi awe mateka wa Rais
Siyo kweli. Rais anafanya uteuzi kwa kumshirikisha makamu, huwezi kufanya maamzi ya nchi kivyako ni uongo mnajifichia tu. Samia alihusika sana ndo maana hadi kupigwa risas lisu alisema mpigaji hakuwa askari wao maana wa kwao wanashabaha sana.
 
Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.

Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?

Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.

Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?

Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.

Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Kwani sasa hivi si yupo Makamu wa Rais,jee unamsikia kwa lolote? Si unaona Mama ndiye ana shine, likiwa baya lake na zuri lake. Magufuli alituharibia sana nchi wacha apokee kisago huko jehanam
 
Back
Top Bottom