Bernard Membe kumbuka wakati hizo maiti unazodai kuokotwa kwenye viroba Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais. Na hii bado ni Serikali ya awamu ya tano

Bernard Membe kumbuka wakati hizo maiti unazodai kuokotwa kwenye viroba Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais. Na hii bado ni Serikali ya awamu ya tano

In the life of a nation there comes a time it becomes imperative to annihilate pathogens in our midst to make people healthful.
 
TISS ni wale wale wale, JWTZ ni wale wale, polisi ni wale wale, Waziri mkuu ni yule yule, makamu wa rais ambaye ndiye rais (ondoa tu neno Makamu ili iwe rais) ni yule yule. Kwa hiyo nadhani Mh. Membe ana matatizo binafsi na serikali ya Mama Samia, ni mnafiki maana kaongea hivyo kuonesha Mama Samia alikuwa Muuaji anaongoza serikali ya uuaji na ikifika 2025 atamgeuka na kusema hapaswi kupewa nafasi. Naamini Watanzania wapo macho na hawa waheshimiwa ambao ni wabaya sana
Wazee wa legacy bhana. So unaamini kuna mtu aliyekuwa anaweza kumshauri Jiwe? Refer ile kauli yake ya mimi sishauriki kabisa, na ukinishauri ndiyo umeharinu kabisa..... Waziri mkuu aliambiwa kuwa mashangazi zake watapigwa kama umesahau.
 
Siyo kweli,katika serikali iliyopita,ambayo ni ya CCM ile ile amepungua JPM pekee.Timu nzima ni ile ile na ubishi wa Katiba Mpya ni ule ule.
Dikteta huendesha serikali kwa maamuzi ya peke yake. Refer kauli ya mimi sishauriki
 
Kama hivyo viroba mliviona mbona mnakalia kusema wako wapi azory na ben? Mna akili kweli ninyi? Kumbe wako aliko muuaji wao [emoji16]
Mimi sijui ila wanaosema aliua reference ni hao wawili tu.
 
Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.

Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?

Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.

Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?

Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.

Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Hii ni awamu ya sita usilisahau hilo
 
TISS ni wale wale wale, JWTZ ni wale wale, polisi ni wale wale, Waziri mkuu ni yule yule, makamu wa rais ambaye ndiye rais (ondoa tu neno Makamu ili iwe rais) ni yule yule. Kwa hiyo nadhani Mh. Membe ana matatizo binafsi na serikali ya Mama Samia, ni mnafiki maana kaongea hivyo kuonesha Mama Samia alikuwa Muuaji anaongoza serikali ya uuaji na ikifika 2025 atamgeuka na kusema hapaswi kupewa nafasi. Naamini Watanzania wapo macho na hawa waheshimiwa ambao ni wabaya sana
Magufuli mwenyewe alishawai kusema mimi ndio rais sasa si mtu wa kusimamiwa tena, wewe unaongea nini unapoongelea kitu kinachoitwa ubadhili kipindi cha kikwete na Magufuli ikiwa alikuwa wa waziri mhandamizi wa awamu ya nne?
 
nchi yetu unafiki mwingi angekuwa hai wasingeongea haya yote. Wakae wakijua JPM ana familia wanajisikiaje kwamba mzee wao ni muuaji 😪
 
Please, kasomeni katiba inavyosema. Rais akifa Chini ya miaka mitatu, Makamu wa Rais atakuwa Rais na anachukiwa ametumikia awamu moja ya miaka mitano na atabakiza miaka mitano tu mingine ya kuchaguliwa. Ndio maana Mama anasema ni awamu ya sita.

Ingekuwa Magufuli amefariki ndani ya miaka minne au miaka mitatu zaidi. Basi mama Samiah angekuwa Ni Rais wa mpito wa awamu ya Tano.
Huo utetezi wako ni kwa mujibu wa Katiba ya 1977 ambayo hata huko CCM haiheshimiwi au hii Mpya tutakayoitumia kwenye uchaguzi ujao?
Sisi tunajadili Katiba Mpya ya Wananchi wewe unatuletea story za awamu hapa!Hebu Watanzania tuwe serious even once in our lifetime,tuahitaji Katiba Mpya kuondoa mkanganyiko na mtifuano wa kugombea vyeo na madaraka.
Katiba Mpya ya Wananchi itatuponya dhidi ya majeraha yaliyotokana na Utawala mbovu chini ya CCM ambao licha ya nchi hii kujaaliwa raslimali lukuki na Mwenyezi Mungu lakini tumebakia kuwa omba omba wa Dunia.Hii sifa mbaya CCM mnaifurahia kwa kuwa mmeshiba,ila ipo siku/saa ya mabadiliko yaja.
Angalizo:Msije mkasombwa na mafuriko ya Wananchi wenye njaa wakiamua kuwatokelezea.Msije kusema hatukuwaambia.
 
Kumbe JPM alikuwa msikivu, mtu anataka kujiuzulu na kurudishwa mara 2 pote anapokelewa tu. Yasemekana lkn japo siyo kweli na mama alitetea had waliomtungua risas lissu kwa kusema si askari wao maana anawajua huwa hawakosi kizembe 😁
https://jamii.app/JFUserGuide the dictator, let him rot in hell
 
Ikitokea akapatikana rais mwingine kabla ya 2025 itakua awamu ya saba? Halafu 2025 inakua ya nane? Acheni uhuni Mungu anatuona. Viongozi hawatengenezi uinchi bali umimi.
Hakuna uhuni wowote hapo kwa mujibu wa katiba iliyopo. Muhuni ni yule atakayeenda kinyume na takwa la katiba.
 
We ni kenge kabisa.. awamu ile hata ukijiuzulu na wewe jiandae kuokotwa kwenye viroba
 
Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.

Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?

Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.

Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?

Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.

Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Makamu wa Rais Tanzania ana majukumu yake ambayo hayahusiani kabisa na mengine mengi ya Urais.
 
Ikulu ni kitu kingine na weza kusema ni nchi nyingine, rais akiamua kufanya mambo yake bila kuwashirikisha walio chini yake hakuna wa kumuuliza, yawezekana naye alikuwa anasikia kama wewe unavyosikia labda baada ya kusikia akaomba kufanyoke uchunguzi na uchunguzi wenyewe lazima apewe ushirikiano kutoka juu.
 
Back
Top Bottom