Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni Serekali ya awamu ya tano ambayo ndiyo ilichaguliwa na Wananchi! Awamu ya sita itakua 2025 panapo Majaliwa ya Mungu!!!
Wazee wa legacy bhana. So unaamini kuna mtu aliyekuwa anaweza kumshauri Jiwe? Refer ile kauli yake ya mimi sishauriki kabisa, na ukinishauri ndiyo umeharinu kabisa..... Waziri mkuu aliambiwa kuwa mashangazi zake watapigwa kama umesahau.TISS ni wale wale wale, JWTZ ni wale wale, polisi ni wale wale, Waziri mkuu ni yule yule, makamu wa rais ambaye ndiye rais (ondoa tu neno Makamu ili iwe rais) ni yule yule. Kwa hiyo nadhani Mh. Membe ana matatizo binafsi na serikali ya Mama Samia, ni mnafiki maana kaongea hivyo kuonesha Mama Samia alikuwa Muuaji anaongoza serikali ya uuaji na ikifika 2025 atamgeuka na kusema hapaswi kupewa nafasi. Naamini Watanzania wapo macho na hawa waheshimiwa ambao ni wabaya sana
Dikteta huendesha serikali kwa maamuzi ya peke yake. Refer kauli ya mimi sishaurikiSiyo kweli,katika serikali iliyopita,ambayo ni ya CCM ile ile amepungua JPM pekee.Timu nzima ni ile ile na ubishi wa Katiba Mpya ni ule ule.
Angejaribu huo ujinga tusingekuwa naye. Jiwe angemuua tuNini mantiki ya kuwa na chombo kinachoitwa serikali? Kama mkuu wa nchi muovu kwa nini makamu wake hakujiuzulu?
Mimi sijui ila wanaosema aliua reference ni hao wawili tu.Kama hivyo viroba mliviona mbona mnakalia kusema wako wapi azory na ben? Mna akili kweli ninyi? Kumbe wako aliko muuaji wao [emoji16]
Hongera kwasababu unapata unachopenda saivi kuliko wakati wa Magufuli.Bora hivi kuliko kutishana,kutekana,kuuana,kisa kukosolewa madarakani.
Hii ni awamu ya sita usilisahau hiloKwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.
Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?
Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.
Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?
Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.
Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Magufuli mwenyewe alishawai kusema mimi ndio rais sasa si mtu wa kusimamiwa tena, wewe unaongea nini unapoongelea kitu kinachoitwa ubadhili kipindi cha kikwete na Magufuli ikiwa alikuwa wa waziri mhandamizi wa awamu ya nne?TISS ni wale wale wale, JWTZ ni wale wale, polisi ni wale wale, Waziri mkuu ni yule yule, makamu wa rais ambaye ndiye rais (ondoa tu neno Makamu ili iwe rais) ni yule yule. Kwa hiyo nadhani Mh. Membe ana matatizo binafsi na serikali ya Mama Samia, ni mnafiki maana kaongea hivyo kuonesha Mama Samia alikuwa Muuaji anaongoza serikali ya uuaji na ikifika 2025 atamgeuka na kusema hapaswi kupewa nafasi. Naamini Watanzania wapo macho na hawa waheshimiwa ambao ni wabaya sana
Naamini unafanya hivyo kwa vitu vinavyosemwa na vya kusadikikaNimeshamshusha thamani huyu mzee
Huo utetezi wako ni kwa mujibu wa Katiba ya 1977 ambayo hata huko CCM haiheshimiwi au hii Mpya tutakayoitumia kwenye uchaguzi ujao?Please, kasomeni katiba inavyosema. Rais akifa Chini ya miaka mitatu, Makamu wa Rais atakuwa Rais na anachukiwa ametumikia awamu moja ya miaka mitano na atabakiza miaka mitano tu mingine ya kuchaguliwa. Ndio maana Mama anasema ni awamu ya sita.
Ingekuwa Magufuli amefariki ndani ya miaka minne au miaka mitatu zaidi. Basi mama Samiah angekuwa Ni Rais wa mpito wa awamu ya Tano.
https://jamii.app/JFUserGuide the dictator, let him rot in hellKumbe JPM alikuwa msikivu, mtu anataka kujiuzulu na kurudishwa mara 2 pote anapokelewa tu. Yasemekana lkn japo siyo kweli na mama alitetea had waliomtungua risas lissu kwa kusema si askari wao maana anawajua huwa hawakosi kizembe 😁
Hakuna uhuni wowote hapo kwa mujibu wa katiba iliyopo. Muhuni ni yule atakayeenda kinyume na takwa la katiba.Ikitokea akapatikana rais mwingine kabla ya 2025 itakua awamu ya saba? Halafu 2025 inakua ya nane? Acheni uhuni Mungu anatuona. Viongozi hawatengenezi uinchi bali umimi.
Makamu wa Rais Tanzania ana majukumu yake ambayo hayahusiani kabisa na mengine mengi ya Urais.Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.
Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?
Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.
Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?
Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.
Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Wewe mama hebu soma ibara ya 47(1) ya katiba ya JMT.Makamu wa Rais Tanzania ana majukumu yake ambayo hayahusiani kabisa na mengine mengi ya Urais.