Lowassa alikubali ushindi wa CCM asubuhi na mapemaa huku akileta story sijui tutakwemda ICC(Nadhani walituona ni wapumbavu wa kiwango cha lami).Hahaha, yaleyale ya Lowassa kukubaliana na mshindi wa CCM.
Ushauri wa bure;
Ni bora wapinzani wasishiriki uchaguzi mgombea wa ccm apite kuliko kupokea masalia kutoka ccm wanaokuja kudhoofisha Ari ya Upinzani
Tafadhali KK ya CHADEMA..Msikilizeni Membe...Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Tanzania na kada wa chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa miongo mingi Bernard Membe anasema ikiwa Vyama vya Upinzani vitaungana na kumpa ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais, basi atakuwa tayari kupambana na Rais John Magufuli katika uchaguzi mkuu ujao wa mwezi Oktoba mwaka huu.
Membe amesifia sehemu ya utendaji kazi wa Magufuli, lakini ameyataja baadhi ya mambo ambayo anasema ikiwa hayatabadilishwa, basi yataitumbukiza nchi matatani. Katika mahojiano haya maalum na mwandishi wa BBC Sammy Awami kutoka nyumbani kwake, katika kijiji alichozaliwa Membe alianza kwa kutoa tathmini ya uongozi wa Rais Magufuli.
Chanzo: BBC
Furahi, maisha ni mafupi.Hahahahha. This is so fun.
Watu wanataka madaraka iwe kwa kupiga kura au kwa kususa, wao wanachotaka ni kutawala. Ukisusa wao wakatawala na ukatii sheria hakuna tatizo hata ukisusa kila awamu usiende kupiga kura.Inawezekana hakuna chama cha maana cha upinzani kutokana na mazingira yaliyopo, ila sio upinzani boss. Tunajitambua vizuri kupita maelezo. Na uzuri sasa hivi tunaweza kufanya siasa na wananchi bila hata kutegemea vyama vya siasa, iwe upinzani, au hao wezi wa kura ccm. Wananchi walishaamka, Magufuli ndio anashurutisha wananchi warudi kwenye siasa za kina Nyerere, za karne iliyopita.
Nadhani kama unafuatilia vizuri, wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa wananchi tulisema hatuko tayari kushiriki uchaguzi katika mazingira yaliyopo, hasa kwa ule uhuni wa kitoto, ushenzi na ukatili wa wazi kwenye chaguzi za marudio. Baadhi ya viongozi wa upinzani kama Mbowe, Halima Mdee, Zito, na wanaccm wengi, walihimiza kujiandikisha lakini hatukutokea. Na hata sasa, wananchi wengi hawajajitokeza kujiandikisha, ama kuhakiki kwani watu wamechoka kufanywa wapuuzi. Tegemea wapiga kura wachache sana safari hii, bila tume huru vya uchaguzi, tena wengi wao ni wanaccm wenye uelewa mdogo, na wale wanaccm washabiki maandazi. Lakini hamna mwanaume kabisa anayesimamisha vizuri, atashiriki huo uhanithi bila tume huru ya uchaguzi.
Najua kabisa ushindi wa upinzani kwenye uchaguzi bila tume huru ni ngumu lakini kususia uchaguzi na kumpa Magufuli ushindi wa mezani ni hatari kubwa. Wapinzani wanatakiwa wajitutumue kwa kadri wawezavyo kum-challenge Magufuli. Lengo liwe ni kumpa wakati mgumu. Pamoja na kuwa atahakikisha anatumia vyombo vya dola kupata ushindi lakini kuna wakati mwingine nguvu ya wananchi ikiwa kubwa wanaogopa. Pia hata wakiiba lakini atajiuliza mara mbili mbili namna anavyoongoza. Hili la wapinzani kususia ni kuwa Magufuli ameshalitafutia solution tayari: i.e. Chama cha NCCR Mageuzi. Atahakikisha anawashirikisha kwenye uchaguzi kwa gaharama yake, na kuwapa baadhi ya majimbo ili ionekane kuwa uchaguzi ulifanyika na waliosusia hawana sababu za msingi. Mwizi akienda kuiba sehemu akikutana na upinzani mkali, hata kama ataiba lakini kesho atajiuliza mara mbili kama arudi tena, lakini akikuta mteremko kesho atarudi tena. Na mwisho hata kama wapinzani hawatashinda lakini uchaguzi ujao watakuwa wamejifunza mengi na watapata wagombea wengi watakatiwa motisha na uungwaji mkono ulioonyeshwa.Inawezekana hakuna chama cha maana cha upinzani kutokana na mazingira yaliyopo, ila sio upinzani boss. Tunajitambua vizuri kupita maelezo. Na uzuri sasa hivi tunaweza kufanya siasa na wananchi bila hata kutegemea vyama vya siasa, iwe upinzani, au hao wezi wa kura ccm. Wananchi walishaamka, Magufuli ndio anashurutisha wananchi warudi kwenye siasa za kina Nyerere, za karne iliyopita.
Nadhani kama unafuatilia vizuri, wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa wananchi tulisema hatuko tayari kushiriki uchaguzi katika mazingira yaliyopo, hasa kwa ule uhuni wa kitoto, ushenzi na ukatili wa wazi kwenye chaguzi za marudio. Baadhi ya viongozi wa upinzani kama Mbowe, Halima Mdee, Zito, na wanaccm wengi, walihimiza kujiandikisha lakini hatukutokea. Na hata sasa, wananchi wengi hawajajitokeza kujiandikisha, ama kuhakiki kwani watu wamechoka kufanywa wapuuzi. Tegemea wapiga kura wachache sana safari hii, bila tume huru vya uchaguzi, tena wengi wao ni wanaccm wenye uelewa mdogo, na wale wanaccm washabiki maandazi. Lakini hamna mwanaume kabisa anayesimamisha vizuri, atashiriki huo uhanithi bila tume huru ya uchaguzi.
Hivi wewe unaamini kabisa Dr Slaa angepitishwa na Chadema kugombea mwaka 2015 angeshinda? Au angepata kura alizopata Lowassa?Wapinzani walivyo hawajielewi watampa ridhaa waliwe Kichwa kama 2015
Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Tanzania na kada wa chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa miongo mingi Bernard Membe anasema ikiwa Vyama vya Upinzani vitaungana na kumpa ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais, basi atakuwa tayari kupambana na Rais John Magufuli katika uchaguzi mkuu ujao wa mwezi Oktoba mwaka huu.
Membe amesifia sehemu ya utendaji kazi wa Magufuli, lakini ameyataja baadhi ya mambo ambayo anasema ikiwa hayatabadilishwa, basi yataitumbukiza nchi matatani. Katika mahojiano haya maalum na mwandishi wa BBC Sammy Awami kutoka nyumbani kwake, katika kijiji alichozaliwa Membe alianza kwa kutoa tathmini ya uongozi wa Rais Magufuli.
Chanzo: BBC
Membe alianza kwa kutoa tathmini ya uongozi wa Rais Magufuli
Politics on politics. Kadi aliyonayo ni ya CCM; kila anapozungumza mambo ya SIASA huzungumzia Chama Changu CCM halafu uteuzi anataka toka kwa ACT/CHADEMA!!!! Ni lini alikatwa POSHO /Mshahara wake kuvichangia hivyo vyama?Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Tanzania na kada wa chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa miongo mingi Bernard Membe anasema ikiwa Vyama vya Upinzani vitaungana na kumpa ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais, basi atakuwa tayari kupambana na Rais John Magufuli katika uchaguzi mkuu ujao wa mwezi Oktoba mwaka huu.
Membe amesifia sehemu ya utendaji kazi wa Magufuli, lakini ameyataja baadhi ya mambo ambayo anasema ikiwa hayatabadilishwa, basi yataitumbukiza nchi matatani. Katika mahojiano haya maalum na mwandishi wa BBC Sammy Awami kutoka nyumbani kwake, katika kijiji alichozaliwa Membe alianza kwa kutoa tathmini ya uongozi wa Rais Magufuli.
Chanzo: BBC
Hii ni BBC Mkuu haina shaka tuendelee kujadili content tu.Muwe mnaweka na vyanzo vya habari zenu, sio mnakurupuka tu na kuanzisha thread.
Kabisa mkuu.Furahi, maisha ni mafupi.
Kumbe mnajua mshashindwa mnataka tu kupunguza kura?.Faida za kumkubali Membe ni nyingi kuliko hasara kama ilivyokuwa kwa Mamvi.
Membe ataleta hamasa ya wanachama na wasiowanachama kupigia kura ya ndiyo kwa madiwani , wabunge na hata kugawana /kupunguza kura za urais.
Najua kabisa ushindi wa upinzani kwenye uchaguzi bila tume huru ni ngumu lakini kususia uchaguzi na kumpa Magufuli ushindi wa mezani ni hatari kubwa. Wapinzani wanatakiwa wajitutumue kwa kadri wawezavyo kum-challenge Magufuli. Lengo liwe ni kumpa wakati mgumu. Pamoja na kuwa atahakikisha anatumia vyombo vya dola kupata ushindi lakini kuna wakati mwingine nguvu ya wananchi ikiwa kubwa wanaogopa. Pia hata wakiiba lakini atajiuliza mara mbili mbili namna anavyoongoza. Hili la wapinzani kususia ni kuwa Magufuli ameshalitafutia solution tayari: i.e. Chama cha NCCR Mageuzi. Atahakikisha anawashirikisha kwenye uchaguzi kwa gaharama yake, na kuwapa baadhi ya majimbo ili ionekane kuwa uchaguzi ulifanyika na waliosusia hawana sababu za msingi. Mwizi akienda kuiba sehemu akikutana na upinzani mkali, hata kama ataiba lakini kesho atajiuliza mara mbili kama arudi tena, lakini akikuta mteremko kesho atarudi tena. Na mwisho hata kama wapinzani hawatashinda lakini uchaguzi ujao watakuwa wamejifunza mengi na watapata wagombea wengi watakatiwa motisha na uungwaji mkono ulioonyeshwa.