Membe akija hapo Chadema mtamnyima nafasi ya kugombea urais?Kwa taarifa yako Membe hajasahau, bali hajui. Bado ana hang over ya alipokuwa ccm, kwani wakati huo alikuwa yuko juu ya sheria, na aliweza kufanya chochote hata kinyume cha sheria na asiguswe.
Wapinzani waliokula hela za Membe warudishe, huyo mzee analiwa hela kwa ahadi kuwa atapewa nafasi ya kugombea urais. Ndio maana yuko porini huko anaagiza wapinzani waungane, halafu yeye ndio aje agombee urais! Anaamini wapinzani wanaweza kuwa wajinga mara mbili. Yeye aongee vizuri na ACT, ajue wanamrudishia hela yake, au wampe nafasi, lakini sio kupata support ya wapinzani.
Wangeungana kwa sheria ipi?!Ukweli CDM na ACT wangeungana wakaacha tamaa yaani Zanzibar pamoja na mikoa hii Pwani, Tanga na Kigoma wakapewa ACT inayobaki bara wakapewa CDM wangeweza kutoboa, NCCR wala haina chake.
Sasa kama kuna bad lawa si unatakiwa unipe updates ni sheria gani na kifungu gani?You are so outdated. Ina maana hizi bad law za kipindi hiki cha Magufuli wala huzijui!
Ni wazi sheria zinazotungwa ni kandamizi. Ni kwa sababu ya uoga, kutojiamini na uroho wa madaraka.You are so outdated. Ina maana hizi bad law za kipindi hiki cha Magufuli wala huzijui!
CCM ni waroho wa madaraka!!Ni wazi sheria zinazotungwa ni kandamizi. Ni kwa sababu ya uoga, kutojiamini na uroho wa madaraka.
Kabisa wakiamua wanaweza sana. Swali ni nani atakayesimamishwa, na kwa masharti au maelewano gani.Si ni hivi chama kimoja tu cha upinzani ndo kinasimamisha Rais atakaeungwa mkono na vyama vingine. Wakiamua wanaweza.
Ni maamuzi magumu ila ndo effective katika kumshinda Magufuli. Wanaweza kuelewana waziri mkuu, mgombea mwenza. Pia katika mawaziri watoke vyama vingine. Yaani wakifanya hivyo ndo watafanikiwa kuing'oa CCM. Otherwise wataendelea kugawana kura.Nani hataki ruzuku mpaka amuachie mwenzake kugombea?
Wewe tunawaza sawa. Yaani hii ndo njia pekee ya kumshinda Magu.Kabisa wakiamua wanaweza sana. Swali ni nani atakayesimamishwa, na kwa masharti au maelewano gani.
Jee wataaminiana, 2015 CHADEMA ilipewa fursa hiyo, tulisikia vilio vya vyama vigenevyo. Jee chadema watakubali wakiambiwa safari hii ni Zitto wa ACT Bara, na hali wanajua kabisa kisiwani Maalim Seif ndiye mshindani anayeweza leta upinzani wa maana. Yaani kote kote ni ACT, lakini wakishinda Chadema watapewa uu Waziri Mkuu, Spika, na wizara mbili nyeti.
Asante Sister, tena mie ni mwana CCM, lakini safari hii kura ya uraisi naipeleka upinzani, wakitupa mgombea wa maana, kati ya Lissu na Zitto.Wewe tunawaza sawa. Yaani hii ndo njia pekee ya kumshinda Magu.
2015 waliungana kwa sheria ipi?Wangeungana kwa sheria ipi?!
Na hapo ndipo unapoona CCM walivyokuwa waoga! Kwani Zitto akienda kupanda jukwaani na kusema kura zote wapewe chadema atakuwa amevunja sheria ipi?Wangeungana kwa sheria ipi?!
Membe akija hapo Chadema mtamnyima nafasi ya kugombea urais?
Mmeshachelewa manka!Wewe tunawaza sawa. Yaani hii ndo njia pekee ya kumshinda Magu.
Sasa kama kuna bad lawa si unatakiwa unipe updates ni sheria gani na kifungu gani?
Utaijua siku atakapopanda hapo jukwaani kwa Ufipa!Na hapo ndipo unapoona CCM walivyokuwa waoga! Kwani Zitto akienda kupanda jukwaani na kusema kura zote wapewe chadema atakuwa amevunja sheria ipi?
Unikome. Manka ndo nani ?Mimi ninaitwa Nchambi.Mmeshachelewa manka!