Biashara gani naweza kufanya nikaingiza pesa nyingi kwa siku bila mtaji?

Biashara gani naweza kufanya nikaingiza pesa nyingi kwa siku bila mtaji?

Hapo panahitaji mtaji wa muda na bundle la interne kama simu yako inauwezo mdogo ni bora utumie PC au tablet. Ukitulia kilakitu utapata hapo.
Hii nimepitia, ni lazima mtaji babu ila kwa skils unaweza tengeza pesa ndefu na yenyewe sio zero capital, inatakiwa kuandaa vifaa vya kufundishia na kutengeza video sema nini kuna option mzuri unaweza kupata membership, ngoja nikakope kwenye vikoba.
 
Hii nimepitia nilazima mtaji babu ila kwa skils unaweza tengeza pesa ndefu na yenyewe sio zero capital inatakiwa kuandaa vifaa vya kufundishia na kutengeza video sema nini kuna option mzuri unaweza kupata membership ngoja nikakope kwenye vikoba
Ingia kwenye Finances kopa 100,000 vizia minada ya bei mzuri nunua kisha edit bei weka cha juu resale itakupa option ya kuedit bei peke yake edit kisha post

Bidhaa ikinunuliwa cha juu chako kinawekwa kwenye wallet yako watakata 100,000 yao kitakachobaki cha kwako atakanaye delivery mzigo ni yule alo post wa kwanza umekosa nini mtaji wako niku share kwenye mitandao ya kijamii ili bidhaa inunuliewe haraka upate pesa.
 
Ingia kwenye Finances kopa 100,000 vizia minada ya bei mzuri nunua kisha edit bei weka cha juu resale itakupa option ya kuedit bei peke yake edit kisha post
bidhaa ikinunuliwa cha juu chako kinawekwa kwenye wallet yako watakata 100,000 yao kitakachobaki cha kwako atakanaye delivery mzigo ni yule alo post wa kwanza umekosa nini mtaji wako niku share kwenye mitandao ya kijamii ili bidhaa inunuliewe haraka upate pesa.
Kumbe wasije kunitapeli bro
 
Yeye anawaza kuwa lazima uwe na mtaji ndo utoboe la sivyo ufanye illegal. Bora hata aliyekuambia uwe dalali Ana akili Sana.
Mana waweza uza eneo la 300m ukaliuza 800M.ukampata fisadi akaaibia watanzania wajinga
Sijakuelewa umeongelea vitu vingi kwa mpigo
 
Screenshot_20211220-101504.png

Habari niliomba mkopo wa 150k baada ya muda nikapata mzigo mkubwa nikashangaa kumbe kuna kitu kilienda wrong nilipo jaribu ku withdraw wamekata pesa zote kila nikiomba wananiambia kiwango changu cha mkopo kimefika mwisho nifanye je mkuu
 
View attachment 2080420

Hebu soma vizuri maelezo yangu wapi nimekuambia ukope kisha withdraw?
 
ebu soma vizuri maelezo yangu wapi nimekuambia ukope kisha withdraw ?
Hamna sema nini pale walitoa option nikajaribu kutoa kuwanjia ya simu, sasa hivi imenifungiwa kilakitu siwezi kopa tena inanipa option ya Deposit tu.
 
Nini kinahitajika ulipo chukua order nenda kwa suppliers kama wanakujua wanakuamini au unaweza kuweka kitu bond supply mahitaji ya watu....

Kuweza Trading theoretically kila mtu anaweza ila uwezo wako kama ni mkubwa kuliko wengine basi ongea na wateja na wauzaji utapata a good deal (that is if you are as good as a trader as you say you are) ila kama ni average kama mamilioni walipo...., set your expectations a bit lower
Habari mkuu ...Naona hii kama inawezekana .. Ungeieleza kwa ufasaha na mifano itatusaidia wengi...Naona kuna kitu hapo.. Msaada zaidi ndugu tuweze kukomboka
 
Habari wadau,

Biashara gani naweza kufanya bila mtaji nikapata pesa nyingi, mwenye kujua nisaidie mawazo.
[emoji769]Waafrika tubadilikeni kama unaweza kumsomesha mtoto shule za million 3 kwa mwaka tutenge na pesa za kuwafungulia mitaji watoto zetu hata bihashara ya kufuga ngombe za maziwa, nguruwe na kuku wa mayai. Kuliko kuwaaacha wanapata stress na kutaka kuwatoa roho.
Tukumbuke kuzaaa ni uwekezaji[emoji769]
 
mkuu unaweza kuwa dalali nautahitaji kiwango kidogo tu cha mtaji yani mtaji connection na mtaji mawasiliano .
ukiweza kuwa na hivyo unaweza tengeneza kiwango kizuri kiasi flani
 
mkuu unaweza kuwa dalali nautahitaji kiwango kidogo tu cha mtaji yani mtaji connection na mtaji mawasiliano .
ukiweza kuwa na hivyo unaweza tengeneza kiwango kizuri kiasi flani
Asante mkuu
 
Hebu soma vizuri maelezo yangu wapi nimekuambia ukope kisha withdraw?
Hivi bila kuwa na bank account silipwi hawa jama wana akili sana watu wengi hatuna ajira tatizo njia za kupokea pesa naona bank account ndiyo wanasisitiza badala simu hiki ni kikwazo
 
Hakuna hiyo biashara duniani (Ninaomba nirekebishwe kama siko sawa) ila ninachofaham mitaji imegawanyika...kuna Financial capital, Human capital au social capital...kwa hiyo hata umaarufu wako ukikupa kazi au watu wa karibu wakikupa kazi huo ndio mtaji wako..na ndio maana watu na umaarufu unaweza kukugharimu pia..
 
Kwa kukusaidia...kama mtaji unamaanisha fedha...basi ndio unaweza fanya biashara bila mtaji kama tu una watu. Kwa mfano: Assume una marafiki zako wawili tu (mtaji) ambao wako mkoa mwingine na kuna bidhaa ambayo inapatikana katika mkoa wako kwa bei rahisi. Unaweza kuwatangazia halafu ukawaambia aidha wakupe advance au kiasi chote cha hela..halafu wewe unaenda nunua unawatumia...Au kama unafahamiana na wauzaji (mtaji) unaenda kuchukua bidhaa on credit halafu ukiwatumia jamaa wakikulipa unamlipa muuzaji.

Nahisi inaweza saidia kama nimekuelewa sawa. Kama haisaidii assume 'sijawahi kuwa hapa' maisha yaendelee.
 
Hivi bila kuwa na bank account silipwi hawa jama wana akili sana watu wengi hatuna ajira tatizo njia za kupokea pesa naona bank account ndiyo wanasisitiza badala simu hiki ni kikwazo
zinatoka hata kwanjia ya simu wasiliana Admin. niko hapa JF muda siwezi kukupoteza kunasiku utanikumbuka watu wengi ni waogo wa kutumia mifumo ya kidigital ndio manaa wanakushauri biashara ambazo ningumu kutoka wala kuwafikia watu wengi wewe komaa hapo hapa kunasiku utanitafuta.
 
Kwa kukusaidia...kama mtaji unamaanisha fedha...basi ndio unaweza fanya biashara bila mtaji kama tu una watu. Kwa mfano: Assume una marafiki zako wawili (mtaji) tu ambao wako mkoa mwingine na kuna bidhaa ambayo inapatikana katika mkoa wako kwa bei rahisi. Unaweza kuwatangazia halafu ukawaambia aidha wakupe advance au kiasi chote cha hela..halafi wewe unaenda nunua unawatumia...Au kama unafahamiana na wauzaji (mtaji) unaenda kuchukua bidhaa on credit halafu ukiwatumia jamaa wakikulipa unamlipa muuzaji.

Nahisi inaweza saidia kama nimekuelewa sawa. Kama haisaidii assume 'sijawahi kuwa hapa' maisha yaendelee.

zinatoka hata kwanjia ya simu wasiliana Admin. niko hapa JF muda siwezi kukupoteza kunasiku utanikumbuka watu wengi ni waogo wa kutumia mifumo ya kidigital ndio manaa wanakushauri biashara ambazo ningumu kutoka wala kuwafikia watu wengi wewe komaa hapo hapa kunasiku utanitafuta.
Asante nimeishapata mwanga pana features nyingi za kuanzia watu kama sisi kitu kingine mifumo ya zamani kama unavyosema wameua kabisa nangoja angalau nipokee hata elfu 20,000 kwenye simu yangu nitaku PM, tatizo kuna baadhi ya watu hapa if wanajifanya wanajua kila kitu cha dunia hii kumbe ni uzuzu tu unawasubua nawashauri wajifunze kutoka kwako na baadhi ya watu walionisaidia badala ya kunitukana matu ya nguoni nadhani kila mtu mwenye akili timamu anapaswa kukemea hii tabia ya matusi na ujuaji kuna watu hapa JF wanafikiri wanajua kilakitu cha Dunia hii kumbe ni ujinga tu uwezi kukariri kila kitu kilichopo Dunia bora mtu ukaa kimya na kujifunza hawa jamaa wamenikwaza sana.
 
Back
Top Bottom