Biashara hizi tatu zina mtaji wa Tsh Milioni 1; je, unanishauri nianze na ipi ambayo inaweza kunipa mafanikio?

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
1. Biashara ya stationary karibu na chuo ambapo gharama zote za awali ni 1m

02. Library ya kurusha movie kwa kutumia kompyuta, hapa nyimbo series nk

03. Ni saloon ya kiume ambapo itanibodi nifanye kwanza mafunzo ya kunyoa kwa mwezi mmoja.

Kwa mtazamo wako niinvest wapi kwa ajili ya business sustainability?
 
1.Biashara ya stationary karibu na chuo ambapo gharama zote za awali ni 1m

02.Library ya kurusha movie kwa kutumia kompyuta, hapa nyimbo series nk

03.Ni saloon ya kiume ambapo itanibodi nifanye kwanza mafunzo ya kunyoa kwa mwezi mmoja.

Kati ya hizo 3 chagua stationery haina mambo mengi sana mkuu
 
Stationary sidhani gharama za awali inaweza kuwa na 1m,inazidi labda kama unanunua vitu used ambayo utasumbuka navyo katika matengenezo then ufilisike. Kuna printing machines,compyuta,na makolokolo mengi mengine, hapo kwenye "laiburali" ndo penyewe,inakupasa ununue tu compyuta,kisa useti movies zako kuendana na soko,kisha subiri wateja,hapo mwanawane utakuwa umeula,saloon si nzuri saana ukilinganisha na laiburali
 
Sawa kaka haina shida ushauri mzuri
 
Kama stationary ipo karibu au ndani ya chuo fungua hivi maana soko lake litakuwa kubwa sana kutoka kwa wanafunzi wanaohitaj kuprint na kutoa copy
 
Stationary sidhani gharama za awali inaweza kuwa na 1m,inazidi labda kama unanunua vitu used ambayo utasumbuka navyo katika matengenezo then ufilisike. Kuna printing machines,compyuta,na makolokolo mengi mengine, hapo kwenye "laiburali" ndo penyewe,inakupasa ununue tu compyuta,kisa useti movies zako kuendana na soko,kisha subiri wateja,hapo mwanawane utakuwa umeula,saloon si nzuri saana ukilinganisha na laiburali
Ukiwa na library MADEMU hawakauki
 
Stationary ✖️
Stationery ✔️

Hiyo stationery ya 1M mchanganuo wake ukoje? Unalipia Kodi? Unanunua Printer? Computer? Racks? Meza? Viti? Alafu iwe eneo la karibu na chuo?

Au hivyo vitu unavyo na kodi haulipii ni nyumba ya familia?
 
1.Biashara ya stationary karibu na chuo ambapo gharama zote za awali ni 1m

02.Library ya kurusha movie kwa kutumia kompyuta, hapa nyimbo series nk

03.Ni saloon ya kiume ambapo itanibodi nifanye kwanza mafunzo ya kunyoa kwa mwezi mmoja.

Kwa mtazamo wako niinvest wapi kwa ajili ya business sustainability?
Stationary kwa Million ni uongo.
 
😀 mbona unapiga rungu comment ya jamaa, kosa lake liko wapi kutoa maoni yake?. Usipige rungu mkuu
 
Back
Top Bottom