Southern Giant
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 933
- 1,912
hapo piga biashara namba 1 ila huo mtaji wako ni mdogo
Mwenyewe katoa mchanganuo wake wa 1M hapo juu, kama anaweza akaufuata basi hii biashara itamfaa. Japo nahisi itabidi ajivute kidogoHapo kipengele
Nashukuru sana kakaKama kwa hivyo inawezekana, basi fanya stationery. Naona hiyo ni nzuri zaidi
Sifikiri kama Hulda-Tamarri ni kaka🤔Nashukuru sana kaka
Nimekosea brotherSifikiri kama Hulda-Tamarri ni kaka🤔
Shida sio kupenda mademu, shida n upumbavu ulioandika VS lengo la mada
Jamani 🤣Nashukuru sana kaka
🤣🤣Sifikiri kama Hulda-Tamarri ni kaka🤔
Usijali mkuu.Nimekosea brother
Vipi hati miliki za wasanii wa bongo?Mmarekani au Mkorea atoke huko ulaya aje akukamate wewe ambae ndo kwanza unaanza maisha unatafuta ela ya kula na kujenga? Thamani ya netflix ni zaidi ya Trilioni 400. Yes, Trilioni mia nne za kitanzania.
Na hiyo ni faida mkuu!?Ukiwa na library MADEMU hawakauki
Yes .utachaguwa wewe Sasa.Na hiyo ni faida mkuu!?