Biashara hizi tatu zina mtaji wa Tsh Milioni 1; je, unanishauri nianze na ipi ambayo inaweza kunipa mafanikio?

Biashara hizi tatu zina mtaji wa Tsh Milioni 1; je, unanishauri nianze na ipi ambayo inaweza kunipa mafanikio?

Kama umri wako ni chini ya miaka 30 fanya ya library inalipa kuliko hizo zote

Kama umezidi miaka 30+ fanya stationary
 
Hizo ni changamoto Moja wapo ya biashara hyo.
Tumia akili kidogo.
Una stress?
[/QUOTE]
Huu uzi hauzungumzii mambo ya mademu, wewe unaleta mambo ya mademu.

Je mimi na wewe nani hana akili?

Majukwaa ya mambo ya Mademu si yapo? Nenda huko ukawe bize na mademu
 
Hii issue ya haki miliki sio changamoto.?
Mmarekani au Mkorea atoke huko ulaya aje akukamate wewe ambae ndo kwanza unaanza maisha unatafuta ela ya kula na kujenga? Thamani ya netflix ni zaidi ya Trilioni 400. Yes, Trilioni mia nne za kitanzania.
 
1. Biashara ya stationary karibu na chuo ambapo gharama zote za awali ni 1m

02. Library ya kurusha movie kwa kutumia kompyuta, hapa nyimbo series nk

03. Ni saloon ya kiume ambapo itanibodi nifanye kwanza mafunzo ya kunyoa kwa mwezi mmoja.

Kwa mtazamo wako niinvest wapi kwa ajili ya business sustainability?
Kama unakaa mwenyewe ofisini kwa hyo 1m capital ni bora 2.

Stationary ni best kwa hzo tatu.. Lakini kwa 1m hata usijaribu kufanya hyo biashara. maana utaishia njian..

nenda na library, hapo ni pc moja, sub woofer, external, meza uchwala, kochi moja na viti viwili vya office.

Kama huna firm ambayo ipo tayari basi 1m haitoshi. tafuta hela ya firm.
 
1. Biashara ya stationary karibu na chuo ambapo gharama zote za awali ni 1m

02. Library ya kurusha movie kwa kutumia kompyuta, hapa nyimbo series nk

03. Ni saloon ya kiume ambapo itanibodi nifanye kwanza mafunzo ya kunyoa kwa mwezi mmoja.

Kwa mtazamo wako niinvest wapi kwa ajili ya business sustainability?
stationary iko poa sana sababu unauhakika wa kufanya mauzo kwakuwa upo karibu na chuo, pia unakuwa na uwezo wa kuongeza vitu vidogo vidogo(bites) na soft drinks. Library sikushauri 1 millioni haitoshi binafsi nimeshawahi fanya hii biashara nikaweka spika kubwa,carpet zuri deks top, feni kubwa...kumbe mtaji sio hivyo vitu mtaji ni hard disk kubwa hapa tunaongelea Telabite 12 na kuendelea.....Saloon pia ni biashara nzuri sana hukosi pakushinda na pia unaingiza pesa..
 
Back
Top Bottom