Sina hakika kwa Arusha, lakini kwa Dar biashara ya daladala inalipa sana. Hata hivyo, sikushauri kununua Hiace au gari la aina yoyote especially daladala toka kwa mtu unless uwe unaifahamu vizuri historia ya gari husika. Gari nyingi, hususani zilizowahi kutumika kama daladala zinakuwa vimeo ile mbaya hata kama utakuta machoni zinapendeza! Nyingi, kabla hawajaziingiza sokoni, huwa kwanza wanazipeleka board na zikitoka hapo utaipenda tu. Tena ogopa zaidi kununua gari za aina hiyo toka maeneo ya chumvichumvi....coastal areas kv dar na znz. Na kama unazani ni lazima ufanye hiyo biashara, basi chunguza kwanza mashine...kama ni kimeo basi refrain frm kubadilisha kifaa kimojakimoja....piga chini mashine mzima na iingize sokoni hata kama utaiingiza as a scraper kisha weka mashine nyingine used. However, make sure unanunua mashine used madukani na sio kwa m2. Usisahau kubadilisha Gear Box na Pump....hivi vyote viwe toak kwenye maduka ya vifaa used....Be Careful, kuna maduka mengine wanauza mashine used ambazo zimetolewa kwenye magari ya hapa hapa Bongo; kwamba unakuta mtu gari yake ipo written off, anachukua mashine anapeleka kwenye maduka yanayouza vifaa vya magari ambavyo used. Kwa hiyo 8M yako, unapaswa kuweka pembeni extra 5M kwa ajili ya ku-cover hizo expenses endapo unataka kufanya hiyo biashara kwa amani.
To cut story short, 8M ni pesa ndogo sana kuweza kupata Hiace nzuri therefore, ili uweze kuifanya hiyo biashara vizuri ni lazima uwe na addition 5M. Don't forget, kama mashine sio mzuri, usithubutu kubadilisha kitu kimoja kimoja; piga chini de whole engine!
WISH U ALL THE BEST