Biashara ya Kamari: Mbadala wa Dawa za Kulevya?

 
 
dawa za kulevya hazina mbadala,madili haramu mengine yatakuja na kupita ila mihadarati itabaki kuwa haina mdala,kuna nchi zimefanikiwa kupiga marufuku kamari,lakin wameshindwa kufaulu kwny mihadarati,mihadarati ukiizuia ndo umeipigia promo na kuipandisha bei kwny nchi yako,mfano gramu ya cocaine ufilipino na China ni bei ghali kuliko Mexico na Colombia,niiwahi kuwa Cuba by 2009/10,hii ni nchi ambayo inasheria kali sana kwny ishu ya mihadarati lakin madon wanaimport na wanatamba kinoma,tena kile kipenisula kinachokaribiana na Florida USA ndo lilikuwa lango la magendo na uingizwaji wa mihadarati, mambo ni mengi aisee ila kamali ni biashara nyepesi huwezi sema et kamali ni mbadala wa unga,hata ugaidi ni uhalifu ambao haufikii wa mihadarati
 
Unajua maana, aina na makundi ya addictions
 
Hatari
 
 
Miyeyusho mingine bwana,mtu anatunga stori,anaitupia huku ila kutaka attention zetu
Ndugu usiombe. Haya ya kubeti na kamari ndo mabaya zaidi sababu yameingia Mpaka ndani kabisa vijijini. Madhara Yake usiombe sababu yamefilisi wengi. Pia waathirika wanageuka wezi pale wanapokosa hela. Wengine wameishia kujiua. Mungu aepushe mbali.
 
Mtu wa Mfano lazima uwepo ili kuwashawishi wengine. Hapa mwishoni umesisitiza siyo kitu kizuri.
 
Mkuu umeongea Kiuhalisia Kabisa. Mtu anayetetea haya Makitu ni hatari sana na Anatumika bila kujijua. Siku yskimfika hataamini.
 
Bado Hali inazidi kuwa mbaya Mtaani... Bora Hata Hizi za mitandaoni... Kuna Hizi mashine za wachina maarufu Kama Bonanza zimewekwa mpaka huko ndani vijijini zinazidi kujaribu watoto na Uchumi wa Nchi kwa Kasi Sana. Maana Mchina anatega anakuja kuchukua hela anaondoka.. Ukihoji unaambiwa analipa Kodi.!!!
 
Watu wanadharau vile vichenji chenji vidogo, lakini nimewahi kushuhudia pale Sinza jamaa kachenji laki nzima nankaitumbukiza ikaliwa yote
 
Watu wanadharau vile vichenji chenji vidogo, lakini nimewahi kushuhudia pale Sinza jamaa kachenji laki nzima nankaitumbukiza ikaliwa yote
Mkuu Acha tuu .. Ni Majanga na Serikali imekaa kimya... Siku moja nilikuwa Kasulu kigoma nilishuhudia Mpaka Diwani anacheza hayo madude...
 
Mkuu Acha tuu .. Ni Majanga na Serikali imekaa kimya... Siku moja nilikuwa Kasulu kigoma nilishuhudia Mpaka Diwani anacheza hayo madude...
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…