doper
JF-Expert Member
- Apr 12, 2014
- 312
- 150
Hao wakuweka channel za mpira star time ni matapeli mkuu.mimi ninatumia star times...hao wanaoweka channel za mpira wako wapi waniwekee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wakuweka channel za mpira star time ni matapeli mkuu.mimi ninatumia star times...hao wanaoweka channel za mpira wako wapi waniwekee?
Kweli ngoja akawekewe ila asisahau kuleta mrejesho.Haya mkuu mwite akuwekee ili uhakikishe mwenyewe
Mkuu umekuja mjini wakati stand ya ma bus ya kwenda mikoani ikiwa eneo gani mkuu?wapo nadhani hata ukiingia kupatana au hata humu kuna baadhi ya matangazo yao shida inadumu kwa muda gani?
This is one of the best solutions[emoji106]Kwa nini hamtumii ANDROID TV BOX? kupitia Android TV Box utapata Mobdro. Ndani ya Mobdro mechi karibu zote zinapatikana.Internet yako tu ya 4G itahusika.Nunua Android TV Box,nunua 4G router.Kazi imeisha
Tapeli huyo mimi alishanipiga na nimeenda kwa mganga na namtafta personally tumalizane ki utu uzima. Pumbavu zakeduuuh kuna mtu kapigwa? au ni hadithi kiufupi niliongea nae ingawa bado sijawa inerested sana na huko maana najua vya bure it cost
Jamaa huyo ni tapeli..ukishampa hela anadai kuwa amefiwa na mama yake...so anashughulikia msiba wa mama yake..ni tapeli sugu..msijaribu kumpa hela..kawatapeli wengi..kuna rafiki yangu alimpa 40 elfu kwa huduma..hadi leo anasema yupo msibani ..shortcut always is expensiveHuyo jamaa anayeweka Chanel za mpira,alileta Uzi hapa,wachangiaji walimshukia kwamba Ni taperi na haiwekani..akashindwa kutoa maelezo akakimbia Uzi wake.
0713784915 /0717 17 6488 jamaa alijitangaza humu kuwa anatoa huduma ya startimes kuunganisha na channel za sports..nimeona ni vyema ku share na wana jamii maana huyu ni tapeli na hizo ndio no zake...hakuna huduma hiyo..cha msingi ni tapeli na hana maana..hizo ni no zake za mawasiliano na anazotumia kupokea tigo pesaJamaa huyo ni tapeli..ukishampa hela anadai kuwa amefiwa na mama yake...so anashughulikia msiba wa mama yake..ni tapeli sugu..msijaribu kumpa hela..kawatapeli wengi..kuna rafiki yangu alimpa 40 elfu kwa huduma..hadi leo anasema yupo msibani ..shortcut always is expensive
Ha ha ha hakuna namna aisee.Tapeli huyo mimi alishanipiga na nimeenda kwa mganga na namtafta personally tumalizane ki utu uzima. Pumbavu zake
naipata wapi hyo android tv!Kwa nini hamtumii ANDROID TV BOX? kupitia Android TV Box utapata Mobdro. Ndani ya Mobdro mechi karibu zote zinapatikana.Internet yako tu ya 4G itahusika.Nunua Android TV Box,nunua 4G router.Kazi imeisha
Alinunua hapa nchini au nje ya nchi?Mie niwahi kukutana na mganda yeye anatumia king'amuzi cha Abudhabi sport haviuzwi huku Africa ni special na authorised dealer Asia kama ilivyo DSTv out of africa kile kukipata ni ghali kidogo ila ukikipata unaenjoy sababu hutalipia na utaenjoy mipira sema tu itakua kwenye lugha yao kiarabu
Unaweza ona EPL?Kwa kuwaibia dstv haiwezekani tumia fta za power vu zipo chanell kibao... Nambie uko mjigani ndugu
BeiKwanini ulipie pesa nyingi kwaajili ya kuangalia ligi pendwa duniani?
Misimu ya ligi za soka ndio inaendelea
Pata channel 4 za soka bure kwaajili ya kuangalia ligi kubwa duniani yaani English Premier League(EPL), Spanish LALIGA, Bundesliga, Serie A, French Ligue 1 pamoja na mashindano makubwa duniani kama UEFA, FA, Capital One, International Champion,Super Cup na Olympic
Pia utaweza kuangalia mashindano mengine ya tennis, golf, mbio za magari, ngumi nk
Huhitaji kulipia kwa mwezi hata thumuni ya pesa yako, gharama itahitajika mwanzoni tu kwaajili ya vifaa na ufundi
Mahitaji;
-Dish kubwa (ft 6 au ft 8)
-Satellite receiver(yenye mfumo wa pv)
-C band LNB
-LNB cable(wire)
-Diseqc switch
Vifaa hivi vyote vinapatikana kwangu pamoja na ufundi
Pia utapata channel zinaonyesha movies,series, mieleka, wanyama, utafiti na sayansi
Mfumo huu una stability 90% reliability 90%, usihofu kukatiwa matangazo au utapeli
Mawasiliano(Call or text/whatsapp)
-0686811173
-0764453848