Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Mie niwahi kukutana na mganda yeye anatumia king'amuzi cha Abudhabi sport haviuzwi huku Africa ni special na authorised dealer Asia kama ilivyo DSTv out of africa kile kukipata ni ghali kidogo ila ukikipata unaenjoy sababu hutalipia na utaenjoy mipira sema tu itakua kwenye lugha yao kiarabu
 
Kiongozi kwa kweli hii biashara mimi ilinishinda yaani nilikuwa nalipia 92 elfu kwa compact + halafu mwisho wa mwezi napata hasara kama ya 20 elfu hapo bado wananzengo wanakopa mechi kulipa ndo mbinde ila naumiza akili nikija kuibuka watanielewa tu kwa nitakachokifanya.
 
duuuh kuna mtu kapigwa? au ni hadithi kiufupi niliongea nae ingawa bado sijawa inerested sana na huko maana najua vya bure it cost
Tapeli huyo mimi alishanipiga na nimeenda kwa mganga na namtafta personally tumalizane ki utu uzima. Pumbavu zake
 
Huyo jamaa anayeweka Chanel za mpira,alileta Uzi hapa,wachangiaji walimshukia kwamba Ni taperi na haiwekani..akashindwa kutoa maelezo akakimbia Uzi wake.
Jamaa huyo ni tapeli..ukishampa hela anadai kuwa amefiwa na mama yake...so anashughulikia msiba wa mama yake..ni tapeli sugu..msijaribu kumpa hela..kawatapeli wengi..kuna rafiki yangu alimpa 40 elfu kwa huduma..hadi leo anasema yupo msibani ..shortcut always is expensive
 
Jamaa huyo ni tapeli..ukishampa hela anadai kuwa amefiwa na mama yake...so anashughulikia msiba wa mama yake..ni tapeli sugu..msijaribu kumpa hela..kawatapeli wengi..kuna rafiki yangu alimpa 40 elfu kwa huduma..hadi leo anasema yupo msibani ..shortcut always is expensive
0713784915 /0717 17 6488 jamaa alijitangaza humu kuwa anatoa huduma ya startimes kuunganisha na channel za sports..nimeona ni vyema ku share na wana jamii maana huyu ni tapeli na hizo ndio no zake...hakuna huduma hiyo..cha msingi ni tapeli na hana maana..hizo ni no zake za mawasiliano na anazotumia kupokea tigo pesa
 
Kwa nini hamtumii ANDROID TV BOX? kupitia Android TV Box utapata Mobdro. Ndani ya Mobdro mechi karibu zote zinapatikana.Internet yako tu ya 4G itahusika.Nunua Android TV Box,nunua 4G router.Kazi imeisha
naipata wapi hyo android tv!
 
Mie niwahi kukutana na mganda yeye anatumia king'amuzi cha Abudhabi sport haviuzwi huku Africa ni special na authorised dealer Asia kama ilivyo DSTv out of africa kile kukipata ni ghali kidogo ila ukikipata unaenjoy sababu hutalipia na utaenjoy mipira sema tu itakua kwenye lugha yao kiarabu
Alinunua hapa nchini au nje ya nchi?
 
Kwa Dstv decoder mbil tumia extra view utaongeza 22500
 
Jamani mimi naonesha mpila toka 2011 hii biashara ngumu sana ila inaitaji uwe Na eneo lako kama mimi itapunguza cost ghalama zipo juu lakini ili upate faida unatakiwa ukae mweyewe 2 usifanye malipo mwisho wa mwezi lipa kila mechi kidogokidogo kadili unavyoingiza 3fungua dicoda Ya biashara toka dstv utapewa dicoda 3 kwa malipo ya mwezi 294000 utakua unaonesha game 3 kwa Wakati mmoja mtajisumbua bule kufunga hayo madish mi nimefuatwa mara nyingi sana lakini sitaki kwanza wenye haki ya kurusha premium league ni DSTV ukionekana ama kwabahati mbaya mtu kachoma imekula kwako utakwenda mahakamani izo dicoda za mipango tu hazina mda uwa zinafungwa katikati ya game
 
Mkuu mbona 294k n kubwa hta ukilpia mbil kwa extra view na moja kwa kawaida sababu itafka 270k
 
Kwanza dicoda Ya matumizi ya ndani utakiwi kuweka kibiashara ilo utambue kama unataka usiwe Ba presha fungua Ya biashara kwani ya nyumbani nayo majanga wataifunga pia kuna watu wanatembea katika mabanda ya mpila kukagua dicoda ipi ya biashara wakijua wanatuma head office kisha utaona zimefungwa ghafla be careful mi yoto hayo nimefanya nikafungiwa sana leo nipo kibiashara nipo Na amani kabisa nimekua mdau wao Mkubwa
 
Kwanini ulipie pesa nyingi kwaajili ya kuangalia ligi pendwa duniani?

Misimu ya ligi za soka ndio inaendelea

Pata channel 4 za soka bure kwaajili ya kuangalia ligi kubwa duniani yaani English Premier League(EPL), Spanish LALIGA, Bundesliga, Serie A, French Ligue 1 pamoja na mashindano makubwa duniani kama UEFA, FA, Capital One, International Champion,Super Cup na Olympic

Pia utaweza kuangalia mashindano mengine ya tennis, golf, mbio za magari, ngumi nk

Huhitaji kulipia kwa mwezi hata thumuni ya pesa yako, gharama itahitajika mwanzoni tu kwaajili ya vifaa na ufundi

Mahitaji;
-Dish kubwa (ft 6 au ft 8)
-Satellite receiver(yenye mfumo wa pv)
-C band LNB
-LNB cable(wire)
-Diseqc switch

Vifaa hivi vyote vinapatikana kwangu pamoja na ufundi

Pia utapata channel zinaonyesha movies,series, mieleka, wanyama, utafiti na sayansi

Mfumo huu una stability 90% reliability 90%, usihofu kukatiwa matangazo au utapeli

Mawasiliano(Call or text/whatsapp)
-0686811173
-0764453848
Bei
 
Hpo nmekuelewa mkuu ulposema ya kibiashara na ya nyumban...kumbe huwa wanaptapta duuh
 
Back
Top Bottom