Bongo movie tukiacha wachekeshaji, walobaki wengine ni utoto na ujingamtupu umetawala katika sanaa yao, hawajui kwanini wanaitwa wasanii, wanakurupuka kufanya sanaa zao za hovyo, yani ukitazama bongo movie unakijuta unatazama takataka tupu.
Kanumba alivyobadilika na bongo movie ilianza kubadilika, ila alivyokufa aliondoka na bongo movie yake, wasanii walobaki walishindwa kujifunza kuwa walitakiwa kufanya nini, kikubwa zaidi bongo movie hawashauriki, hawaelewi wao wanaifanya sanaa kuwa ni vivlu vyao na havibadiliki rangi, acha filamu za wazungu ziuzwe.