Biashara ya ngono ndiyo biashara inayofanywa na Wanawake wengi zaidi

umesahau pia kuna mashoga wengi kinoma noma wanawake, wanaouza nyuma ivi nayo ni biashara ya ngono, au tuiite biashara ya kunyeana, daah hata nilewe vipi sitaki malaya, ntarudi kwa wake zangu rasmi.
Yasirini ya hao unaosema wake zako rasmi,unayajua yote?
Tambua habari mbaya za mke,humzunguka mume na hatimaye mume huwa wa mwisho kujua ya sirini ya mkewe.Kua makini mkuu.
 
Yes, oldest proffesins duniani ni Ukahaba na Intelijensia...ziko hadi kwenye vitabu vya dini
 
Vicky Catch alikuwa na haya ya kuongea..... &©¥®] \€$~¿¡<×§¶¬|[<[>©®
 
Hatari....sii mchezo!
 
Hii Biashara ipo tofauti kdg.

Wauzaji ni wengi kuliko WANUNUAJI.

Yaan supply na demand curve hazina uwiano. Supply imekuwa kubwa hivyo price ina deteriorate.....
Kwa maelezo yako, inaelekea hitaji (demand) ni kubwa ila wahudumu ni wachache. Kama mhudumu mmoja ana wateja wa aina 5 kama ulivyoainisha, utasema vipi kuwa hitaji ni dogo?
Wanunuaji ni wengi, wauzaji wachache.
Ila kiuhalisia, suala la ngono ni nusu kwa nusu kwa jinsia zote.
Kama ambavyo umeonesha kuna wanawake wenye wateja (wanaume) tofauti tofauti, vivyo hivyo, na wanaume, hawatoshelezwi na mwanamke mmoja.
 
Wauzaji ni wengi kuliko wateja.
 
Hapana.. BIDHAA ni nyingi sokoni.

Hao wenye WATEJA wa kufikia wa5 ni techniques zao za uuzaji wa BIDHAA. Yaan marketing strategy yao ipo vzr. Ingawa ubora wa BIDHAA zao hushuka baada ya muda flani na wateja kwenda kwa BIDHAA nyingine iliyobora zaidi.
 
Wapo wanaojiuza wengi wanaume Mario kama ulivyosema, lakini kumbuka kuna wale waliojikataa jinsia zao, je unawaweka kundi gani? Maana nao wanawateja tuu wengi, huku Kitambaa cheupe na Kumalija hujawaona?
Hao wapo na wanachuana VIKALI katika Bidhaa zao kuuzika.

Inafikia kipindi soko la upande mmoja linakuwa hakuna. Wateja wanaopt bidhaa nyingine. Hivyo wauzaj wa BIDHAA moja wanaamua kuuza BIDHAA mbili. Wanaita MCHANGANYO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…