Biashara ya ngono ndiyo biashara inayofanywa na Wanawake wengi zaidi

Biashara ya zamani kuliko zote, hata kwenye biblia ipo hiyo.
Tena walioandika biblia wamuhusisha mpaka uzao wa Yesu kuwa ni wa kahaba aitwae Tamari.

Wazungu hao ni watu washenzi sana.
Ni kweli ndio the oldest business na mtu wa kwanza kuifanya ni Mama yetu Eva!,
Tamari hakuwa mala..., ni story
Ibrahim alimzaa Isaka,
Isaka akamzaa Yakobo,
Yakobo akamzaa Yuda
Yuda akawazaa Peres na Zera kwa Tamari.

Tamari hakuwa kahaba, alikuwa mkamwana wake kwa mtoto wake mkubwa!. This is the story...
P
 
Bidhaa ni nyingi kuliko wanunuzi.

Yeye kupigwa PAIP na watu 10 per day ni kutokana na PRICE ya bidhaa husika. Au hujui kwamba bidhaa yenye bei ndogo ndio inakimbiliwa na watu?

Mfano ni kwenye POMBE.

HENNESSEY ktk bar inaweza isinunuliwe wiki nzima mpk mwezi. Ila haya ma Serengeti Lite yatanunuliwa kwa BUCKET.
 
Unajua kwamba kuna WABUNGE na MADAKTARI ma MENEJA pia Wanauza Bidhaa?
 
Hivi ww mvaa juba Huwezi tulia bila kutaja mwokozi kwenye hayo Mambo ya kijinga ...mtoto wa miaka 12 akaolewa na mtume mmoja.
Hujanielewa? Narudia:

Siyo mpya hiyo biashara, hata kwenye biblia ipo tena amehusishwa Yesu kuwa kizazi chake ni cha kahaba aitwae Tamari. Kajisomee kama unaijuwa biblia ni nini.
 
Mkuu hongera sana kwa utafiti huu pendwa, Pili kwenye suala la Kuoa hilo ni suala lisilopingika mda wake ukifika. Muombe sana mungu akupe hitaji la moyo wako.

---GOOD LUCK----
 
Mkuu hongera sana kwa utafiti huu pendwa, Pili kwenye suala la Kuoa hilo ni suala lisilopingika mda wake ukifika. Muombe sana mungu akupe hitaji la moyo wako.

---GOOD LUCK----
Ameen.. ikitokea sijakutana na MDHULUMATI basi NTAOA Kwa Masharti/MKATABA ambao hautaweka hali ya UFILISI, UWIZI, UTAPELI wala aina yoyote ya UDHULUMATI
 
Hii ni ukweli kabisa hata hivyo huenda ni 96% ni hutegemea hiyo biashara kwasababu hata ndoa nyingi zimetokana na uzinzi.
 
Noma sana!
 
Noma sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…