Biashara ya ngono ndiyo biashara inayofanywa na Wanawake wengi zaidi

Mimi zamani nilikua nashangaa serikali ya chama tawala,ilipokua inasema mwaka huu imetoa ajira milioni tatu au mbili na ushee... nikaja nikagundua baadae kua kumbe hizo ajira ni jumuishi.Tambua wanawake wengi ambao wanajihusisha na siasa,wana bei zao,saloon mbalimbali zenye wanawake,hao pia wanna bei zao,wake za watu nao pia wana bei za,wauza matunda,karanga n.k wana bei zao,wanawake walioajiriwa,hao pia wana bei zao.
Almost kila mahala alipo mwanamke,ajira hiyo isiyo rasmi,imetamalaki.
Kama unabisha ni kwamba hujabahatika kujua mapema.
Mkuu ushapata ajira kwanza?
 
Utawasikia "una sh ngapi, toa hela upate vitu vizuri, hela yako tuuu...........".

Kwa tamaa zao wanawake sometimes wanapishana na wanaume wa kweli wanaotaka kuwaoa. Kuna wanaume wengine wanahela na wanataka wake,so wakati akiwa anafanya vetting zake,akikuona unatabia za kupenda sana hela anajua tu hapa hamna mke.

Moja kitu kingine ambacho kinawafanya wanawake wauze ni vikoba,kwani nimekugundua mizinga mingi ya wanawake huwaga siku za ijumaa nikaja kufanya utafiti wangu, kumbe jumamosi na jumapili kuna kuwaga na vikoba. Bado hapo michezo na husiombee yy awe kijumbe.
 
Hiko kitu cha vikoba, mchezo, shughul oyaaah mbn wamekalia kuti kavu
 
Naunga mkono hoja, ni kweli kabisa, huduma hiyo ndio the oldest professional na the oldest business ambayo imeajiri watu wengi kuliko ajira nyingine zote!.

The fortunate ones wao bidhaa zao zimenunuliwa kwa bei ya jumla na mteja mmoja, hivyo kuitwa jina la heshima "wife", the unfortunate ones inawabidi kuuza rejareja kwa wateja tofauti tofauti.

Ndio maana tulishauri Opinion: Its High Time, Tanzania Tuhalalishe "The Oldest Profession?!", na Ikiwezekana, to Legalize Marijuana!

P.
99% ya wanawake wote wanajiuza ,wanatifautina tu njia ya kijiuza
 
Utawasikia "una sh ngapi, toa hela upate vitu vizuri, hela yako tuuu...........".

Kwa tamaa zao wanawake sometimes wanapishana na wanaume wa kweli wanaotaka kuwaoa. Kuna wanaume wengine wanahela na wanataka wake,so wakati akiwa anafanya vetting zake,akikuona unatabia za kupenda sana hela anajua tu hapa hamna mke.

Moja kitu kingine ambacho kinawafanya wanawake wauze ni vikoba,kwani nimekugundua mizinga mingi ya wanawake huwaga siku za ijumaa nikaja kufanya utafiti wangu, kumbe jumamosi na jumapili kuna kuwaga na vikoba. Bado hapo michezo na husiombee yy awe kijumbe.
Biblia inasema chanzo ni ma baba kuwanajisi mabinti zao. Bila kuwacha hayo msiushangae ukahaba.

Suluhisho lenu lipo kwenye Uislam pekee.
 
Ndio maana ndoa za sasa hazidumu wanaume hawana utaratibu , mipaka na wala hawaeshimu wanachokifanya , hawakuwa tayari kuingia kwenye suala zima la ndoa.

Jingine mahari ni utaratibu uliowekwa kwa watu wote wajue alichokichukua sio kachukua kama bahasha ya mahindi bali ni mke wake na mahari ndio inaonyesha makubaliano ya wewe na yeye na familia zote mbili zimeungana kwani mmepeana kitu cha kuunda undugu .

Ila wanaume wa sasa hamtofautishi mahari nakuhonga ni vitu tofauti , nammewaona wake zenu kama malaya , kama kitu cha kukitumia na huku zamani baba zenu waliheshimiana
Fasihi inamtambua Mwanamke kama CHOMBO Cha STAREHE...

FASIHI SIMULIZI.
 
Back
Top Bottom