Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

Habari za mda huu, naomba mwenye uelewa juu ya garama za vifaa, au makadirio ya hela ya kuanzisha stationary, pia je vifaa vya mtumba vinaweza kufaa?

Natanguliza shukrani
 
Mkuu stationary angalau iliyoshiba ni kuanzia 4+mil ila ni vizuri ungeweka makadirio ya mtaji wako ili ushauriwe kulingana na mtaji ulionao.
 
Mkuu stationary angalau iliyoshiba ni kuanzia 4+mil ila ni vizuri ungeweka makadirio ya mtaji wako ili ushauriwe kulingana na mtaji ulionao.
Nina 2.5milion kk, pia nategemea kuwe na huduma za kusafisha picha
 
Kama una 2.5

1.3 photocopier canon ir2204
700k nunua epson l805
400k desktop yenye monitor kubwa walau 24 inch
Inabaki 100k

Kiufupi 2.5 haitoshi kama unataka kuwa unasafisha na kupiga picha maana hapo bado camera, office hujaiweka vizuri..TRA,kodi ya nyumba, mlinzi , umeme , maji, ushuru wA taka..
Nina 2.5milion kk, pia nategemea kuwe na huduma za kusafisha picha
 
Shukrani mkuu, ngoja niongeze juhudi
 
Naomba msaada ndugu naomba ninataka kufungua stationary ndo malengo yangu nilikuwa naomba estimation ya makadirio kwamba atleast natakiwa kuwa na shingapi kuanzisha stationary kwa Sar es Salaam.
 
Naomba msaada ndugu naomba ninataka kufungua stationary ndo malengo yangu nilikuwa naomba estimation ya makadirio kwamba atleast natakiwa kuwa na shingapi kuanzisha stationary kwa Dar es Salaam.
Siku hizi hicho ni kichomi. Kazi nyngi zinafanyika maofisini, labda ufungue karibu na taasisi zenye wanafunzi kama vyuo. Otherwise, nakushauri kwa mtaji utakaotumia kufungua stationery, wekeza biashara nyingine.
 
Sawa ni kichomi lakini mimi nataka kuwekeza zaidi kwenye application.
 
Sawa ni kichomi lakini mimi nataka kuwekeza zaidi kwenye application
 
Nitajie huo mji/kijiji kwanza ndipo nikupe ushauri muruwa ambao na wenye tija nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…