Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwa bei hiyo ni used au mpya maana kama mpya mm najua 2mil utaishia kupata canon ir 2022 .Photocopy nzuri ni Canon Image Runner 2525 bei 1.5mil, zinapatika Kariakoo. Angalizo: kabla ya kufungua biashara ya stationery fanya utafiti wa eneo la biashara kwanza vinginevyo utaifunga au kugeuza banda la Miamala na Vocha tu.
Mkuu weka bei hapahapa tuvione maana wahitaji ni wengiNi PM nikuuzie vitu vya stationery kwa bei nzuri. Yangu nimeifunga. Niko Dar pia.
Inategemea unataka stationery yako iwe je? Na aina ya mashine unataka.Me nataka bei za vifaa vyote vya steshenari tafadhali nisaidien
NENDA KARIAKOO NA LAKI 4 NA NUSU YAKO,Hivi hawezi pata pata machine inayoprint na kutoa copy kwa laki 4, au 5. Nimetegea nipate mtu wa kujitokeza kuuza hizo machine lakini nimekosa...hebu tuelezane inakaaje kwa hiyo bei??
Kumbe unajua kabisa mahali soko la wazi lilipo? Maneno ya ujanja ujanja hayafai. Kariakoo ndiko nachukulia bidhaa zangu tokea mwaka 2000. Kwahiyo usinielekeze upande wa Kariakoo. Mahali tofauti ndio natafuta nipajue.NENDA KARIAKOO NA LAKI 4 NA NUSU YAKO,
UNAPATA EPSON L382 MPYA.
INA_PRINT, COPY (black & colored) & SCAN.
ULICHOKIANDIKA HAKIELEWEKI MKUU.Kumbe unajua kabisa mahali soko la wazi lilipo.????. Maneno ya ujanja ujanja hayafai....kariakoo ndiko nachukulia bidhaa zangu tokea mwaka 2000. Kwahiyo usinielekeze upande wa kariakoo....mahali tofauti ndio natafuta nipajue
Sawa....subiri nifuatilie comments zako zote alafu nitakujibu kwenye uzi mwingineULICHOKIANDIKA HAKIELEWEKI MKUU.
CONCERN YAKO HASA NI NINI??
hahaa amna namna nyingine aingie mtaani atafute bei. kuna watu wanafanya kazi ya kuanda michanganuo ya biashara kwa pesa ndefu.ni vizuri afanye mwenyewe ataijua na iyo biashara kabla hajaianzaIna maana jukwaa hili halina watu wanaouza hivyo vitu nilivyotaja? Au mambo magumu mpaka kusaidiana jf imekua ngumu?[emoji23]
sent from Sokoro nkorambokande