Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,972
Sijaelewa hii thread mkuu Kim jonathan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara za stationary ni nzuri ukipata tender mfano ku print mitihani, ya shule mbalimbali utaona faida na si kungoja watoa copy na wanunuaji wa vifuto.
Kwa simu ningeshauri uwe fundi kisha ujiongeze uuze na vifaa utakuwa umekuza uvunaji wa pesa.ahahaaa mkuu malizia na mobile bizness uuze vifaa vya simu au uwe fundi simu ndo italipa
Cheza na bidhaa za minadani utaona faida yake... Hasa minada ya kuanzia jumatano... Na usiende mbali sana na DarWanajamvi,
Kwanza niombe samahani kwa kutumia kiingereza kwenye kichwa cha habari na ndani kiswahili.
Biashara hii ya kukaa pamoja (stationary) na kusubiri wateja kwa sasa ni shida.
Naomba uzoefu kwa wale wanaouza bidhaa kwenye magulio yaani gulio kwa gulio, siku kwa siku. kwa ujumla mobile business.
Kwa mkoa wa DSM na PWANI ni bidhaa zipi zinanunulika zaidi kama mtu ana kausafiri kake na hivi kuamua kufanya biashara ya namna hii.
Please nahitaji uzoefu na ushauri
Kwa hiyo awe anatembea na vifaa vya kutengenezea simu kila mnada.?ahahaaa mkuu malizia na mobile bizness uuze vifaa vya simu au uwe fundi simu ndo italipa
Kwa hiyo awe anatembea na vifaa vya kutengenezea simu kila mnada.?
Mobile aliyomaanisha mtoa mada sio ya kuhusiana simu yeye anamaanisha biashara za kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa mfano mnada wa dsm wa kila jumapili yombo.
Mzee baba umelewa stationary aliyomaanisha mtoa mada.Biashara za stationary ni nzuri ukipata tender mfano ku print mitihani, ya shule mbalimbali utaona faida na si kungoja watoa copy na wanunuaji wa vifuto.
Upo sahihi lakini mtoa mada ameweka kimtego swali lake.Mzee baba umelewa stationary aliyomaanisha mtoa mada.
Kutoka kwenye dictionary
Stationary - not moving or not intended to be moved.
Kwa hiyo hajamaanisha hayo mambo ya kuprint wateja, yeye amemaanisha biashara zote mfano saluni unakaa unasubulia wateja.
Na akalinganisha na kufanya biashara kuwa mobile yaani kufuata wateja mfano machinga anaetembeza nguo mtaani.
Sasa mtoa mada anataka kuuza bidhaa kwenye minada ambayo ni mobile badala ya kufanya biashara ya kukaa na kusubilia wateja.
Sawa kabisa hongera kwa kuwa na businesses plan nzuri(mawazo biashara)katika mikoa miwili tajwa happy juu Kati ya PWANI&DAR ES SALAAM nikweli inatofautiana kibiashara kwa mfano,Mkoa wa PWANI Ni mzuria sana kwa stationary business rather than mobile business kwa mantiki ya kwamba watu wengi hawapendi kumove unlike DAR ES SALAAM biashara ambayo inaenda kwa wingi ni Kama vile nguo hasa madera sunajuaga Tena Mambo ya PWANI,samaki maana hakuna kabisa samaki,Nazi pamoja na kilimo Kama kilimo biashara,LAKINI kwa DAR ES SALAAM mobile business Ni nzuri sana kuliko satationary business unlike PWANI kwasababu watu wanapenda sana kuorder/kufanya tender hili waweze kupata profit na biashara ambayo Ni favorite Ni Kama vile biashara ya mchele,pamoja na umachinga hasahasa ukiwa na flem ya kuelewekaWanajamvi,
Kwanza niombe samahani kwa kutumia kiingereza kwenye kichwa cha habari na ndani kiswahili.
Biashara hii ya kukaa pamoja (stationary) na kusubiri wateja kwa sasa ni shida.
Naomba uzoefu kwa wale wanaouza bidhaa kwenye magulio yaani gulio kwa gulio, siku kwa siku. kwa ujumla mobile business.
Kwa mkoa wa DSM na PWANI ni bidhaa zipi zinanunulika zaidi kama mtu ana kausafiri kake na hivi kuamua kufanya biashara ya namna hii.
Please nahitaji uzoefu na ushauri
Tofautisha stationary na stationery! Ni vitu viwili tofauti, jitahihid utofautishe then uje uchangie tena hapaBiashara za stationary ni nzuri ukipata tender mfano ku print mitihani, ya shule mbalimbali utaona faida na si kungoja watoa copy na wanunuaji wa vifuto.
asante mkuu kwa ushauri mzuri na analysis komavuSawa kabisa hongera kwa kuwa na businesses plan nzuri(mawazo biashara)katika mikoa miwili tajwa happy juu Kati ya PWANI&DAR ES SALAAM nikweli inatofautiana kibiashara kwa mfano,Mkoa wa PWANI Ni mzuria sana kwa stationary business rather than mobile business kwa mantiki ya kwamba watu wengi hawapendi kumove unlike DAR ES SALAAM biashara ambayo inaenda kwa wingi ni Kama vile nguo hasa madera sunajuaga Tena Mambo ya PWANI,samaki maana hakuna kabisa samaki,Nazi pamoja na kilimo Kama kilimo biashara,LAKINI kwa DAR ES SALAAM mobile business Ni nzuri sana kuliko satationary business unlike PWANI kwasababu watu wanapenda sana kuorder/kufanya tender hili waweze kupata profit na biashara ambayo Ni favorite Ni Kama vile biashara ya mchele,pamoja na umachinga hasahasa ukiwa na flem ya kueleweka
NENDA KAFANYE BIASHARA LAKINI NAKUSHAURI HASA PWANI KULIKO DAR ES SALAAM
asante mkuuCheza na bidhaa za minadani utaona faida yake... Hasa minada ya kuanzia jumatano... Na usiende mbali sana na Dar
[emoji120] [emoji120] [emoji120]asante mkuu kwa ushauri mzuri na analysis komavu
Hahahhahaha daaaa kwamba amalizieahahaaa mkuu malizia na mobile bizness uuze vifaa vya simu au uwe fundi simu ndo italipa