Half Genious
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 491
- 784
Tuliza kichwa,nilicho kiona humu watu wanajadili mambo ya kielimu bila kujua elimu ni nini ?
Naendelea...
1. Kusonga ugali elimu au sio elimu ?
2. Kuendesha gari ni elimu au si elimu ?
3. Kusimama kwenye zebra kwa mwenye kupisha wavukaji wa miguu ni elimu sio elimu ?
4. Kula ni elimu au sio elimu ?
5. Kuruka kamba elimu au sio elimu ?
Nipo....
zetu...lakin pia kwa mujib wa Quran kabla ya wanadamu waliishi majin dunian kwa muda mrefu na wakamwaga damu Mungu akapitisha chukizo lake na dunia ikakaa kipind kirefu ndio akaamua kumuumba kiumbe cha kuj
1. Nani aliiyaona hayo majini?
2. Na kama hakukuwa na wanadamu wakati hayo majini yanamwaga damu, hiyo damu ilitokea wapi?
3. Na damu hiyo ni viumbe gani?
Kaka mbona unafikiri kitoto sana aisee,unaweza kunithibitishia ya kuwa majini hawana damu ki maana
Ninyi mnafundisha kwamba majini ni roho.Hiyo damu imetokea wapi?
Naona umeni quote kimakosa. Kuna hoja yangu hujaijibu huko juu. Nasubiri majibu.
Nashauri tu katika uumbaji wa dunia na sayari kwa ujumla msiweke Biblia kabisa kwa sababu watu wanatoa awkward translations.Kaka Hakuna mtu anayekataa kuwa Mungu hakuumba vitu vyote, unajua Kitabu cha Mwanzo ukikisoma vizuri kina kila kitu unachokiitaji kwenye hii Dunia, Kuna sayansi kubwa sana pale, kuna elimu nzito kabisa
sasa twende polepole
Mwanzo 1:1-2 Mungu alifanya nini?
1. Aliumba mbingu na nchi (Ardhi)
2.Nchi ilikuwa Giza, ukiwa na utupu
3. kulikuwa pia na vilindi vya maji
so hivyo vyote viliumbwa nje ya zile siku sita, je baada ya kuumbwa hivi vilikaa siku ngapi kabla ya zile siku sita ?
umetoa andiko la Kutoka 20:11, ni kweli ndani ya siku SITA mUNGU ALIUMBA BAHARI kwa kutenganisha maji na ardhi, Mwanzo 1:6 Mungu akasema na liwe anga katikati ya maji LIKAYATENGE MAJI NA MAJI, Mwanzo 1:9 naMaji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja ili pakavu paonekane.........
Kaka mitale na midimu ,
maandiko yote ya kuanzia Mwanzo 1.3-10 kitu kipya alichokiumba mungu kutoka vile vilivyokuwa awali Mwanzo 1:1-2 ni NURU pekee, lakini vingine kama Maji , Nchi, Giza alishaviumba kabla
Baada ya Mungu kukamilisha kuitransform Dunia iwe na mazingira ya kusupport uhai ndio kuanzia Mwanzo 1:11 na kuendelea anaanza kuweka Mimea na viumbe hai
MIMI NINACHOAMINI MUNGU ALIIUMBA DUNIA MIAMBA NA MAJI NA ILIKUWEPO KWA MUDA MREFU SANA, KISHA AKAPANGA MIPANGO YA KUWEKA VIUMBE HAI, LAKINI ILIBIDI LAZIMA AANDAE MAZINGIRA YA KUWAWEZESHA HAO VIUMBE HAI NA MIMEA IWEZE KUKUA NA KUSTAWI KWA UZURI, NDIO SASA MUNGU NDANI YA SIKU SITA ANAITRANSFORM DUNIA NA KUIPA MAZINGIRA YA KUWEZA KUTUNZA VITU HIVYO VYOTE
KITABU CHA MWANZO NI KITABU KIZURI SANA, NDIO MWANZO WA DUNIA NA NDIO MWANZO WA SAYANSI
Ukiona sijakujibu maana yake nimedharau Maswali uliyoniuliza. Hivi wewe binafsi hujagundua kwamba umeuliza illogical things? Vyote ulivyovitolea mfano ni vitu vinaonekana na practise yake hutoa matokeo Yale Yale sehemu yoyote duniani. Sasa tupatie kanuni za "Uchawi" ambazo watu wakifundishwa watafikia matokeo Yale yale dunia nzima.
Mkuu,Wanaangalia umri wa bodies kongwe zaidi kwenye universe pamoja na rate ya expansion ya universe
Nimekujibu kihoja baada ya kugundua chuki iliyonayo juu ya Uislam, Muhammad, Malaika na Allah. Uliyoyasema hayafanani na intelligent being ambaye anafanya analysis based on facts.Usiwe na haraka ya kunihukumu hivyo. Mimi nitakuwa nawapeni Maswali ya kujiuliza na ukiona jibu au uelewa ulio nao una-contradict Facts za Kisayansi,Historia, Culture au thinking ya waandishi au audience kwa muda huo basi ujue hicho ulicho nacho ndio matangopori.
Hebu soma Mwa 1:3 na Mwa 1:16 halafu rudi hapa uniambie kama Logically inawezekana. Kama haiwezekani ndio ugutuke kwamba kumbe Kitabu cha Mwanzo hakielezi Uumbaji Chronologically.
asante kwa Maelezo mazuri mkuu.Kaka Hakuna mtu anayekataa kuwa Mungu hakuumba vitu vyote, unajua Kitabu cha Mwanzo ukikisoma vizuri kina kila kitu unachokiitaji kwenye hii Dunia, Kuna sayansi kubwa sana pale, kuna elimu nzito kabisa
sasa twende polepole
Mwanzo 1:1-2 Mungu alifanya nini?
1. Aliumba mbingu na nchi (Ardhi)
2.Nchi ilikuwa Giza, ukiwa na utupu
3. kulikuwa pia na vilindi vya maji
so hivyo vyote viliumbwa nje ya zile siku sita, je baada ya kuumbwa hivi vilikaa siku ngapi kabla ya zile siku sita ?
umetoa andiko la Kutoka 20:11, ni kweli ndani ya siku SITA mUNGU ALIUMBA BAHARI kwa kutenganisha maji na ardhi, Mwanzo 1:6 Mungu akasema na liwe anga katikati ya maji LIKAYATENGE MAJI NA MAJI, Mwanzo 1:9 naMaji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja ili pakavu paonekane.........
Kaka mitale na midimu ,
maandiko yote ya kuanzia Mwanzo 1.3-10 kitu kipya alichokiumba mungu kutoka vile vilivyokuwa awali Mwanzo 1:1-2 ni NURU pekee, lakini vingine kama Maji , Nchi, Giza alishaviumba kabla
Baada ya Mungu kukamilisha kuitransform Dunia iwe na mazingira ya kusupport uhai ndio kuanzia Mwanzo 1:11 na kuendelea anaanza kuweka Mimea na viumbe hai
MIMI NINACHOAMINI MUNGU ALIIUMBA DUNIA MIAMBA NA MAJI NA ILIKUWEPO KWA MUDA MREFU SANA, KISHA AKAPANGA MIPANGO YA KUWEKA VIUMBE HAI, LAKINI ILIBIDI LAZIMA AANDAE MAZINGIRA YA KUWAWEZESHA HAO VIUMBE HAI NA MIMEA IWEZE KUKUA NA KUSTAWI KWA UZURI, NDIO SASA MUNGU NDANI YA SIKU SITA ANAITRANSFORM DUNIA NA KUIPA MAZINGIRA YA KUWEZA KUTUNZA VITU HIVYO VYOTE
KITABU CHA MWANZO NI KITABU KIZURI SANA, NDIO MWANZO WA DUNIA NA NDIO MWANZO WA SAYANSI
mkuu naona hujasoma kwa umakini nilichomaanisha.Mkuu mitale na midimu post yako #93 umekataa kuwa hakuna codes labda nikupe case ya Daniel
Daniel 12:4
4 Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie muhuri kitabu, hata wakati wa mwisho.
Hapa anaambiwa ayafunge mpaka wakati sahihi wa kufunuliwa ukifika!! Upi huo?? Twende pamoja Daniel alipouliza
8 Nami nikasikia, lakini sikuelewa; ndipo nikasema, Ee Bwana wangu, mwisho wa mambo haya utakuwaje?
9 Akasema, Enenda zako, Danieli; maana maneno haya yamefungwa, na kutiwa muhuri, hata wakati wa mwisho
Sasa kama hata Daniel mwenyewe kuna codes aliandika haelewi maana yake na hata ufafanuzi hakupewa je kwanini usiamini Biblia imejaa codes??
2. Isaya 29:11
11 Na maono yote yamekuwa kwenu kama maneno ya chuo kilichotiwa muhuri, ambacho watu humpa mtu aliye na maarifa, wakisema, Tafadhali ukisome hiki; akasema, Siwezi, kwa kuwa kimetiwa muhuri
Hapa pia twaona kuna maneno ya Biblia yako sealed hivyo watu hawawezi kuyaelewa hata wangekuwa na maarifa kiasi gani sasa kama Isaya alitambua hili linawezekana kwa kuwa Biblia iko sealed sasa kwanini unakataa kuwa Biblia haina codes??
Hapo bado Yesu naye alitumia parables ambayo hakueleweka kabisa hta kwa wanafunzi wake je vipi kwetu sisi huoni hta hayo mafumbo tunaweza kushindwa kudadavua hata??
Karibu
asante kwa maoni mkuu.Mkuu naamini Wote tunafahamu kwamba kalenda ya kiebrania ilikuwa na siku 354 ama pungufu ilihali calendar ya gregory ina siku 365 hivyo tunapishana takribani wiki mbili na miaka ya sasa hivyo basi ukichomoa wiki 2 kwa kila miaka 6000 je huoni utapata miaka pungufu zaidi kulingana na Gregorian calendar ambayo ndio inahesabu full mzunguko wa dunia kwa jua ? Mpaka hapo huoni hakuna accuracy kwenye hiyo calendar aliyotumia Usshe na YEC???
2. Nimejenga hoja kuhusu Abraham sababu genealogy yake imehesabiwa kwenye kukotoa miaka ili kupata family tree ya kuanzia Adam mpaka Yesu hivyo miscalculation ya umri wake itaaffect general result haijalishi kwa makumi au mamia maana mistakes kwa abraham ikijirudia kwa family tree nzima itabadilisha kabisa number ya jibu la mwisho so tusipuuze.
Hapo Biblia iko wazi kuwa Aliondoka Haran akiwa na 75 ila kitabu cha matendo kinadai by 135 ndio alitoka Haran Sasa huoni hapo kuna errors za calculation?? Kama zipo huoni ussher methodology tayari haina credibility??
Tuanzia hapo

Dunia haikuumbwa kwa siku sita, Dunia ilikuwepo, ila ilikuwa Giza, Utupu na ukiwa, Yaani ilikuwa haina uhai Mwanzo 1:1-2, Mungu kwa muda wa siku sita akaitransform Dunia na kuiwekea mazingira ya kuweza kufanyika maisha kwa viumbe hai
Ukiangalia hakuna hata sehemu moja kwenye Biblia inapoonyesha kuwa Mungu anaumba maji, au Miamba, bali tunaona katika hizo siku sita anaitenga miamba na maji, yaani anavitenga vitu vilivyokuwepo, vitu alivyoviumba katika Mwanzo 1:1-2
acha siasa mkuu. eleza hizo siri.Hiyo bold siyo ushahidi kwamba kweli Dunia iliumbwa kwa siku Sita. Ulichofanya kuendelea tu kulieza wazo lako la uumbaji kwa muda Wa Siku. Hebu unaweza kurejea kwenye la Kiebrania "Yom" lenye maana ya siku uone lilipotumika muda ule lilimaanisha nini na " Bara" lenye maana ya Create lilikuwa na maana gani? Haya yatakusaidia kuanza kuelewa Ninachokiongelea.
mkuu sio ussher ni Mungu ndie anasema aliumba dunia kwa siku sita.Hapana nachomaanisha je Dunia hii ina umri gani na sio VIUMBE vina umri gani maana obvious Dunia lazima iliumbwa kwanza kabla ya mwanadamu hivyo natamani nifahamu upi ni umri sahihi wa Dunia ni ipi maana Ussher alichosema ni kwamba Dunia iliumbwa siku sita kabla ya Adam kuletwa duniani na ndio maana nikaona nilete hii mada humu tusaidiane kujua nani mkweli kuhusu suala hili.
mkuu nimesoma maelezo yako kuna mahala yananitaka nitoe maoni.mkuu mitale na midimu binafsi nimejaribu kusoma post zako kwa umakini. kuna baadhi ya maelezo yako nilitaka kukukanusha na pia nimefikiria kukuuliza maswali kadhaa kuhusu hoja na misimamo yako hasa juu matumizi ya sayansi, roho mtakatifu na biblia. lakini nimeona haina haja kwa sasa sababu post zako nyingi zinaonesha ni namna gani unavochanganya TAFITI ZA KISAYANSI NA BIBLIA. zinaonesha ni namna gani unavolazimisha TAFITI ZA KISAYANSI, ziwe poved na BIBLIA ilihali sayansi ina principle zake na bihlia ina principle zake kama kitabu cha KIIMANI na sio kitabu cha sayansi au philosophy. ndio maana kuna msemo unaosema kuwa "inapoishia sayansi ndipo imani inapoanzia"
kiujumla unalazimisha BIBLIA ithibitishe mambo ya kisayansi jambo ambalo nisawa na kulazimisha SAYANSI ithibishe mambo ya KIIMANI, imani na sayansi wapi na wapi mkuu.
kwenye sayansi na falsafa.hakuna neno IMANI/KUAMINI huko wanaongozwa na REASONING AND PRINCIPLES TU. hivyo mkuu kudai uthibitishoa wa masuala ya sayansi kwa kutumia biblia huko ni kuionea sayansi kwani sio kazi yake.
hivyo kwa muktadha huo niliokuonesha hapo juu binafsi ninaona huu mjadala unakuwa mgumu na haufiki mwisho zaidi ya kuzungukana tu. ndio maana kuna mchangiaji mmoja hapo juu unamdai uthibitisho wa mistari ya biblia katika hoja za kisayansi kitu ambacho kiukweli huwezi kikupata popote pale yaani kuprove hoja za kisayansi kwa mistari ya biblia hii haiwezani mkuu. uthibitisho wa kisayansi una formula na principle zake mkuu na sio mistari ya biblia.
mpendwa mitale na midimu binafsi ninafikiri kama Mungu angekusudia biblia kutufundisha sayansi/kutueleza kweli za kisayansi kinagaubaga kusingekuwa na haja ya wanasayansi, tafiti za kisayansi na sidhani kama Mungu angetuagiza tumpende kwa AKILI yetu yote nk kwani kila kitu, kila fomula na kila aina ya sayansi angetuwekea kwenye biblia na pia tusingekuwa tuna haja ya kusoma sayansi mashuleni nk cha msingi tunapaswa kumwomba roho mtakatifu atuongoze na kutusaidia kutambua pande POSITIVE na NEGATIVE za sayansi ilikulinda Imani yetu na mwisho kuufikia uzima wa milele.
wapendwa @zito junior SANCTUS ANACLETUS na mitale na midimu mtizamo wangu ni huu masuala mazima ya sayansi naamini katika tafiti za kisayansi na majibu ya kisayansi iwapo hayapingani na imani. na masuala mazima ya kiimani kuhusu Mungu na ulimwengu wa roho naamini katika biblia neno la Mungu. mapokeo matakatifu na mamlaka rasmi ya ufundishaji ya kanisa
vinginevyo kuendelea kuchanganya sayansi na biblia kitabu kielezeacho kweli za kiimani sidhani kama tunaweza kufika mwisho wa mjadala zaidi kulumbana.
hayo ni maoni yangu wapendwa.