zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
- Thread starter
- #161
Mkuu naamini Wote tunafahamu kwamba kalenda ya kiebrania ilikuwa na siku 354 ama pungufu ilihali calendar ya gregory ina siku 365 hivyo tunapishana takribani wiki mbili na miaka ya sasa hivyo basi ukichomoa wiki 2 kwa kila miaka 6000 je huoni utapata miaka pungufu zaidi kulingana na Gregorian calendar ambayo ndio inahesabu full mzunguko wa dunia kwa jua ? Mpaka hapo huoni hakuna accuracy kwenye hiyo calendar aliyotumia Usshe na YEC???Ungeonyesha utofauti wa Kalenda ya Kiyahudi kule Babiloni na Baaada ya kurudi na Je Uliathili Mfumo wa Siku sita fanya kazi siku ya saba Pumzika kama walivyoishi kule jangwani?
Je unakubaliana na mimi hawakwenda utumwani taifa lote kabisa kuna masalia walibaki?
Lkin licha ya kalenda kubadilika Mfano Mwezi Habib kuitwa Nissan, unakubaliana kuwa kwa sababu walikaa miaka 70 tu huko na walikuwepo wacha Mungu huko na manabii pia kama Ezekiel, Daniel na wakina ezra kumbukumbu hazikupotezwa hasa kwa maana ya week days seven?
Ndio maana tunasema ni makadilio ila makadilio hayo hayawezi kuturudisha katika miaka milioni.
Ukokotozi wa miaka hiyo unabase katika uzao wa Adam wa kitabu cha mwazo sio Ibrahim. Kama Adam aliishi miaka 900 mfano, Mwaka moja wake utaanza siku aliyoumbwa, dunia ikiwa na umri wa siku tano.
Ungejenga hoja kuanziq hapo sio Ibrahim.
Kuhusu Matendo na Mwanzo nq ukanganyaji wa Umri.
1: Ikiwa kweli kuna huo mkanganyiko, Bado creationist wako sahihi maana hauna range ya malaki au mamilioni bali makumi.
2:Lkn matendo sioni kama imekosea maana imetaja vituo Viwili. Alipotoka kwa wakaldayo (ur ya wakaldayo) hakwenda kaananinmoja kwa Moja, Alienda Harani, Baadae akatoka harani akaenda Kaanani.
Sasa Yeye hasemi alipotoka kwa baba Yake kule Ur (75Years), Bali aalitoka harani sio kwa wakaldayo baada ya kufa kwa baba Yake. Umejumlisha miaka ambayo haina uhusiano, labda kama kuna sehemu hatujelewana mkuu wangu.
2. Nimejenga hoja kuhusu Abraham sababu genealogy yake imehesabiwa kwenye kukotoa miaka ili kupata family tree ya kuanzia Adam mpaka Yesu hivyo miscalculation ya umri wake itaaffect general result haijalishi kwa makumi au mamia maana mistakes kwa abraham ikijirudia kwa family tree nzima itabadilisha kabisa number ya jibu la mwisho so tusipuuze.
Hapo Biblia iko wazi kuwa Aliondoka Haran akiwa na 75 ila kitabu cha matendo kinadai by 135 ndio alitoka Haran Sasa huoni hapo kuna errors za calculation?? Kama zipo huoni ussher methodology tayari haina credibility??
Tuanzia hapo