yevgeny prizogny
Member
- Nov 20, 2022
- 94
- 155
MKUU NAKUKUMBUSHA TU.RELIGION ILIZAA THEOLOGY,,,,THEOLOGY IKAZAA PHILOSOPHY NA PHILOSOPHY IKAZAA SCIENCE...kwa hio bila dini watu wasingejua chochote kuhusu science iliopo leo na kingine science ni mawazo ya binadamu mwenye safari ya kujitambua,,kutambua mazingira yake na kazi kubwa na makini alioifanya MUNGU creation...LAKINI DINI NI MAWAZO YA MUNGU AMBAYO BINADAMU AMEFELI KUYAELEWA MAANA AMESHINDWA KUYAELEWA.Binadamu Haja umbwa.
Mungu Hayupo.
Kwa nini sisi binadamu wengine tusio husika na uzembe wa Adamu na Hawa turithi uzembe wao?NI KWAMBA OPTION YOYOTE AMBAYO WANGECHAGUA INGEATHIRI VIZAZI VYOTE HATA NA HIO AMBAYO MABAYA YASINGEWEZEKANA.NA WACHAGUZI WA KWANZA WA OPTION NDIO HAO HAO WAWILI...SASA BINADAMU WOTE WAMEZALIWA KATIKA HIO OPTION YA PILI LAKINI MUNGU NI MWINGI WA REHEMA NA AMBAE MAARIFA YAKE HAYAPIMIKI AMEWEKA BACKDOOR YA KUTENGENEZA BAADHI YA MAMBO HATIMAE BAADA YA KUFA NA KURUDIA ILE OPTION YA KWANZA LAKINI KATIKA MWILI MWENGINE.NA KATIKA ULIMWENGU HALISI.
Kama Dini ni mawazo ya Mungu.MKUU NAKUKUMBUSHA TU.RELIGION ILIZAA THEOLOGY,,,,THEOLOGY IKAZAA PHILOSOPHY NA PHILOSOPHY IKAZAA SCIENCE...kwa hio bila dini watu wasingejua chochote kuhusu science iliopo leo na kingine science ni mawazo ya binadamu mwenye safari ya kujitambua,,kutambua mazingira yake na kazi kubwa na makini alioifanya MUNGU creation...LAKINI DINI NI MAWAZO YA MUNGU AMBAYO BINADAMU AMEFELI KUYAELEWA MAANA AMESHINDWA KUYAELEWA.
PROOF NI BAHARI ZOTE UKIANGALIA BASI UTATAMBUA HILO ALILOSEMA MUNGU NI LA KWELI.HILO LA VISIWA KUZAMA LITAKUWA NI VISIWA VICHACHE NA AMBAVYO VINAWEZA KUJA KURUDI NA KUWA VISIWA TENA.KUTOKANA NA NATURE NA MAZINGIRA YAKE,,,MAANA KAMA KIMEZAMA UNAWEZA KUTA HAKIKUWA KISIWA.HATARI YA VANUATU HIO ARHI YAO WANAIHARIBU WENYEWE KUTOKANA NA SHUGHULI ZA KIBINADAMU NDIO MAANA ZANZIBAR KOKOTO NA MCHANGA WANACHUKUA BAGAMOYOMbona Kuna maeneo mengi tu iliyokuwa sehemu ya ardhi bahari imeshaimeza.
Kuna Visiwa vilikuwepo Sasa vimemezwa na bahari.
Watu wa visiwa vya Vanuatu wapo hatarini ardhi yao kumezwa na bahari.
Sasa huo mstari una maana ya watu duni wa kale walivyokuwa wanatafsiri mazingira ila sio kweli kwa maana ya kuntu.
MKUU NAKUKUMBUSHA TU.RELIGION ILIZAA THEOLOGY,,,,THEOLOGY IKAZAA PHILOSOPHY NA PHILOSOPHY IKAZAA SCIENCE...MKUU NAKUKUMBUSHA TU.RELIGION ILIZAA THEOLOGY,,,,THEOLOGY IKAZAA PHILOSOPHY NA PHILOSOPHY IKAZAA SCIENCE...kwa hio bila dini watu wasingejua chochote kuhusu science iliopo leo na kingine science ni mawazo ya binadamu mwenye safari ya kujitambua,,kutambua mazingira yake na kazi kubwa na makini alioifanya MUNGU creation...LAKINI DINI NI MAWAZO YA MUNGU AMBAYO BINADAMU AMEFELI KUYAELEWA MAANA AMESHINDWA KUYAELEWA.
Ok hajaumba katokeaje make LAZIMA kuwe na chanzo mkuuBinadamu Haja umbwa.
Mungu Hayupo.
SASA JE KAMA TUNGEKUWA KWENYE HUO ULIMWENGU AMBAO MABAYA HAYAWEZEKANI NI MEMA TU NA HAKUNA TABU MARADHI WALA KIFO JE UNGEDAI FREE WILL YA KUTAKA KUYAONJA MABAYA YALIO OPTION YA PILI AU UNGESHUKURU KWA KUISHI KWENYE MEMA TU? SWALA LA KUWA PROGRAMMED SIWEZI LISEMEA ILA TUMEPEWA FREE WILL YENYE LIMITATION.Kwa nini sisi binadamu wengine tusio husika na uzembe wa Adamu na Hawa turithi uzembe wao?
Kwani tulikuwepo nao wakila tunda?
Huoni kwamba hatuna "free will" tuko programmed na huyo huyo Mungu kurithi uzembe usio tuhusu wa Adamu na Hawa?
Huyo Mungu yuko Fair kweli na ana Rehema kweli?
KWA NINI UNATAKA UKWELI KWA MTU UNAEMWONA MWONGO??MKUU NAKUKUMBUSHA TU.RELIGION ILIZAA THEOLOGY,,,,THEOLOGY IKAZAA PHILOSOPHY NA PHILOSOPHY IKAZAA SCIENCE...
Huu uongo umeutoa kwenye kitabu gani?
Chanzo kipi?
Labda naomba unisaidie
Theology ni nini?
Philosophy ni nini?
Religion ni nini?
KWENYE HILI SITAKI NIVUTIE UPANDE WANGU KWA SASA ILA WEWE KAMA NI MTANZANIA LAZIMA UMEZALIWA FAMILY YA KIDINI KWA HIO RUDI KWENYE MISINGI YA FAMILIA YENU NA UJIFUNZE DINI YAKO NA USOME NA DINI NYENGINE ILI UJIRIDHISHE KATIKA KUUTAFUTA UKWELI.KILA KITU HUTAFUTWA MKUU SIO UKWELI TU HATA MKE.Kama Dini ni mawazo ya Mungu.
Je ni dini ipi?
Maana kuna dini nyingi sana hapa duniani, kila dini iki amini Mungu wa dini yao ndio wa ukweli na Mungu wa dini nyingine si wakweli.
Mungu gani huyo mwenye Dini nyingi zinazo tofautiana mitazamo na imani?
Kama lazima kuwepo na chanzo na Mungu pia lazima awe na chanzo.Ok
Ok hajaumba katokeaje make LAZIMA kuwe na chanzo mkuu
Ukweli Hauendani na imani wala Dini.KWENYE HILI SITAKI NIVUTIE UPANDE WANGU KWA SASA ILA WEWE KAMA NI MTANZANIA LAZIMA UMEZALIWA FAMILY YA KIDINI KWA HIO RUDI KWENYE MISINGI YA FAMILIA YENU NA UJIFUNZE DINI YAKO NA USOME NA DINI NYENGINE ILI UJIRIDHISHE KATIKA KUUTAFUTA UKWELI.KILA KITU HUTAFUTWA MKUU SIO UKWELI TU HATA MKE.
Chanzo kwamba wanaharibu wenyewe?PROOF NI BAHARI ZOTE UKIANGALIA BASI UTATAMBUA HILO ALILOSEMA MUNGU NI LA KWELI.HILO LA VISIWA KUZAMA LITAKUWA NI VISIWA VICHACHE NA AMBAVYO VINAWEZA KUJA KURUDI NA KUWA VISIWA TENA.KUTOKANA NA NATURE NA MAZINGIRA YAKE,,,MAANA KAMA KIMEZAMA UNAWEZA KUTA HAKIKUWA KISIWA.HATARI YA VANUATU HIO ARHI YAO WANAIHARIBU WENYEWE KUTOKANA NA SHUGHULI ZA KIBINADAMU NDIO MAANA ZANZIBAR KOKOTO NA MCHANGA WANACHUKUA BAGAMOYO
Ni vizuri kuudadavua uongo na kuonyesha ukengeuka wako.KWA NINI UNATAKA UKWELI KWA MTU UNAEMWONA MWONGO??
Viumbe vya kiroho no vipi hivyo..?Ulimwengu wa roho ndio ulimwengu halisi ambapo kunaishi viumbe vya kiroho visivyo na mwili kama wanyama wote walio duniani,,yaani anga,,ardhini na kwenye maji.
SIJASEMA ALIFELI ACTIVATION ILA NI BINADAMU ALICHAGUA OPTION KATI YA MBILI ZILIZOWEKWA.KAMA BIBLIA NI HADITHI LABDA UNIJUZE HADITHI NYENGINE YENYE KUJULIKANA NA KUHESHIMIWA NA VIZAZI KWA VIZAZI VYA DUNIA YOTE.
ROHO INATHIBITISHWA KWA WEWE KUIJUA NAMNA YA KUFUMBULIWA MACHO YAKO ILI YAONE ULIMWENGU HALISI WA KIROHO,,NA ZIPO OPTION ZA KISHIRIKINA NA NYINGINE ZA KIDINI.UTACHAGUA.
Inawezekana vipi Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote akaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?SIJASEMA ALIFELI ACTIVATION ILA NI BINADAMU ALICHAGUA OPTION KATI YA MBILI ZILIZOWEKWA
Umewahi skia The Iliad na "Odyssey",KAMA BIBLIA NI HADITHI LABDA UNIJUZE HADITHI NYENGINE YENYE KUJULIKANA NA KUHESHIMIWA NA VIZAZI KWA VIZAZI VYA DUNIA YOTE
Kwamba macho yangu hayaoni!?ROHO INATHIBITISHWA KWA WEWE KUIJUA NAMNA YA KUFUMBULIWA MACHO YAKO ILI YAONE ULIMWENGU HALISI WA KIROHO,,NA ZIPO OPTION ZA KISHIRIKINA NA NYINGINE ZA KIDINI.UTACHAGUA.
Ambae huyo Mungu hujaweza kuthibitisha uwepo wake.MKUU NAKUKUMBUSHA TU.RELIGION ILIZAA THEOLOGY,,,,THEOLOGY IKAZAA PHILOSOPHY NA PHILOSOPHY IKAZAA SCIENCE...kwa hio bila dini watu wasingejua chochote kuhusu science iliopo leo na kingine science ni mawazo ya binadamu mwenye safari ya kujitambua,,kutambua mazingira yake na kazi kubwa na makini alioifanya MUNGU creation...LAKINI DINI NI MAWAZO YA MUNGU AMBAYO BINADAMU AMEFELI KUYAELEWA MAANA AMESHINDWA KUYAELEWA.
Tena wenzao wana maMungu mengi wao wanako kamoja tu.Kama Dini ni mawazo ya Mungu.
Je ni dini ipi?
Maana kuna dini nyingi sana hapa duniani, kila dini iki amini Mungu wa dini yao ndio wa ukweli na Mungu wa dini nyingine si wakweli.
Mungu gani huyo mwenye Dini nyingi zinazo tofautiana mitazamo na imani?
Mungu Babaproof