Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

Nilijifunza elimu ya siku za mwisho, nimeona vitu vingi sana na nikagundua usipokua msomaji ni rahis sana kupata elimu ya uwongo bila kujua.
Eschatology ni Elimu kubwa mno. Hongera sana mkuu
 
Aina ya Mungu
Ushishangae unakuta mtu ni msomi ana elimu kasoma shule nzuri tena za dini lakini yeye ukimuuliza juu ya imani yake anakwambia amini chochote juu ya mungu ujue huyo mtu amefungwa na miungu asiweze kumwabudu mungu mwingine zaidi ya huyo mungu na kanuni za kiroho duniani kuna mungu aliye hai na mungu wa dunia hii ukiona mtu anamkataa mungu aliye hai ujue anamilikiwa na mungu wa dunia hii.
Halafu kuna Mungu na mungu/miungu utofautishe basi

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza unakosea sana kuwa mjinga. Na kama unajua alafu unatoa hoja dhaifu hizi, basi huu ni upumbavu. Na hata Mungu mwenyewe hawezi ku tolerate watu wapumbavu.

Pili, hauwezi kuujua ukuu wa Mungu (umilele) kwa akili za kimwili zinazoharibika. Fikra zako ni za kimwili, za akili inayoharibika, na si za milele...so chochote kile utakachofikiri hakiwezi kufikia umilele wa Mungu...sanasana unaonekana Boya....ndio maana wenye imani wanakuambia kwa lugha nyepesi kuwa unakufuru.

Tatu, mwanadamu haharibiki, kinachoharibika kwa mwanadamu ni vazi lake la nje, ambalo ndio udongo.

Ujinga ni pale unaona hilo vazi lako (mwili) kuwa ndio kila kitu, wakati hilo vazi ni la hapa tuu duniani, au mars, au kwenye ulimwengu huu tuu unaoonekana, ila vazi la mbinguni haulijui, maana lipo, vazi la motoni lipo, na haulijui, na hata kama kuna vazi la ulimwengu mwingine tofauti na hiyo niliotaja kama lipo, maana yake litakuwepo ukibahatika kufika huko.

Alafu, Mungu aliumba viumbe wengine, wasio na vazi la mwili, akaghairi, na mpaka umeumbwa mwanadamu uishi hapa duniani maana yake wewe sio wa kwanza.

Huenda ni wa pili, huenda ni wa saba, huenda ni wa mia tano, hauwezi kujua. Kwa sababu mwanadamu sio wa milele

Ukweli usioujua ni kuwa mwanadamu atapata maisha ya milele endapo akiacha vazi la mwili na kwenda kupata vazi la kiroho.

Sasa hapa ni suala la wewe kujua.

Lakini ukibishia sana hili na kudhania kuwa hakuna ulimwengu wa roho, basi ukifa (ukiliacha vazi la dunia hii utapotelea kusikojulikana, au kwa lugha ya biblia, utakufa.

Ila ukijua maisha ya ulimwengu wa roho, utaendelea kuishi milele

NB: Midhambi ndio inayomsikitisha Mungu, na midhambi ni matendo yako wewe mwanadamu. Unaambiwa ufanye mema, alafu unatenda dhambi, unadhani unataka Mungu akuendeshe kama rimoti.

Kama ushawahi kufundisha timu ya mpira utakua unaelewa...umefundisha timu imeiva, wanaingia uwanjani kucheza wanapigwa nne bila, watu wanajichezea wanavyotaka na unawafundisha kabisaa wacheze mfumo huu wao wanaenda kujichezea hovhovo..utajihisije?

Hivyo ndio Mungu anahisi kwako unapomkosea.

Na mwanadamu anaangamia kwa kukosa maarifa..na Biblia ilishasemaga..so..[emoji88][emoji88]
Wewe Huwezi kujenga hoja unatumia kigezo cha kuyaita maswali yangu ujinga, uboya na upumbavu kwa vile Umeshindwa na huwezi kuyajibu kwa uthibitisho unao eleweka.

Jibu Hoja acha kuzunguka zunguka na Aya ndefu zisizo na mantiki.

Naku uliza hivi, Huyo Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele Alishindwaje kuumba binadamu wema tu,ambao wangemfurahisha milele?

Kwa nini aumbe binadamu walio kuja kumsikitisha aanze kujutia?
 
Nafsi ndio inabeba Akili
Mwili hauwezi kubeba akili.

Bali unabeba Memory (kumbukumbu) tu.
na kumbukumbu hizo hukaa kwenye ubongo na kwenye Moyo.

Sababu:
Katika Kula chakula bora..
Utakua na kumbukumbu nzuri na utaweza kukumbuka mengi.

Lakini kula vizuri hakukupi Akili ndugu.
Akili ni Kama Wisdom tunapata kwa kupewa na aliyetuumba kwa kusikia neno lake na kujua hekima yake.
[emoji23][emoji23]

Nakuomba usichanganye. Moyo kazi yake ni kusukuma damu

Akili ipo kwenye ubongo. Suala la kufikiri kisayansi halipo kwenye ulimwengu wa roho, no, kufikiri kupo kwenye ulimwengu wa mwili,

Ubongo wa mbele una matendo ya busara, wa kati una kazi zake (kubalance mwili) na wa nyuma una matendo ya lazima

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Wewe Huwezi kujenga hoja unatumia kigezo cha kuyaita maswali yangu ujinga, uboya na upumbavu kwa vile Umeshindwa na huwezi kuyajibu kwa uthibitisho unao eleweka.

Jibu Hoja acha kuzunguka zunguka na Aya ndefu zisizo na mantiki.

Naku uliza hivi, Huyo Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele Alishindwaje kuumba binadamu wema tu,ambao wangemfurahisha milele?

Kwa nini aumbe binadamu walio kuja kumsikitisha aanze kujutia?
Whats the challenge kama mwanadamu hana free will?

Alafu watu wa kumfurahisha Mungu milele anao, Malaika, hawakosei wala hawatoki nje ya command..they are always faithfull milele.

Nimeira ujinga kwa sababu jibu lako lipo tayari.

Na ukisoma na kujua nguvu alizonazo binadamu, ndio swali lako utaona halifai.

Ilibidi uulize kwanini mwanadamu amepewa umilele baada ya kupita duniani?

Na still jibu lake analijua Mungu pekee, wengine sisi tunapata bahati tuu ya kuendelea kujifunza kidogokidogo

Kama malaika wako "Faithful" milele, Lucifer aliye kuwa malaika mkuu aliwezaje
kumuasi Mungu?

Hiyo Faithfulness ya hao malaika iko wapi?

Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele Alishindwaje kujua kwamba ipo siku Lucifer atamuasi?

Huoni kazi zake Mungu zina makosa na kazi zake sio kamilifu zina weakness, maana malaika wake Lucifer aliweza kumuasi?
 
Kwanza aliyemfanya Lucifer aasi sio yeye mwenyewe, hapana, bali ni Kiumbe alieumbwa kabla ya Adamu ndie aliezua mbalaa.

Mwanadamu ujue ni creation project 2.0..so creation project ya kabla ndio ilileta mbalaa, mpaka wa kuwavuta malaika baadhi na viumbe wengineo kwenye uasi.

Shetani mkuu sio lucifer, no, lucifer anatumika tuu ki project ya uasi kama chambo ya kumvuta mwanadamu kwenye dhambi.

So, majaribu anayopata mwanadamu ni kutoka kwa kiumbe older zaidi ya mwanadamu, ambaye ameshakula hukumu, na ndio alieomba battle la challenge na Mungu dhidi ya mwanadamu.

So, Mungu anaposema sali, okoka, au umuabudu yeye, anamaanisha kuwa ishinde dhambi, ishinde nafsi yako dhidi ya mwanadamu mwenzako aliyeumbwa kabla yako...maana huyu alipanda daraja la uasi na kuwa juu sana kiasi cha kutaka kumchallenge Mungu..kisa tuu kaupata umilele...or maybe more..i don't know.

Hapa hauwezi elewa kama haujui vingi, na utaniona kama chizi vileee..
 
Unataka ushahidi usio na shaka. Mungu ni roho huwezi kuiprint ikaonekana.

Wewe una roho.Je unaweza kutuonyesha jinsi inavyofanana

Nimekunukuu hapo juu
Na tuumbe mtu kwa mfano wetu.
Binadamu aliye umbwa aliumbwa nafsi au mwili tu?

Kama iliumbwa nafsi tu nitakubaliana nawe Mungu ni nafsi, ila binadamu alianza kuumbwa mwili kitu kinachoonyesha hata huyo mumdhaniaye ni mwili.

Aliyesema ni nafsi mmeitoa kwenye chanzo kipi?

Mimi Sina roho na ni myth isiyo na mashiko toka ngano za kale za Wahenga.

Roho ni nini?
Usije sema ni pumzi maana tunajua ilipotokea na jinsi inavyokuwa created na mwili hasa Respiratory system.

Nafsi ni nini?

Wewe ni mwanadamu au kiumbe kingine?
Shida IFC umeendekeza ujinga, hutaki kusoma, unakuja unauliza maswali wakati yamejibiwa tayari huko juu. unajitoa akili kabisa unataka tena tukuelezee binadamu kaumbwaje ?
 
Kwanza aliyemfanya Lucifer aasi sio yeye mwenyewe, hapana, bali ni Kiumbe alieumbwa kabla ya Adamu ndie aliezua mbalaa.

Mwanadamu ujue ni creation project 2.0..so creation project ya kabla ndio ilileta mbalaa, mpaka wa kuwavuta malaika baadhi na viumbe wengineo kwenye uasi.

Shetani mkuu sio lucifer, no, lucifer anatumika tuu ki project ya uasi kama chambo ya kumvuta mwanadamu kwenye dhambi.

So, majaribu anayopata mwanadamu ni kutoka kwa kiumbe older zaidi ya mwanadamu, ambaye ameshakula hukumu, na ndio alieomba battle la challenge na Mungu dhidi ya mwanadamu.

So, Mungu anaposema sali, okoka, au umuabudu yeye, anamaanisha kuwa ishinde dhambi, ishinde nafsi yako dhidi ya mwanadamu mwenzako aliyeumbwa kabla yako...maana huyu alipanda daraja la uasi na kuwa juu sana kiasi cha kutaka kumchallenge Mungu..kisa tuu kaupata umilele...or maybe more..i don't know.

Hapa hauwezi elewa kama haujui vingi, na utaniona kama chizi vileee..
Huyo kiumbe aliye umbwa kabla ya Adamu alikuwa wa aina gani? Ni malaika au ni kiumbe wa namna gani?

Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Alishindwaje kujua kwamba huyo kiumbe atamfanya na kumshawishi Lucifer amuasi?
 
Njoo huku tupeane mawazo.

Kwa upande wangu siuchukii Ukatoliki hata kidogo, lakini kumbuka hii dunia sio ya kumwamini binadamu bila Kupima agenda anayopush iende mbele ni agenda ya Mungu kweli au ya miungu.

Biblia inatumia sana na False Prophet na matapeli wengine wengi.

Njia ya kuelekea uzimani ni nyembamba sana. njoo tuitafute.

Katika Biblia Imekatazwa Kujifanyia Sanamu ya Kuchonga au kitu chochote kilicho mfano wa kitu cha duniani na kukiabudu.

Nauliza si kwa ubaya, Sanamu ya Mary inakazi gani Makanisani ????
Sawa nmekuelewa, mimi sijui.

Waite wakatoliki wakuelezee hayo.

Lakini ujue kabsa ukiamini biblia, bhas kwanamna moja ama nyingine uko ndani ya michezo na mafumbo ya wakatholic.

Unaelewa hilo!?
 
Broo, hautakiwi kuiamini biblia, hapana.

Biblia ni user guide tuu ya wmanadamu kuishi.

User guide/manual inaeza ikawa na matangazo, ads, au hata agenda ndani yake.

Ignore ads na propaganda zingine, shika ya muhimu.

Mbona video games mnacheza kwenye simu na zina matangazo kibaao na mnaya ignore na maisha yanaendelea?

Getring distracted on some silly stuffs sio excuse..thats just dumb...whether its true or not.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Sawa nmekuelewa, mimi sijui.

Waite wakatoliki wakuelezee hayo.

Lakini ujue kabsa ukiamini biblia, bhas kwanamna moja ama nyingine uko ndani ya michezo na mafumbo ya wakatholic.

Unaelewa hilo!?
Never.
Na huwezi kujibu swali langu kwa sababu mambo ya Mungu unayachulia juu juu na umefunga masikio yako hutaki kusikia mafundisho nje ya kanisa la katoliki.

unachopewa na katoliki umebugia bila kuwaza chochote.
Jifunze... historia ya kanisa kwa ujumla.
Uelewe kwanini kuna madhehebu mengi duniani.
Usikubali kubaki nyumba mtafute Mungu kwa roho na kweli.

Hutaki kuwa shoga lakini ukisikia Viongozi wakubwa wa dhehabu lako wanasign kukubali ndoa za jinsia moja lakini Hushtuki kabisa kuna nn kinaendelea hapa duniani.
 
Huyo kiumbe aliye umbwa kabla ya Adamu alikuwa wa aina gani? Ni malaika au ni kiumbe wa namna gani?

Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Alishindwaje kujua kwamba huyo kiumbe atamfanya na kumshawishi Lucifer amuasi?
Kwani wewe ukizaa mtotoo na ukawa unaiona mienendo yake yote ni ya wiziwizi, akija kuokoka ghafla na kuwa mhubiri na mkemeaji wezi utajisikiaje? Hata pasipo kumuambia?

Mtu kuasi si mwamba Mungu alijua kama mwanadamu atamuasi, hapana. Na kuishi milele haimaanishi unajua kila kitu, hapana.

Unaweza kujua kila kitu endapo umempa mtu free will, na sheria (rules na laws) ukijua kuwa endapo mtu akizitii zile sheria, nothing will happen, ila asipotii, well, something will happen.

Viumbe wa kwanza hawakumtii, wametaka kuwa mungu,

Na ndio maana Mwana wa Adamu ameishi kwenye utii wa Mungu mpaka alipomuasi kwa kula tunda la mti wa kati, ambalo hukumu yake inaendelea kututafuna taratibu.

Tusingejua mema na mabaya, tungeendelea kuishi milele bila shida, maana yake tusingemkosea Mungu.

You get the idea..

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Broo, hautakiwi kuiamini biblia, hapana.

Biblia ni user guide tuu ya wmanadamu kuishi.

User guide/manual inaeza ikawa na matangazo, ads, au hata agenda ndani yake.

Ignore ads na propaganda zingine, shika ya muhimu.

Mbona video games mnacheza kwenye simu na zina matangazo kibaao na mnaya ignore na maisha yanaendelea?

Getring distracted on some silly stuffs sio excuse..thats just dumb...whether its true or not.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Inaonekana huelewi hata imani ni nini.

Sawa tufanye hupaswi kuiamini (kwamujibu wako)

Unaelewa kuwa hao wakatholic ndo wamekuandalia hiyo user manual ya maisha yako kwa utashi wao ili wewe uifuate?
 
Never.
Na huwezi kujibu swali langu kwa sababu mambo ya Mungu unayachulia juu juu na umefunga masikio yako hutaki kusikia mafundisho nje ya kanisa la katoliki.

unachopewa na katoliki umebugia bila kuwaza chochote.
Jifunze... historia ya kanisa kwa ujumla.
Uelewe kwanini kuna madhehebu mengi duniani.
Usikubali kubaki nyumba mtafute Mungu kwa roho na kweli.

Hutaki kuwa shoga lakini ukisikia Viongozi wakubwa wa dhehabu lako wanasign kukubali ndoa za jinsia moja lakini Hushtuki kabisa kuna nn kinaendelea hapa duniani.
Mkuu tunapoanalyse data hizi, tunafuata timeline tu, tunaangalia chimbuko ama mwanzo wa kitu.

Wapi nimesema kuwa nachukua mafundisho kwenye Ukatoliki!?

Unaelewa kuwa hizo hadithi za uongo za biblia zimetungwa na hao halafu wewe kijana Surya mtanzania mmoja hivi ukaja kuyabugia tu bila kufanya reasoning yeyote!?

Halafu kwa bahati mbaya sana unahisi wewe ni mjuzi kuwazidi hata walioandika hayo.

Mimi si mfuasi wa Mungu wa aina yeyote ile, ila nmefuatilia jamii mbalimbali na imani zao.
nikishusha historia hapa kutoka chimbuko la kitu na msingi wake utaweza kunyambua!?

Unaelewa nini kuhusu hiyo biblia!?

Lakini yote haya tunazunguka tu, hujaweza kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu wala kutatua contradiction kwenye dhana ya uwepo wake, badala yake unanihubiria tu.
 
Inaonekana huelewi hata imani ni nini.

Sawa tufanye hupaswi kuiamini (kwamujibu wako)

Unaelewa kuwa hao wakatholic ndo wamekuandalia hiyo user manual ya maisha yako kwa utashi wao ili wewe uifuate?
usimuusishe Yesu na Madhehebu.
hakuna neno katholic kwenye biblia.
 
Inaonekana huelewi hata imani ni nini.

Sawa tufanye hupaswi kuiamini (kwamujibu wako)

Unaelewa kuwa hao wakatholic ndo wamekuandalia hiyo user manual ya maisha yako kwa utashi wao ili wewe uifuate?
Hoja zako zimebase kwenye ulimwengu wa mwili. Haujui hata biblia ni nini.

Unaendelea ku focus kuwa imeandikwa na nani, lakini haujui ndani ina nini.

Biblia ina codes za kiroho, ambazo ni sawa na kusema zimeandikwa na Mungu mwenyewe.

Kama unajua kuwa Mungu anaweza kumtuma mwanadamu kufanya jambo lolote akiwa na udahamu nalo au hata asipokuwa na ufahamu nalo, nadhani hoja ya kuuliza kaandika mrumi sijui na ajenda zake itakua haina mashiko.

Na hii hpja inakufa kabisa kwa sababu wapo wanaoendelea kuitumia biblia kiroho na wanafanikiwa, tena kwa kiwango kikubwa mno.

Sasa sijui kwanini unan'gan'gania historia ya mrumi na uandishi, au vitabu vingine, au ajenda zingine, na kadhalika huku ukiwapa mgongo wanaofaidika na maajabu, kukua kiroho na mafunzo ya imani katiika biblia.

Jua kwa ufupi tuu kuwa Wayahudi, warumi na wengine hawajaanza leo kutumia biblical scriptures kwa amatumizi yao binafsi,

Hata leo hii watu wanatumia biblical codes na lines kugundua vitu, utawala wa kisiasa, maendeleo ya utamaduni, psychological treatments, kukuza maarfa na upeo (strengthening minds) na hata maendeleo ya kkiuchumi

Hii yote haitoshi kuelewa na babdo unan'gan'gania watu waweke mitazamo hasi kwa biblia??

Shauri lako, we shikilia unachoelewa na kuamini na qenzio wanaendelea kuitumia kujisogeza wanapotaka kufika

Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote asingeweza kuandika kitabu chenye contradiction nyingi kama biblia.

Uwepo wa contradiction nyingi kwenye biblia ni ushahidi wa moja kwa moja kuwa huyo Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo, wala hawezekani kuwepo.
Na hizo ni hadithi tubza kuungwa ungwa za uongo zilizotungwa na watu tu wajinga wajinga.
 
Back
Top Bottom