Soma pia Mwanzo 1:26Biblia Yake umeisoma Vizuri Mungu mwenyewe anathibitisha kuwa Walikuwa kama Mmoja wao..
Shetani alisema Hivi!
Mwanzo 3:5..
..kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya...
Naye Mungu akasema hivi..
Mwanzo 3:22 ...
Bwana Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele;..
Sentensi hiyo unaielewa Kweli??
Sasa Kuna Uongo Gani Hapo wakati mungu ameuthibitisha Kuwa Sio Uongo??
Nakupa Contradiction kadhaa kasome Ukoo wa Yesu kwenye mathayo njoo soma na Ukoo wa Yesu wa Luka halafu kalinganishe na Ukoo Unaosemwa Kwenye Agano la Kale Yaani ToratiMimi nimesoma na kurudia mara kwa mara vitabu vya Mathayo,Marko,Luka,Yohana,Matendo na Ufunuo.
Inahusiana na nini Na Uongo wa ShetaniSoma pia Mwanzo 1:26
Mungu akasema "Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu...."
Agano la kale sijasomaNakupa Contradiction kadhaa kasome Ukoo wa Yesu kwenye mathayo njoo soma na Ukoo wa Yesu wa Luka halafu kalinganishe na Ukoo Unaosemwa Kwenye Agano la Kale Yaani Torati
Unarudi kulekule tulikotoka. Wewe uliuliza maswali. Mimi nimekujibu kwa jinsi ninavyoelewa na kwa kutumia Maandiko. Kama wewe ni holder wa Doctor of Philosophy in Theology, Doctor of Theology, Doctor of Ministry, Doctor of Sacred Theology ulitakiwa upangue hoja zangu kwa usomi wako.Kiufupi Kuna kitu Unatakiwa Kujifunza Ungekuwa Umesoma Theology ningekukumbusha Ila ngpja Nikusaidie Jitahidi Kujibu Hoja Kulingana na Ulichouliza, Pili Kumbuka Mungu hatetewi wala Usijaribu kutetea Mpaka Ukaharibu Kitu sema Kitu kama Kilivyo Bila kuingiza Maneno yako wala Visingizio..
Na Huo ni Ujumbe wangu kwako
Ngoja Nikipata Muda Nitakuchambulia Hiyo Moja tu ya Mazazi ya YesuAgano la kale sijasoma
Kibao wapi. Hizo unazoita contradictions nimeishazipangua.Kibao Sana..
Huwezi kuziona Kama Wewe Sio Msomi wa Biblia Kama Ni mtu wa Kuambiwa Biblia Ni kitabu Kisichohojiwa Utaona Kila Kitu ji sawa
Kuna faida gani kuwa haufi na bado mambo yako tukiyapima Kwa mzani yanaonekana ya ovyo Tu.Malaika wanaasi mbinguni ufalme unagawanyika pande mbili alafu unasema mimi nataka kuwa na haki sawa? NI sawa Tu .Yesu NI Mungu na bado alikutwa na Umauti.unasema Mungu hafi how?Kwamba unataka ujiweke level moja na Mungu mtu ambaye anakufa mda wowote ilihali Mungu hafi
Kwasababu unadhani upo Kwa tengenezo la Mungu ili Hali hujui Mungu anapenda nini .utabaki kubusu quran na kuikumbatia biblia bila kujua n nini na kwanini wanadam tupo dunianiVichwa viko higher
Leta andiko linalotambua kuna kitabu kinaitwa BibliaAnatambua kitabu gani?
Sorry Hizo nilizotoa Hazikuwa Contradiction Zilikuwa ni hoja Makini na Kwa uwezo wako wa Kujibu Hoja Sidhani kama Umejibu hata Moja..Kibao wapi. Hizo unazoita contradictions nimeishazipangua.
Biblia haisomwi kama gazeti la Udaku. Isome kwa muktadha na kwa umakini. Na ukisoma kwa mtazamo wa kuipinga ndio kabisa fikra zako zitapofushwa
2 Wakorintho 4:4,
"Ambaye katika hao mungu wa dunia hii[shetani] amepofusha fikra za wasioamini, wasije wakaona nuru ya Injili ya utukufu wa Kristo, aliye sura ya Mungu.
Sorry Hizo nilizotoa Hazikuwa Contradiction Zilikuwa ni hoja Makini na Kwa uwezo wako wa Kujibu Hoja Sidhani kama Umejibu hata Moja..
Na kuhuus Hizo Contradiction Huna Uwezo wa Kujibh hata Moja..
Unajibu Maandiko Mtindo wa Kilokole Maandiko Ni matter of Knowledge (Maarifa) na sio Kuunga unga Vijimistari ulivyofanya Na Kurukia Baadhi ya Facts na Kuhisi Unajibu..
Kwanza Kingine Jitahidi ujifunze kupanga Hoja Atleast Weka Majibu kwenye Comment Moja na Yote Yafuatane Haijalishi yatakuwa majibu Dhaifu kiasi gani ila Jitahidi..
Kingine Usitumie AI kujibu majibu yanayohitaji Akili Binafsi
Hawezi Kujibu Maswali anachojibu Ni kile alichofundishwa Na wachungaji wake na Ukienda Further na Nje ya alichofundishwa hawezi kukupa Jibu..Huyo member ni msanii, mimi kuna maswali nimemuuliza hata kujibu ameshindwa. Ameyaacha plain
Mimi biblia naijua . O level nimesoma Maua seminary na nilipata A ya bible knowledge, na A level nilipata B ya divinity pale loyola. Alijaribu kunidanganya kwa kusema kwenye biblia utumwa uliruhusiwa agano la kale tu kabla yesu hajaja , mimi nikamuuliza swali kwa mstari wa agano jipya amegoma kujibu
Anakwepa sana maswali yangu
Paulo alijichagua,alidai akiwa anaenda damascus,yesu akamtokea njiani huko,huoWaefeso 1:1 β "Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, kwa watakatifu walio katika Efeso, waaminifu katika Kristo Yesu."
2 Wakorintho 1:1 β "Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, na Timotheo ndugu yetu, kwa kanisa la Mungu lililoko Korintho, pamoja na watakatifu wote walioko Akaya yote."
Katika mistari hiyo, Paulo anasisitiza kwamba hakujichagua mwenyewe kuwa mtume, bali alichaguliwa na Mungu kwa mapenzi yake. Kwahiyo maneno aliyonena, aliyanena kwa kuongozwa na Mungu.
Fuatilia historia ya Paulo kabla hajawa mtume, ujue jinsi Yesu alivyosema naye kwa sauti na kumchagua kuwa mtume.
πHongera sana, mkuu. Ila ongeza bidii, bado una safari ndefu kuifikia level ya PhD.
Wewe una PhDs ngapi kati ya hizi:Kitabu Kizima Kina Contradiction zaidi ya 700
Hiyo habari ni fundisho, tujue jinsi shetani anavyoleta majaribu na jinsi tusivyopaswa kumkufuru Mungu. Shetani ameishaandaliwa moto. Ndio sababu anahangaika kutafuta watu watakaoenda naye motoni. Kama unakubali kwenda naye motoni sawa, endelea kumuunga mkono. Utayakumbuka maneno haya kwa majuto.