KIukweli kwa kutumia Biblia Shetani alisema Ukweli kwamba Hawatakufa baada ya Kuona Hivyo Ili kumprove Wrong shetani Mungu akawaondoa Ili wasile tunda Jingine wakaishi milele..Ile kusema wakila tunda hawatakufa, pale tu ndipo uongo wa shetani ulipo. Na ni kawaida ya shetani kuweka ukweli mwingi na kuchanganya na uongo kidogo.
Kifo kipo cha kiroho na kimwili, saa ile ile walipokula, utukufu wa Mungu uliwaondoka wakabaki uchi na ndipo kifo cha kiroho kilipotokea.
AmenAmini alichosema Yesu. Isitoshe alisema njia ni nyembamba iendayo uzimani nao waionao ni wachache.
A self-entitled person umenifurahisha sana😀😀Wewe ni Atheist uliyejifunika mwavuli wa Theology. Wewe na wenzako mlifikiri mtaweza kuipotosha jamii yote kwa hoja za kishetani eti Biblia sio Neno la Mungu ina contradictions. Misheni yenu imefeli mapema sana na ukweli umejulikana: Biblia ni Neno la Mungu.
Biblia ya Kiprotestanti ina vitabu 66 – 39 vya Agano la Kale na 27 vya Agano Jipya.Vitabu ni 73. Hiyo 66 umetoa wapi? Hicho ni kipande cha bibilia. Wakristo hadi Wittenberg cathedral pale kwa kina Luther kuna bibilia iliyotumika miaka zaidi ya 1500 yenye vitabu 73, ina maana watu walikuwa wanakosea kwa makarne na makarne mpaka eti mtu mmoja aje kukata vitabu vyote hivyo 7?
Hiyo "Negative Theology/Heresy" haitakuacha salama.KIukweli kwa kutumia Biblia Shetani alisema Ukweli kwamba Hawatakufa baada ya Kuona Hivyo Ili kumprove Wrong shetani Mungu akawaondoa Ili wasile tunda Jingine wakaishi milele..
Kumbe walikuwa wanaweza Kuishi milele ila Mungu akawazuia...
Shetani alisema Hamtakufa au Sio!
Sasa ili kumuwahi shetani Asionekane Kasema ukweli akazuia wasinyooshe mkono wakachuma tunda jingine (Kwa sababu alijua mawazo yao yanaenda wapi) mimi naita Thought manipulation..
Yes! He is the spirit of Heavenly Father in saints (Ni roho ya Baba wa Mbinguni ndani ya watakatifu).Unaamini kuna Roho Mtakatifu? Tuanzie hapo kwanza.
Yataka busara ya kiMungu kuzielewa kauli za Yesu Kristo katika maandiko. Kuna mahali anaongea kama mwanadamu (pale hadhira ilipotafsiri alichokifanya/sema kuwa amekifanya kimwili ilhali kilifanyika kiroho aliukataa utukufu wa mwili akamtukuza Roho (Mungu) aliye ndani yake). Kuna mahali anaongea kama Mungu Mwenyezi pale anapozungumza/tenda yale ya rohoni).Naomba nitoke nje ya mada kidogo,mimi ni mkristo ila siyo mfia Dini,katika huo mstari wa yohana(14:6)yesu anakiri kweli yeye siyo mungu ila ni mtoto,kwa maana hiyo hiyo yesu ni mteule na mtendaji mkuu katika serikali ya mungu na ndio maana amekuwa na mamlaka ya kusema hakuna mtu atakae enda kwa Baba bila yeye,swali langu linakuja hapa hawa ndugu zetu wa imani ya pili kwa maana ya Waislam inamaana kuwa hawato enda mbinguni kwa kuwa wana mtume wao ambae wanamuamini ambae sisi hatumuni?
Who are you to judge that those scriptures were not inspired by the Spirit of God? Ilhali hayo maandiko yamesomwa na kunukuliwa na Manabii na mitume katika maandiko matakatifu.Jibu ni moja tu: ni hekaya kwa sababu hazina pumzi ya Mungu ndio sababu makanisa yote ya kiprotestant yamezipiga chini. Kama wewe uko nje ya makanisa hayo sishangai ukizitumia. Period
Kuna mengi nakubaliana na wewe kuhusu maandiko ila hili la contradictions napingana nawe.Kitabu Kizima Kina Contradiction zaidi ya 700
Nakubaliana na Wewe Kabisa kwamba Bible Coded Messege nyingi sana..Kuna mengi nakubaliana na wewe kuhusu maandiko ila hili la contradictions napingana nawe.
Japo najua kwanini hapa tutapingana. You are a Theologian and Philosopher but I'm not. Ukitaka kuunlock scripture codes kwa Theology na Philosophy lazima utaona contradictions. Ila ukisoma under the guidence of Holy Spirit unapata revelation ya hiden context in some coded scriptures.
Kama nilivyokwisha kukwambia uchambuzi wa scriptures as according to Theology and Philosophy lazima utaibuka na contradictions cause umebase kwenye Earthly things. I can confess kuwa I am not competent to debate on earthly things like genealogy, tribes, races etc kwa sababu naamini Roho Mtakatifu hayuko interested na kutufunulia hayo ya mwilini bali ya rohoni.Nakubaliana na Wewe Kabisa kwamba Bible Coded Messege nyingi sana..
ila kwa leo tuziache naomba Tuzungumzie Contradiction Moja tu kama Hutojali maana Sitaki Kuzungumza Nyingi..Sana
Uzazi wa Yesu..
Vipi Biblia Inasemaje Kuhusu Yesu alikuwa mtoto wa Nani?
Nataka Tuchambue Historia Ya yesu Kupitia Vitabu Vya Ukoo wa Yesu ambavyo Ni Mathayo na Luka..
na wakati Huo Tutarudi Nyuma Pia Tutafatilia Ukoo Huo Mpaka kwenye agano la Kale kwa Uhakiki zaidi..
Stay with me in calm situation..
sote tunajua Kuwa Baba wa Yesu Kwa Mujibu wa Biblia na Mila za Kiyahudi Ni Yusuf si ndiyo?
Mathayo 1:16
Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.
And Jacob begat Joseph the husband of Mary, of whom was born Jesus, who is called Christ.
Au Hata..
Luka 3:23
Na Yesu mwenyewe, alipoanza kufundisha, alikuwa amepata umri wake kama miaka thelathini, akidhaniwa kuwa ni mwana wa Yusufu, wa Eli,
And Jesus himself began to be about thirty years of age, being (as was supposed) the son of Joseph, which was the son of Heli,
Sasa Nataka Tuulizane kwa Pamoja Mimi Na wewe Ni nani Baba Yake Yusuph Kulingana na Ukoo w Yesu?
Kwenye Mathayo Baba Yake na Yusuph anaitwa Yakobo!
Mathayo 1:16
Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.
And Jacob begat Joseph the husband of Mary, of whom was born Jesus, who is called Christ.
ila Kwenye Luka Baba yake na Yusuph anaitwa Eli
Luka 3:23
Na Yesu mwenyewe, alipoanza kufundisha, alikuwa amepata umri wake kama miaka thelathini, akidhaniwa kuwa ni mwana wa Yusufu, wa Eli,
And Jesus himself began to be about thirty years of age, being (as was supposed) the son of Joseph, which was the son of Heli..
So Unafikiriaje Kuhusu Hilo swala?
VIPI yesu wa Kwenye Luka na Yesu wa Kwenye Mathayo Wana Koo Zinazofanana? JE ni mtu mmoja au ni watu wawili tofauti?
Koo za Yesu kupitia Mathayo na LUKA haziendani mpaka Zinakuja Kukutana tena kwa Zerubaberi..
Luka 3:27
wa Yoana, wa Resa, wa Zerubabeli, wa Shealtieli, wa Neri,
Which was the son of Joanna, which was the son of Rhesa,
which was the son of Zorobabel, which was the son of Salathiel, which was the son of Neri,
Na Mathayo Na yeye akasema Hivi kuhusu Zerubabeli...
Mathayo 1:12-13
Na baada ya ule uhamisho wa Babeli, Yekonia akamzaa Shealtieli; Shealtieli akamzaa Zerubabeli;
Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eliakimu; Eliakimu akamzaa Azori;
And after they were brought to Babylon, Jechonias begat Salathiel; and Salathiel begat Zorobabel;
And Zorobabel begat Abiud; and Abiud begat Eliakim; and Eliakim begat Azor;
Sasa Contradiction Ya kwanza Nimekupa Kuhush Baba yake Na Yusuph na Inayoendelea Baada ya Koo Hizi Mbili zenye mtu mmoja Kutofautiana..
hii Ni Contradiction Ya Pili Kuhusu Uzao wa Yesu..
Tunaona Wote Luka na Mathayo wanakubaliana Kuwa Baba wa Zerubabeli ni sheatieli (Luka 3:27 na Mathayo 1:12-13)
Ila Wanapingana Tena Kuhusu Ni nani Baba Wa Sheatieli ..
Wakati Luka anasema Baba wa Sheatieli ni Neri..
Na Mathayo naye kasema Hapana Ni Yekonia..
unaionaje Hiyo Sio Contradiction??
Ila Mimi Huwa napenda Kuuliza Sana Agano la Kale..
Turudi kwenye Torati na Agano la Kale, Je nani Baba wa H
Sheatieli kati ya Yekonia na Neri??
Maana Tukio Hili lilifanyika Baada ya Uhamisho wa Babeli basi mambo ya Nyakati wa Pili Itatusaidia
1 Mambo ya Nyakati 3:17-18
Na wana wa Yekonia, huyo aliyechukuliwa mateka; mwanawe Shealtieli, na Malkiramu, na Pedaya, na Shenazari, na Yekamia, na Hoshama, na Nedabia.
And the sons of Jeconiah; Assir, Salathiel his son,
Malchiram also, and Pedaiah, and Shenazar, Jecamiah, Hoshama, and Nedabiah.
KWahyo wana Wa Yekonia Mmoja wapo Ni sheatieli Kwahyo tunapats Jibu kwamba Sheatieli hakuwa Mtoto wa Neri..
Swali la Kwanza Ni kwamba Neri alitoka wapi?
Maan Haonekani kokote kwenye Vitabu vya Koo za Kale za Ukoo wa Daudi wote..
Je, Luka katudanganya Kuhusu Mtu anayeitwa Neri kuwa Ni babu wa Yesu kutoka Ukoo wa Daudi??
Tukienda kwa watoto wa Zerubabali Kwenye Biblia Agano la Kale Ukisoma Ukoo wa Daudi..
1 Mambo ya Nyakati 3:19-20
........ na wana wa Zerubabeli; Meshulamu na Hanania; na Shelomithi alikuwa umbu lao;na Hashuba, na Oheli, na Berekia, na Hasadia, na Yushab-Hesedi, watu watano...
Hakuna mtoto Hata Mmoja anayeitwa Abihudi (Abiudi) au Rhesa Kama LUKA na Mathayo walivyotuambia Kwenye Koo zao..
Ambao wao wote wametaja watu tofauti..
Mathayo 1:12-13
Na baada ya ule uhamisho wa Babeli, Yekonia akamzaa Shealtieli; Shealtieli akamzaa Zerubabeli;
Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eliakimu; Eliakimu akamzaa Azori;
Na luka..
Luka 3:27
.... wa Resa, wa Zerubabeli, wa Shealtieli, wa Neri,
........which was the son of Rhesa,which was the son of Zorobabel, which was the son of Salathiel, which was the son of Neri....
Najua Kuna kwenye Ukoo wa Yesu Tu kuna Contradiction Nyingu sana Ikiwemo Ni mtoto gani Wa Daudi yesu alitokea Luka Anasema Ni kutoka Kwa Mtoto wa Daudi aitwaye Nathani...
Ila Mathayo anasema ni Suleimani..
Ila Bado ukisoma Baadhi ya Sehemu kwenye Biblia wanamtaja Suleiman..
Sasa Kabla sijataja Vitu vingi ambavyo bado viko vingi tu..
Huoni hizo Contradiction za Mazazi ya Yesu na Ukoo Wa Yesu Pekee Zinakupa Picha kwamba Kuna Migongano mingi ya Kiuandishi??
Tujadiliane kwa Hoja Kama Utaweza
Ulimpokea lini? Baada ya kuacha njia zangu za uovu na kuanza kuishi maisha ya utakatifu kama yasemavyo maandiko; pindi nilipoamua kuyafanya maandiko kuwa ni katiba ya maisha yangu.Ulimpokea lini Roho Mtakatifu? Na ni ishara gani uliyoona au kuhisi siku hiyo
Hao wayahudi mbona hawaitambui agano jipya? Yani watu watumie vitabu 73 miaka zaidi ya 1517, alafu 1517, ndio mtu avitoe , inaingia akilini? Na hivyo vitabu, baada ya manuscript yake kupatikana kwa kiyahudi kwenye dead sea scrolls, hiyo hoja ilikufa. Bibilia wakristo wote waliokuwa wanatumia kabla ya 1517 ni vitabu 73. Kwahiyo walikuwa wajinga au sio😅Biblia ya Kiprotestanti ina vitabu 66 – 39 vya Agano la Kale na 27 vya Agano Jipya.
Biblia ya Kikatoliki ina vitabu 73 – 46 vya Agano la Kale na 27 vya Agano Jipya.
Kwa nini kuna tofauti hiyo?
Kabla ya "Reformation" mnamo karne ya 16, Kanisa Katoliki lilitumia Biblia yenye vitabu vya Deuterokanoni (vitabu 7 vya Agano la Kale: Tobiti, Yudithi, Hekima, Siraki, Baruku, 1 & 2 Maccabees, pamoja na nyongeza katika Danieli na Esta).
Martin Luther alipokuja na Reformation (1517), alitumia orodha ya vitabu vya Kiyahudi (Tanakh), ambavyo havikuwa na vitabu vya Deuterokanoni. Kwa hiyo, Waprotestanti wanafuata orodha ya Kiyahudi yenye vitabu 39 vya Agano la Kale, huku Wakatoliki wakiendelea kutumia Biblia yenye vitabu 73.
Kwa hiyo ndg yangu, Biblia ya Kiprotestanti yenye vitabu 66 sio "kipande" cha Biblia, bali ni toleo tofauti lililotokana na tafsiri ya Kiyahudi ya Agano la Kale. Umeelewa, mkuu?
First thing Ni kwamba Kama Kuna Cobtradiction Means Roho Mtakatifu hakuhusika..Kama nilivyokwisha kukwambia uchambuzi wa scriptures as according to Theology and Philosophy lazima utaibuka na contradictions cause umebase kwenye Earthly things. I can confess kuwa I am not competent to debate on earthly things like genealogy, tribes, races etc kwa sababu naamini Roho Mtakatifu hayuko interested na kutufunulia hayo ya mwilini bali ya rohoni.
Kiufupi kwenye Jesus geneology according to gospel of Matthew and Luke kama wasemavyo wanatheolojia wachache niliokutana nao kwenye kujifunza (wenye mtazamo tofauti na wewe; huo wa contradictions kwenye Jesus Geneology) ni kuwa Matthew writings zilibase kwenye geneology in Joseph perspective na Luke kwenye geneology in Mary perspective. Hapo kati kuna sijui mambo ya Legal & Biological Rights for children between father & step-father according to Hebrew traditions na sheria za Musa nk. However for me hayo yote ni irrelevant maana hayakuwahi kuandikwa na yapo kimwili zaidi.
Naomba tujadili hizo scripture contradictions zilizo kiroho zaidi not hizo za fleshly nature maana kwangu mimi naamini Joseph hakuwa baba wa Yesu Kristo (mwana wa Mungu) ila Mungu Baba Mwenyezi; kwakuwa hakuna andiko lolote ambalo linaonyesha kuwa yeye mwenyewe aliwahi kumtambua hivyo.
Hahaha hi dunia Kuna watu wa kushangaza kweli😀😀Watu wengi wanazani Biblia iliandikwa kwa ajili yao. HAPANA
Bali Biblia iliandikwa kwa ajili ya purpose nyingine kabisa na hata walio andika hawakujua kwamba itakuja kuhitwa maandiko matakatifu.
First thing Ni kwamba Kama Kuna Cobtradiction Means Roho Mtakatifu hakuhusika..
maana ukisoma biblia Roho mtakatifu anasema Yeye sio Mtu wa Cobtradiction haijalishi Sisi tuzigrade kuwa Za Kiroho au Za Kimwili..
So Uko tayari Tujadili za Kiroho zaidi..
Maana Pia Zipo