Hiyo AI uliyotumia iko kwenye majaribio(beta), usiiamini inaweza kukupa majibu yasiyo sahihi.Tunajadili,umediss mi kutumia AI kujua uandishi wa biblia,ndiyo nimekuuliza AI inasema tanganyika ilipata uhuru lini?..AI inasema vita vya ghuba ya uajemi vilitokea lini?..ww2?..au AI haisemi kweli kwenye history za dini tu?
1)ndiyoTafadhali jibu kwanza maswali ya awali, maana hiki ulichouliza mwandishi amekiweka kwenye uzi.
Amefafanua kuwa kwenye biblia kuna maneno ya Mungu mwenyewe, kuna maneno ya shetani, kuna maneno ya binadamu wa kawaida, kuna maneno ya wachawi, kuna maneno ya majini n.k. Yote yamewekwa kwa sababu maalum kabisa, na mwandishi amefafanua sababu hizo.
Sasa jibu maswali ya msingi;
- Je unamfaham/unamjua Mungu?
- Kama unamjua, ulimjulia wapi?
- Kama humjui, umejuaje biblia sio neno lake?
KapikeHiyo AI uliyotumia iko kwenye majaribio(beta), usiiamini inaweza kukupa majibu yasiyo sahihi.
By the way, hoja ya msingi hapa sio Biblia iliandikwa lini. Hoja kuu ni je Biblia ni Neno la Mungu? Tubaki hapo, mkuu
Je, umajuaje biblia sio neno lake?1)ndiyo
2) Quran
Sababu ni historia na maneno ya watu,mfano wagalatia 3:1,hakuna neno la Mungu hapo bali la pauloJe, umajuaje biblia sio neno lake?
shalom!!samahani mtumishi kuna wanaodai tunda ni fumbo limetumika je ni kweliMungu alisema kweli hutakufa ukila tunda hili? (Rejea Mwanzo 3:4)
Pole sana ndugu.Haya maneno siyo ya Mungu wala yesu
Kuwa CCM wameleta maisha bora kwa WatanzaniaNatamani Mtu aniambie Shetani alisema uongo Sehemu gani maana Umeandika Uongo wa shetani Miss Hebu niambie na Mimi lro niujue uongo wa shetani
Yohana 10:10wakahukumiwa kukatwa vichwa na binadamu. Shetani alikuwepo?
Msipende kumsingizia uongo shetani.
Msabato hawezi kuandika hivi:Ahsante msabato
Umesoma uzi? Mleta uzi ametaja aina zipi za walioweka maneno kwenye biblia?Sababu ni historia na maneno ya watu,mfano wagalatia 3:1,hakuna neno la Mungu hapo bali la paulo
Huku labda mongolian savage patamfaa sio wewe😅Duh!
Hakuna Andiko Lilisema Kuwa Mkila Mtakuwa Uchi, Au Lipo?Mbona nimekujibu. Adam na Hawa wapo leo? Shetani alisema hawatakufa. Nimekuambia pia walikuwa uchi. Mungu ni roho. Hao walibadilika wakawa roho?
Shetani alisema ukweli kwamba wakila tunda watakuwa kama Mungu, ila hakuwaambia mkisha kula tunda la katikati nendeni mkale na la uzima wa mileleHilo neno Kama Ndo neno alilotumia Shetani Pia na Ndo neno alilotumia Mungu Pia Swali liko pale pale kosa Liko wapi kusema Ukweli?
Uongo wake bado sijaupata mpaka sasa Na kama Utashindwa sema Nimeshindwa Usidanganye Kitu..
Narudia tena.. NIKIHUSISHA NA NEO "KAMA"
Maneno ya Shetani
Mwanzo 3:5
" kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya.
Maneno ya Mungu
Mwanzo 3:22
" Bwana Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele;"
bado Swali linabaki wazi Binti
Nani kakwambia mleta uzi yuko sahihi!?..tungeona yuko sahihi tusingejadili,hakuna neno la Mungu kwenye bible bali maneno ya watu wakidai Mungu kasemaUmesoma uzi? Mleta uzi ametaja aina zipi za walioweka maneno kwenye biblia?