Uzi wako umeuandika vyema sana. Shida watu hawasomi between the lines wanakimbilia kubisha kupitia walivyokalili.Biblia ya wapi hiyo inayosema Paulo alitunga uongo? Duh.
Shalom!shalom!!samahani mtumishi kuna wanaodai tunda ni fumbo limetumika je ni kweli
Kwanza Kabisa tuseme basi ni mungu kwa herufi ndogo bado haibadilishi context ya niliyokueleza Na Bado hujajibu Hoja niliyokupa!..Soma vizuri. Shetani anatajwa kama mungu wa dunia, sio Mungu. Angalia tofauti ya Capital na Small letter, mkuu
Kwahiyo duniani hakuna mwivi, shatani huwatuma watu kuchinja. Hao wachinjaji hawana hatia maana wanatumwa tuu. Ni hivyo au????Yohana 10:10
"Mwivi haji ila aibe, na kuchinja, na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele
Mwivi hapo ni shetani. Aliwatumia tu watu hao kuwakata vichwa
Mbona nimeeleza vizuri tu mkuu, au ni kutaka tu kupinga?Nani kakwambia mleta uzi yuko sahihi!?..tungeona yuko sahihi tusingejadili,hakuna neno la Mungu kwenye bible bali maneno ya watu wakidai Mungu kasema
2 Petro 1:21Nani kakwambia mleta uzi yuko sahihi!?..tungeona yuko sahihi tusingejadili,hakuna neno la Mungu kwenye bible bali maneno ya watu wakidai Mungu kasema
Unanionyesha Kitu wanachosema Watu nataka Turudi kwenye Context anayosemwa Kuwa Ni Mwongo..Ufunuo 12:9
"Yule joka akatupwa, yule nyoka wa zamani aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye."
Yohana 8:44
"Ninyi ni wa baba yenu Ibilisi, na mnataka kuyatenda mapenzi ya baba yenu. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo, wala hakusimama katika kweli, kwa sababu hamna kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa maana yeye ni mwongo na baba wa uongo."
Hujaona tu kuwa shetani ni mwongo?
Shetani ndo alikuambia Hivyo?Kuwa CCM wameleta maisha bora kwa Watanzania
Hawezi kuelewa huyo. Akimaliza kusoma hapo anaokoka kabisaMbona nimeeleza vizuri tu mkuu, au ni kutaka tu kupinga?
Hujasoma haya? BIBLIA INA...
Kwa nini sasa Biblia Inaitwa Neno la Mungu wakati ina maneno ya Shetani, Goliathi, na watu wengine waovu?
- Maneno ya Mungu Mwenyewe – Mfano, Amri Kumi (Kutoka 20:1-17) na maneno ya Yesu Kristo yaliyonukuliwa katika Injili.
- Maneno ya wanadamu waliovuviwa na Mungu – Manabii na mitume kama vile Isaya, Yeremia, na Paulo waliandika kwa kuongozwa na Mungu.
- Maneno ya wanadamu wa kawaida– Biblia inanukuu maneno ya watu mbalimbali, hata wale waliompinga Mungu. Mfano:
- Maneno ya Shetani (Mwanzo 3:1-5, Mathayo 4:3-9) – yameandikwa ili kufunua uongo wake na jinsi Mungu anavyomshinda.
- Maneno ya Goliathi (1 Samweli 17:8-10) – yanaonyesha kiburi chake kabla ya kushindwa na Daudi.
- Maneno ya Farao (Kutoka 5:2) – yanadhihirisha ukaidi wake dhidi ya Mungu na jinsi jeshi lake lilivyoangamia.
- Maneno ya makahaba – Mfano, Rahabu alivyoshuhudia juu ya ukuu wa Mungu wa Israeli (Yoshua 2:9-11).
Biblia haielezi aliyoyatamka tu Mungu, bali inasimulia historia, mafundisho, unabii, na hata hila za Shetani kwa lengo la kutoa maarifa na mwongozo kwa wanadamu. Kila kilichoandikwa ndani yake kina sehemu katika mpango wa Mungu wa wokovu. Kwa hiyo, ingawa ndani yake kuna maneno ya waovu, ujumbe wa jumla wa Biblia ni Neno la Mungu kwa sababu unatoa ufunuo wa mpango wake kwa wanadamu.
Kwa sababu Biblia Pia Imeniambia Nitafute Ukweli ili Ukweli Uniweke Huru..🤣🤣🤣 Daa ukiujua then what?
NA Hiyo ndo ilikuwa JibuShetani alisema ukweli kwamba wakila tunda watakuwa kama Mungu, ila hakuwaambia mkisha kula tunda la katikati nendeni mkale na la uzima wa milele
Au labda hiyo siri hakuijua.
Mungu akakiri kwamba wamekuwa kama wao, akaondoa mti wa uzima wa milele.
Nimekwisha Kukurekebisha Vizuri sana naomba Nirudie tena.Kama kwako mungu na Mungu ni sawa, basi rudi tena shuleni mkuu, ukajifunze matumizi ya Capital letters kwenye proper nouns
Maneno ya paulo2 Petro 1:21
[21]Maana unabii haukuletwa po pote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.
Endelea kupata Neno la Mungu kutoka kwenye Biblia
Chief, soma hapaSasa turudi kwa shetani Twende kwenye Tukio alilofanya na Unionyeshe Uongo aliosema na Kama Ukishindwa Niamini kwamba hakufanya Huo uongo ila alisingiziwa?
Umekisoma na Bado huwezi kukitetea 🤣Shalom!
Mwanzo 2:16-17
"Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula; lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile; kwa maana siku utakapokula hakika utakufa."
N i tunda halisi: Biblia haisemi kuwa ni fumbo bali ni tunda halisi kutoka kwenye mti maalum uliokuwa bustanini.
Hata hivyo dhambi yao haikuwa kula tunda tu, bali kutokutii amri ya Mungu.
Jitahidi uwe unasoma Biblia mwenyewe. Vinginevyo ni rahisi kudanganywa na wapotoshaji. Mimi nimeisoma Biblia yote, kuanzia kitabu cha Mwanzo hadi Ufunuo, zaidi ya mara tatu! Na bado naendelea kuisoma tena na tena.
Neno la Mungu kama linavyosemwa. Rudi usome uziManeno ya paulo
Ni kweli kwamba lugha za asili kama Kiebrania na Kigiriki hazikuwa na mfumo wa herufi kubwa na ndogo. Hata hivyo, maana ya neno "mungu" na "Mungu" inategemea muktadha wa maandishi na matumizi yake katika Biblia.Pili Inabidi Tena Nikufundishe Somo la Linguistics Ulijue Vizuri..
Kayika Lugha ya Kiebrania, Kigiriki, Kiarabu na Lugha zote za Zaman Hakukuwa na Mfumo wa Herufi ndogo na kubwa na sio hakukuwa mpaka sasa Hakuna Mfumo huo Kwahyi hiyo mungu uliyoiona ni neno Θεός (theós) ambayo hiyo Thita ya Kwanza Haina Herufi kubwa wala ndogo ila Ukiitafsiri kwa Lugha ya Kingereza Lenye Herufi za Kilatin ndo tutaweka Hizo herfi zenu kubwa na ndogo...
Maneno ya paulo/mwandishiNeno la Mungu kama linavyosemwa. Rudi usome uzi