Jikite kwenye mada error kwenye namba zangu haziwezi kukusaidia.
Ndiyo maana toka hawali nilikumbia kuwa hakuna mtu Makini atakuchukulia seriously.
Wewe ni nani hata unichagulie hadithi hii ni sahihi na hii si sahihi?.
Mke wa Muhammad kasema" Mme wake alikuwa akihitaja sura na Aya 203 na sasa zipo 70 alafu wewe mmatumbi mwenzangu, Mwijuu wa mpagazi unanichagulia kipi cha kuamini na si chakumini zinapokuja hadithi za mtume?.
Wewe ni nani hasa katika uislamu na nini hasa kinakupa umuhimu hata katika uislamu hata utake kunichagulia hadithi?.
Yaani nisimuamini mke wa Mtume pale linapokuja jambo la uislamu then unataka ni kuamini wewe?
Mwanzoni nilitaka Kukuelewa kuhusu Ulivyokuwa Unaandika Nikajua kuwa labda uliteleza tu na hukuwa na maana kuandika Ulichokuwa umeandika...
ila niamini kuwa Wewe una matatizo ya kiakili kabisa 😅😅..
Nakushauri badala ya kukaa Jf...kwa hali yako ulifaa kumuona Daktari wa magonjwa ya Afya ya akili au Therapists kwa unafuu wako..
maana unaonekana umejaza chuki zisizokuwa na faida hata kidogo..
kwa bahati mbaya umenikuta mimi sio mtu wa Chuki wala Vifundo..
na elimu nitakupa Ili uelwe..
Katika Uislamu kuna Elimu Mbalimbali Na watu husomea Elimu hizo ilinkupata maarifa hayo..
uislamu umejengwa kwenye Qurani na Sunna..
na hizo Sunna ndo Hadithi zilizokusanywa na watu kutokana na Maisha misemo na hata nukuu za mtume..
Sasa ili watu wasiingize maneno yao kwenye Hadithi Maana Sunna Husababisha kuwepo kwa FIQHI na ndo sheria hasa Za kiislamu zinapotoka kwenye Quran na sunna..
Kuka anzishwa Sayansi ya Uchunguzi wa Hadithi "Mustalahul Hadithi" au "Ilimul Hadithi" elimu ya Hadithi..
Elimu hii Huchunguza Sanadi "Mtiriko wa Masimulizi wa hadithi hizo mpaka kwa Mtume au mtu aliyemsikia Mtume"
na pia elimu Hiyo Huchunguza Matini (Contents na context) ya Hadithi hizo kuangalia hasa Lengonla hadithi hizo ni nini?
Sayansi ya Hadithi ni pana sana Ambayo ndo maana nimekuambia Hiyo hadithi sio sahihi..
Kwa sababu hadithi zote zina daraja kwenye utambuzi wake kuna Hadithi sahihi,Hadithi hassana, Hadithi maudhu na Hadithi dhaifu..
NIkuache kwanza hapo maana najua huwezi hata kujua naongelea nini maana unafikiri Kila hadithi Inakubalika Kwenye Uislam 😃😃
Japo kwa sasa mimi sio muislamu ila ukitaka elimu ya hadithi na uchambuzi karibu sana..😀😀
Azhab (Mwarabu) kamnukuu mke wa mtume, mke wa mtume kasema haya zimeondolewa kwanini wewe utake kunilisha Matango Poli forcbily?.
ndo maana Nikasema "You are sick"
Azhab sio mtu na unazidi kukosea 😅😅
Kuhsuu Hiyo Ahzab ni sura ambayo ina aya 73 kama mwanzo ulivyosema tu na ni sura no 33 kwenye Quran na sio Jina la mtu..
Mkuu jitahidi Usijitie Aibu zisizo na Ulazima ..
Unasema hayo si maneno ya aisha bali maneno ya watu tu! ikiwa ni hivyo kuna sehemu Malaika Gabriel aliwai ongea na Muhammad?.
Si Padri tu ndiye alimwambia kuwa aliyekukaba huko pangoni ni Jibril, sasa mbona unamwamini mtume juu ya utume wake wakati Jibril hakuongea Muhammad ikiwa hoja ni kusema?
kwemye Quran kuna Aya nyingi sana Ambazo zinaonyesha Jibril akiongea na Mtume..
Kazisome..
Kisu kimwgusa mfupa, hakuna namna yoyote ungeliweza vumilia maumivu bila kutupa Dela.
Haupo constantly na uwongo wako, unadanganya kwa kuacha loopehole nyingi sana katika uwongo wako.
Uwe na asubuhi Njema.
Mkuu Mi ni Muumini wa Ukweli na sina Dini wala Dhehebu wala Imani..
Ila nachukia Uongo wa Dini zozote..
Nimebahatika akuzijua Dini Karibia zote..
Na nafurahi Kuwa nimezisoma Karibia Zote (Ni charismatic kwakweli)
Naomna nikupe kazi Tangu mwanzo Umasema nadanganya lakini hakuna hata mahali moja unaonyesha uongo wangu!
Sasa nikuombe next Time Ukija Naomba uonyeshe uongo wangu wowote..
Na naomba uonyeshe hiyo Hadithi Ya Aisha Umeitoa wapi Kwenye Sahihi ipi kati ya vitabu sita vya Hadithi za kiislamu Nionyeshe Sanadi zake na chambua Matini yake..
Kuna vitu haviitaji nguvu kuvitetea Ila Uongo unahitaji nguvu sana kuutetea..
Jaribu kutafuta Elimu sahihi kabla ya kujiingiza kwenye Midahalo ya Elimu Vinginevyo unajidhalilisha sana Mkuu!..
Samahani Next time hutaona nimekujibu chochote Mpka uniwekee Hizo Accusatation na allegetion...
Ulizosema nimedanganya uniwekee Vinginevyo nitaomba Kuacha kurumbana na wewe maana Nitakuupuuza Kwa kuwa nahusi Unaloteza muda wangu tu..
Jitahidi utafute kwanza elimu haya mengine huwa yapo tu..