antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu. Na hivyo vitabu vilikuwepo kabla ya Katoliki.Viva kanisa katoliki viva wamiliki halisi wa bablia
Hivyo, siyo kweli kwamba Katoliki ni mmiliki halisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu. Na hivyo vitabu vilikuwepo kabla ya Katoliki.Viva kanisa katoliki viva wamiliki halisi wa bablia
Sio kweliMmiliki wa biblia na Kanisa Katoliki. Hivyo biblia yake ndio sahihi kuliko zote.
Hivyo kwanza tambua hilo.
Roman Catholic imeanza Karne ya kwanza na Kiongozi wa kanisa akiwa Mt Petro (Mathayo 16:18). Anahesabiwa kama first popeMitume walikuwa wakristo je walikuwa wakatoliki??
Imeandikwa wapi??
Wewe bishana tu lakini ukweli ni kwamba kuna kanisa moja tu takatifu la mitume. Hizo zingine ni taasisi tu za ujasiriamali wa bibliaWapi catholic waliandika biblia
Ama kuna kitabu gani kimeandikwa na catholic .
Catholic waliwatunzia wanawamungu biblia wakati mpaka walipokuja
Ama kuna kitabu kimeandikwa catholic kwenye biblia
Ni roho mtakatifu ndani ya watu
Mungu hawajawahi kutumia shirika
Yeye ametumia mtu mmoja mmoja kwa kila wakati.
Sasa apa anaebisha ni mimi ama ni weweWewe bishana tu lakini ukweli ni kwamba kuna kanisa moja tu takatifu la mitume. Hizo zingine ni taasisi tu za ujasiriamali wa biblia
Wapi kwenye maandiko petro alikuwa papaRoman Catholic imeanza Karne ya kwanza na Kiongozi wa kanisa akiwa Mt Petro (Mathayo 16:18). Anahesabiwa kama first pope
Kulikuwa hakuna dhehebu jingine hadi mwaka 1054 wakati the Great schism ambapo kanisa la Mashariki (Orthodox) lilijitenga kutoka kwenye Ukatoliki. Catholic ikabakia Vatican na Orthodox ikawa na makao yake makuu Constatinople (Istanbul ya sasa)
Then mwaka 1521 Martin Luther alijitenga na Ukatoliki.
Anglican ilitokea mwaka 1575 baada ya Mfalme Henry VIII naye akaanzisha Anglican church
Hellen White mwaka 1844 naye akaanzisha SDA
Nao mapentekoste wakatokea kipindi cha great depression mwanzoni mwa karne ya 19
Mama mkuu wa ujasiria mali ni catholicWewe bishana tu lakini ukweli ni kwamba kuna kanisa moja tu takatifu la mitume. Hizo zingine ni taasisi tu za ujasiriamali wa biblia
Mathayo 16:18Sasa apa anaebisha ni mimi ama ni wewe
Ww unajiongelea bila maandiko yoyote
Wapi Mungu alisema hayo??
Biblia inasema wao ni vipofu na wapo uchi na hata hawajui
Watabisha mpaka asubuh wakibishana na biblia wanayoibeba
Ukristo ulianza kabla ya uromanBiblia ni mkusanyiko wa vitabu. Na hivyo vitabu vilikuwepo kabla ya Katoliki.
Hivyo, siyo kweli kwamba Katoliki ni mmiliki halisi
Hata kama hupendi ila huyo ndiye Pope wa kwanza wa Roman CatholicWapi kwenye maandiko petro alikuwa papa
Upapa haupo kwenye biblia nzima
Petro hajawahi hata kukanyaga vatican
Unadhani ungemfanya petro awe ndondocha wa sala za wafu
Ama kusali rozali
Ama kumuomba bikira mariam
Ama kuteuliwa kwa moshi
Ni ushetani.
Na mungu atawahukumu kwa kumfanya
Mtakatifu wake mpagani.
Petro alioa na mkewe Bwana yesu alienda kumponya alipoumwa
Unataka useme alikuwa pope wenu
Mathayo 26:18Mathayo 26:18
Sikuwahi kujua kumbe warumi ndio wapinga Kristo. Sasa si uwaache hao warumi wapambane na hali zao wewe wanakuumiza nini?Roman ndio wapagani namba moja duniani.
Na ndie mpinga kristo kwakupinga biblia anayosema anaiamini.
Na kufanya ibada za sanamu ambazo Mungu alizikataza.
Na kupotosha ulimwengu mzima kwa mafundisho yake
Yeye ni kahaba mkuu mama wa.makahaba aliezaa mabinti(waprostentant) wakufanana nae
Na papa ndie mwenye ile 666 kwakuwa ndilo jina lake lipokwenye kipaji cha uso wake
Biblia inasema ulimwengu mzima umelewa kwa uasherati wake
Na wakuu wa nchi pia
Ni ufalme ndani ya ufalme
Taifa ndani ya taifa
Amechanganyikiwa kwa dhahabu na utajiri wake
Akajipamba kwa mavazi ya dhambarau
Mji wa barabara za dhahabu
Wao wapo radhi wapingane na biblia ili kitetea Mafundisho yao.
Nafsi zao zipo kifungoni
Zinajua ukweli lakini haziwezi kuufuata
Wakajiwekea mtu mmoja mkuu wakambusu miguu.
Na sala za waliokufa badala ya roho mtakatifu kanisani.
Huo ni upagani na ndio mana huwezi kuuthibitisha kwenye bibliaHata kama hupendi ila huyo ndiye Pope wa kwanza wa Roman Catholic
Kabla ya Yesu hajaanza kufundisha alikuwa anasali dini ipi?Wewe bishana tu lakini ukweli ni kwamba kuna kanisa moja tu takatifu la mitume. Hizo zingine ni taasisi tu za ujasiriamali wa biblia
Ni 16:18Mathayo 26:18
[18]Akasema, Enendeni mjini kwa mtu fulani, mkamwambie, Mwalimu asema, Majira yangu ni karibu; kwako nitafanya Pasaka pamoja na wanafunzi wangu.
Sasa hii ndo imeongelea nini kuhusu petro kuwa papa
Huwezi kumpata mtu mmoja kwenye biblia aliepewa cheo cha papa ama baba mtakatifu
Na yesu alisema msimuite mtu yyt baba wa namna io enyi wanafiki
Sasa kama makanisa mengine yamekua formed miaka zaidi ya elfu baada ya ukatoliki nani aliyejitenga hapoHuo ni upagani na ndio mana huwezi kuuthibitisha kwenye biblia
Utasema sema tuu kutetea upagani
1 Timotheo 4:1-2
[1]Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani;
[2]kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe;
[3]wakiwazuia watu wasioe, na kuwaamuru wajiepushe na vyakula, ambavyo Mungu aliviumba vipokewe kwa shukrani na walio na imani wenye kuijua hiyo kweli.
Mnalazimisha watu wasioe ili wawe mapadri
Upagani na ushetan
Biblia inasema upadri na upapa ni ushetani na ilo mnalijua mioyoni mwenu kuwa si neno la Mungu na Mungu alikataza