Ndiyo hapo Yesu alipomkabidhi kanisa Mtume Petro“Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. ”
— Mathayo 16:18 (Biblia Takatifu)
Hakua na dini yeye alikuja kwa ajili ya wote na baada yake ndio ukatokea Ukristo ambao ni wafuasi wa Yesu Kristo.Alikuwa dini gani
Kanisa lilianza siku ya pentekostYesu hakuwa na dini. Dini imeanza siku ya Pentekoste pale waliponena kwa lugha (Matendo: 2) ndipo kanisa lilipoanza
Yani Yesu akajiambia mwenyewe kua yeye ni mwamba na juu yake atajenga kanisa lake? Kama wewe ni mkristo, Soma biblia ukiwa umemuomba Roho Mtakatifu ili akufunulie uielewe
Haya aliyafanya akiwa wapi?Hakua na dini yeye alikuja kwa ajili ya wote na baada yake ndio ukatokea Ukristo ambao ni wafuasi wa Yesu Kristo.
Lakin Yesu hakumwabudu mama yake wala hakuagiza wanafunzi wake wafanye hivyo...Wakatoliki ndiyo UKRISTU wenyewe na UKRISTU ni UKATOLIKI. Hao wengine ni WAPROSTESTANTI, ni wanakondoo waliopotea ila siku ya hukumu watarudhishwa kundini.
KAMWE usibishe utakacho elekezwa na kanisa KATOLIKI kwa kuwa ndiyo lililokuwapo wakati Yesu Kristu anaondoka siku ya Pentekoste. Yesu mwenyewe ndiye aliyemkabidhi Simon Petro wanakondoo. Matayo 16:18. Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda
Hiyo ni historia yako ya uwongo. Bakia nayo wewe na wanao. Hiwezi kubadili ukweli kwa chuki yako kwa UKATOLIKIKanisa lilianza siku ya pentekost
Dini zilikuwepo kabla ya yesu
Dhehebu la kwanza lilianza vatican
Tupe historia ya kweliHiyo ni historia yako ya uwongo. Bakia nayo wewe na wanao. Hiwezi kubadili ukweli kwa chuki yako kwa UKATOLIKI
Hujui ukichoandika. Wakatoliki HAWAMUABUDU Bikira Maria bali wanamuheshimu. Katika maombi wanamuomba AWAOMBEE kwa Mungu. Acheni upotoshajiLakin Yesu hakumwabudu mama yake wala hakuagiza wanafunzi wake wafanye hivyo...
Wakatoliki hawana hata uhusiano na Hilo jina ukristo ila wamejipachika Tu ili kutawala watu huko Roma Zamani hizo
Biblia inasema hakuna wakukuombeaHujui ukichoandika. Wakatoliki HAWAMUABUDU Bikira Maria bali wanamuheshimu. Katika maombi wanamuomba AWAOMBEE kwa Mungu. Acheni upotoshaji
Kusema wanaongeza....Hakuna kitu kama hicho.hata hivyo wakatolik, hawaamini katika biblia peke yake, wanaamini pia katika tamaduni,pia wanaweza kutunga jambo lao na ikawa hivo
mfano ubatizo wa watoto wachanga. biblia inasema unatakiwa kuamini kwanza ndo ubatizzwe wao wanasema siyo lazima
Hii hapa.Tupe historia ya kweli
Unataka kusema romani ilianza kabla ga siku ya pentekoste sio
Unaelewa unachokiandikaHii hapa.
Roman Catholic imeanza Karne ya kwanza na Kiongozi wa kanisa akiwa Mt Petro (Mathayo 16:18). Anahesabiwa kama first pope
Kulikuwa hakuna dhehebu jingine hadi mwaka 1054 wakati the Great schism ambapo kanisa la Mashariki (Orthodox) lilijitenga kutoka kwenye Ukatoliki. Catholic ikabakia Vatican na Orthodox ikawa na makao yake makuu Constatinople (Istanbul ya sasa)
Then mwaka 1521 Martin Luther alijitenga na Ukatoliki.
Anglican ilitokea mwaka 1575 baada ya Mfalme Henry VIII naye akaanzisha Anglican church
Hellen White mwaka 1844 naye akaanzisha SDA
Nao mapentekoste wakatokea kipindi cha great depression mwanzoni mwa karne ya 19
Sasa na wewe nitajie kidhehebu chako ni kipi! Kama siyo nyie mnasali kwa MWAMPOSA
Nimeamua Kukuchukulia Kama Mpuuzi mmoja Mpaka pale utakapoproove Ulichokuwa unasema kuwa Nilidanganya..
Shukrani kwa andiko lako refu Lisilokuwa na maana yoyote La kucopy na Kupaste..
Ushauri wangu wa mwisho kabisa Jitahidi Utafute sana Elimu maana huna hata kidogo
[/QUOTE
Elimu ipi?.
Ya unajimu na nyota,miti shamba,utabibu ama ya quantum physics?.
Turud kwenye swali langu,kama huwezi jibu sema.
Ni kwa namna hipi unataka nikuamini wewe na sio Muhammad ama Bi Aisha?.
Sira ni Apocrypha book, hujui unachokiandika.Ni tofauti mkuu wakatoliki walikubali na vitabu vingine ambavyo vinakubaliana na mafundisho yao mengine ya uongo kama kuwaombea wafu, ibada za sanamu, unywaji wa pombe nk ambayo kwenye vitabu vilivyokubaliwa na wengine vile 66 haviyakubali ndiyo utaona biblia yao ina vitabu kama wamakabayo, sira nk
Wale kina Mwamposa Yale siyo Makanisa (Churches) bali ni huduma (Ministries).Hii hapa.
Roman Catholic imeanza Karne ya kwanza na Kiongozi wa kanisa akiwa Mt Petro (Mathayo 16:18). Anahesabiwa kama first pope
Kulikuwa hakuna dhehebu jingine hadi mwaka 1054 wakati the Great schism ambapo kanisa la Mashariki (Orthodox) lilijitenga kutoka kwenye Ukatoliki. Catholic ikabakia Vatican na Orthodox ikawa na makao yake makuu Constatinople (Istanbul ya sasa)
Then mwaka 1521 Martin Luther alijitenga na Ukatoliki.
Anglican ilitokea mwaka 1575 baada ya Mfalme Henry VIII naye akaanzisha Anglican church
Hellen White mwaka 1844 naye akaanzisha SDA
Nao mapentekoste wakatokea kipindi cha great depression mwanzoni mwa karne ya 19
Sasa na wewe nitajie kidhehebu chako ni kipi! Kama siyo nyie mnasali kwa MWAMPOSA
Sio kweli upentecoste ulianzia Israel siku ya Pentecoste soma BibliaNao mapentekoste wakatokea kipindi cha great depression mwanzoni mwa karne ya 19
Sio kweli kuwa yote yalijitenga na ukatolikiSasa kama makanisa mengine yamekua formed miaka zaidi ya elfu baada ya ukatoliki nani aliyejitenga hapo
Kanisa la kwanza lililoanzishwa na Mtume Petro ni Roman Catholic, periodUnaelewa unachokiandika
Hujui ata roman ilianza 300bk
Yan unataka useme petro alikuwa papa
Wapi io imeandikwa
Petro hajawah kukanyaga vatikan yenu maisha yake yote
Na asingeweza kushiriki uchafu wa ibada zenu za kipagani
Andiko ilo halijasema alikuwa padri ila mm ntakuonyesha andiko linalosema petro hakuwa na hayo madhehebu yenu wala.mtume wowote
Kumbuka kanisa na dhehebi ni tofaut
Kanisa linafata maandiko tuu
Dhehebu halijali atakama si maandiko ila walikaa wakapitisha kwao ni safi
Kanisa la kwanza lilianza jerusalem sio vatikan
Ila dhehebu la kwanza ndo lilianza uko kwenye mji wa shetani vatican
Chochote unachokisema dhibitisha na maandiko
Ukiongeza kitu chochote ama ukapunguza kwenye maandiko ukafanya biblia iseme kitu ambacho hakikusema maandiko yansema
Utaongezewa mapigo yale ya ufunuo
Na ukipunguza utaondolewa sehem yako mbingun
Tofautisha Pentekoste tukio na Pentekoste kanisaSio kweli upentecoste ulianzia Israel siku ya Pentecoste soma Biblia