Biden: Neanyahu longo longo za nini? "Simamisha vita!"

Biden: Neanyahu longo longo za nini? "Simamisha vita!"

Uzuri unachongea na kinachoendelea ni tofauti netanyahu kanyaga twende sio muda wa maneno huu.

Haipo shaka kuwa wewe na Natenyahu mnaugulia Maumivu mno:

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
 
Nimekujibu sema hujaelewa.

Kwani watanzania wangapi wapo Marekani lakini hawajawahi kutaka hiyo Marekani iwe taifa la watanzania?.
Israel wapo kila pahala hapa duniani na wanaishi kwa amani. Iweje watake nchi ya Palestina ibadilishwe iwe nchi ya Israel? Hapo ndipo utata uliopo.
Cool down.
Hatuongelei wao kuitaka nchi. Tunaongelea uhalali wa kutambulika kama wakazi wa nchi hiyo. Ni vitu viwili tofauti bro.
 
Mbona unaruka ruka tu.
Tumia hesabu kama mfano.
Kama umesoma swali na kulielewa, nimesema umekuta majibu 6 tofauti, wewe utathibutisha vipi jibu sahihi kati ya hayo 6?

Kama jibu ni moja je ukimpa mtoto wa darasa la 1 swali 1+1 akasema ni 1
Na mwingine akasema ni 2, nani atakuwa sahihi?

Ndio nikakujibu
Historia sio somo la Sayansi. Wapi huelewi.

Tunajadili ishu ya kihistoria. Ni lazima ufuate misingi ya Historia.
Sasa hisabati jibu huwa ni moja bila kujali upo wapi.
 
Cool down.
Hatuongelei wao kuitaka nchi. Tunaongelea uhalali wa kutambulika kama wakazi wa nchi hiyo. Ni vitu viwili tofauti bro.

Nchi ipi?
Kwani unajua huo mgogoro wao unahusu kutambuliwa kama wakazi au ni mgogoro wa ardhi?
Unaelewa chanzo cha hiyo vita mkuu au unahitaji elimu?
 
Ndio nikakujibu
Historia sio somo la Sayansi. Wapi huelewi.

Tunajadili ishu ya kihistoria. Ni lazima ufuate misingi ya Historia.
Sasa hisabati jibu huwa ni moja bila kujali upo wapi.
Ukipewa swali katika historia, useme vasco da gama alikuwa ni mzaliwa wa wapi, wewe ukawa hujui ukaenda google kutafuta jibu.

Google ikaleta majibu 6 tofauti, wewe utathibishaje jibu sahihi kati ya hayo 6?
 
Wakanani ndio wapelestina wa sasa ama wako wapi saivi

Alifahamu mkuu.
Ila ninachoeleza kuwa Israel kiasili hapo sio kwao.
Na hiyo sio mara ya kwanza kufanya hiyo movement.
Movement ya kwanza ilikuwa Babu yao Ibrahim.
Movement ya pili ilikuwa ya Musa, zipo nyingi

Tulio nayo iliratibiwa na kukamilika 1947/8
 
Wewe unaamini Israel inapigana na Hammas?
Basi unasafari ndefu sana kwenye mambo ya kiulimwengu.

1. Imani tena ndugu? Imani ya nini? Hakuna issue ya Imani hapa Bali mlowezi aachie nchi ya watu:

IMG_1567.jpg

2. ZIngatia adui wa adui yetu ni mwenzetu.

3. Anapambana na Palestina au HAMAS, hilo mtajiju; sipendi kukuvesha Imani wala itikadi kama wajinga mnavyopenda kufanya ila yakiwakuta mnaruka kimanga.
 
Nchi ipi?
Kwani unajua huo mgogoro wao unahusu kutambuliwa kama wakazi au ni mgogoro wa ardhi?
Unaelewa chanzo cha hiyo vita mkuu au unahitaji elimu?
Tatizo lako unakimbilia conclusion kabla ya mwanzo.
Mimi niko kwenye mfano wa mhindi kuhamia Tz na kuzaliaana hapa, je atakuwa na haki ya kutambuliwa kama Mtanzania?

Jibu kuhusu mfano huo kwanza.
Swala la chanzo tutafika tu, naamini kuna unayoyajua mimi siyajui na mimi ninayo mengi huyajui kuhusu huo mgogoro.
 
Kama wachokoza walianza 1947 je october 7 hamas walifanya nini? Ulitegemea israel wangefanyaje kwa hili tukio?

1. Waliendelea na vita. Labda mwenzetu una taarifa zozote tokea 1947, kama vita ilikwisha lini?

IMG_1567.jpg

2. Israel alichotakiwa kufanya 1947 ni kIle kile na kipo hadi Leo, kuondoka kwenye maeneo ya uvamizi kadhia zote ziishe.

3. Au wewe ulitaka wapalestina wafanyeje?
 
Ukipewa swali katika historia, useme vasco da gama alikuwa na mzaliwa wa wapi, wewe ukawa hujui ukaenda google kutafuta jibu.

Google ikaleta majibu 6 tofauti, wewe utathibishaje jibu sahihi kati ya hayo 6?

Hapa umeuliza Vizuri.

Nitasoma kila nadharia kisha yenye hoja nzito ndio nitaiona sahihi. Ndio Historia iko hivyo.

Mfano, Yesu alizaliwa kwenye mtende(Quran )au Hori la ng'ombe (Biblia)?
Nitaangalia mambo mengi ikiwemo mwandishi, muda aliyoandika, asili ya muandishi, mtazamo, msimamo, falsafa yake, uhusiano wa mwandishi na anachoaimulia
 
Tatizo lako unakimbilia conclusion kabla ya mwanzo.
Mimi niko kwenye mfano wa mhindi kuhamia Tz na kuzaliaana hapa, je atakuwa na haki ya kutambuliwa kama Mtanzania?

Jibu kuhusu mfano huo kwanza.
Swala la chanzo tutafika tu, naamini kuna unayoyajua mimi siyajui na mimi ninayo mengi huyajui kuhusu huo mgogoro.

Kama waisraeli wangetaka kutambuliwa kama wapalestina kwenye taifa la Palestina pasingekuwepo na vita.

Wewe ndio unashindwa kuelewa.

Hakuna mpalestina ambaye hataki waisraeli wasiwe Palestina. Ila wapelestina wanakataa waisrael kuanzisha taifa lao kwenye ardhi ya Palestina
 
Hapa umeuliza Vizuri.

Nitasoma kila nadharia kisha yenye hoja nzito ndio nitaiona sahihi. Ndio Historia iko hivyo.

Mfano, Yesu alizaliwa kwenye mtende(Quran )au Hori la ng'ombe (Biblia)?
Nitaangalia mambo mengi ikiwemo mwandishi, muda aliyoandika, asili ya muandishi, mtazamo, msimamo, falsafa yake, uhusiano wa mwandishi na anachoaimulia
Hilo jibu ungeweza litoa hata kwa swali lile la hesabu.
Kama ndivyo, kwenye ile link ya article uliyotoa mtandaoni, umethibitishaje kuwa mwandishi amesema kulingana na historia ya kweli ilivyo na sio mawazo yake?

Tunapeana elimu tu.
 
Kama waisraeli wangetaka kutambuliwa kama wapalestina kwenye taifa la Palestina pasingekuwepo na vita.

Wewe ndio unashindwa kuelewa.

Hakuna mpalestina ambaye hataki waisraeli wasiwe Palestina. Ila wapelestina wanakataa waisrael kuanzisha taifa lao kwenye ardhi ya Palestina
Swali langu umelielewa ila umeamua tu kuzunguka mbuyu.
Naongelea mhindi kuja Tz unajibu mwisrael na mparestina.
Ok. Maybe next time tutaelewana.
 
Hilo jibu ungeweza litoa hata kwa swali lile la hesabu.
Kama ndivyo, kwenye ile link ya article uliyotoa mtandaoni, umethibitishaje kuwa mwandishi amesema kulingana na historia ya kweli ilivyo na sio mawazo yake?

Tunapeana elimu tu.

Nisingeweza kutoa jibu kwenye swali la kwanza kwa sababu sayansi inadili zaidi na Fact(Ukweli wa dhahiri) wakati Historia inadili zaidi na nadharia yenye hoja nzito.

Kumbuka Historia inaweza kupotoshwa na kufanywa ikawa kwéli. Ila sayansi haiwezikani kupotoshwa.
1+1= 2 dunia nzima tangu dunia inaumbwa mpaka mwisho wake.
 
Mimi naongea kilichopo wengi wanaongelea ushabiki ikiwepo wewe.
Wewe mwenyewe unashindwa kuelewa Marekani na wazuñgu wanamchango gani kwenye hiyo vita

1. Hata mimi naongelea kilichopo.

2. Nukuu zote nimeweka zilivyo kama wahusika walivyosema.

3. Kisichoeleweka sikijui labda kama kuna anayesema wahusika hakusema hivyo?!
 
1. Hata mimi naongelea kilichopo.

2. Nukuu zote nimeweka kama wahusika walivyosema.

3. Kisichoeleweka sikujui labda kama Kuna anayesema wahusika hakusema hivyo?

Mtu kusema haimaanishi ni kweli.
Hao Marekani wao wanasema kila siku lakini haohao ndio hutoa military aids kwa hao matajiri. Hicho ndio ninachokuambia kuwa wanapumbaza wajinga sasa sitaki kuamini na wewe upo kundi hilo.
 
Nisingeweza kutoa jibu kwenye swali la kwanza kwa sababu sayansi inadili zaidi na Fact(Ukweli wa dhahiri) wakati Historia inadili zaidi na nadharia yenye hoja nzito.

Kumbuka Historia inaweza kupotoshwa na kufanywa ikawa kwéli. Ila sayansi haiwezikani kupotoshwa.
1+1= 2 dunia nzima tangu dunia inaumbwa mpaka mwisho wake.
Mfano wangu nilimaanisha utatumia njia gani kuthibitisha nani katoa jibu sahihi ilihali wewe huna uhakika nani kajibu sahihi.

Umepata shida kujibu kwa vile unatumia akili kubwa sana kutaka kujibu swali dogo sana
 
Back
Top Bottom