- Thread starter
- #61
Uzuri unachongea na kinachoendelea ni tofauti netanyahu kanyaga twende sio muda wa maneno huu.
Haipo shaka kuwa wewe na Natenyahu mnaugulia Maumivu mno:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri unachongea na kinachoendelea ni tofauti netanyahu kanyaga twende sio muda wa maneno huu.
Cool down.Nimekujibu sema hujaelewa.
Kwani watanzania wangapi wapo Marekani lakini hawajawahi kutaka hiyo Marekani iwe taifa la watanzania?.
Israel wapo kila pahala hapa duniani na wanaishi kwa amani. Iweje watake nchi ya Palestina ibadilishwe iwe nchi ya Israel? Hapo ndipo utata uliopo.
Mbona unaruka ruka tu.
Tumia hesabu kama mfano.
Kama umesoma swali na kulielewa, nimesema umekuta majibu 6 tofauti, wewe utathibutisha vipi jibu sahihi kati ya hayo 6?
Kama jibu ni moja je ukimpa mtoto wa darasa la 1 swali 1+1 akasema ni 1
Na mwingine akasema ni 2, nani atakuwa sahihi?
Cool down.
Hatuongelei wao kuitaka nchi. Tunaongelea uhalali wa kutambulika kama wakazi wa nchi hiyo. Ni vitu viwili tofauti bro.
Yamekukuta unayoyaelekeza kwa wengine siyo ndugu?
Ukipewa swali katika historia, useme vasco da gama alikuwa ni mzaliwa wa wapi, wewe ukawa hujui ukaenda google kutafuta jibu.Ndio nikakujibu
Historia sio somo la Sayansi. Wapi huelewi.
Tunajadili ishu ya kihistoria. Ni lazima ufuate misingi ya Historia.
Sasa hisabati jibu huwa ni moja bila kujali upo wapi.
Kama wachokoza walianza 1947 je october 7 hamas walifanya nini? Ulitegemea israel wangefanyaje kwa hili tukio?Wachokozi walichokoza tokea 1947 huko. Wajomba ndiyo hao wanaishia, wamebaki wajomba uchwara kina Moisemusajiografii, MK254 na wenzao pande za Buza huko.
Wakanani ndio wapelestina wa sasa ama wako wapi saivi
Wewe unaamini Israel inapigana na Hammas?
Basi unasafari ndefu sana kwenye mambo ya kiulimwengu.
Tatizo lako unakimbilia conclusion kabla ya mwanzo.Nchi ipi?
Kwani unajua huo mgogoro wao unahusu kutambuliwa kama wakazi au ni mgogoro wa ardhi?
Unaelewa chanzo cha hiyo vita mkuu au unahitaji elimu?
Kama wachokoza walianza 1947 je october 7 hamas walifanya nini? Ulitegemea israel wangefanyaje kwa hili tukio?
Ukipewa swali katika historia, useme vasco da gama alikuwa na mzaliwa wa wapi, wewe ukawa hujui ukaenda google kutafuta jibu.
Google ikaleta majibu 6 tofauti, wewe utathibishaje jibu sahihi kati ya hayo 6?
Tatizo lako unakimbilia conclusion kabla ya mwanzo.
Mimi niko kwenye mfano wa mhindi kuhamia Tz na kuzaliaana hapa, je atakuwa na haki ya kutambuliwa kama Mtanzania?
Jibu kuhusu mfano huo kwanza.
Swala la chanzo tutafika tu, naamini kuna unayoyajua mimi siyajui na mimi ninayo mengi huyajui kuhusu huo mgogoro.
Hilo jibu ungeweza litoa hata kwa swali lile la hesabu.Hapa umeuliza Vizuri.
Nitasoma kila nadharia kisha yenye hoja nzito ndio nitaiona sahihi. Ndio Historia iko hivyo.
Mfano, Yesu alizaliwa kwenye mtende(Quran )au Hori la ng'ombe (Biblia)?
Nitaangalia mambo mengi ikiwemo mwandishi, muda aliyoandika, asili ya muandishi, mtazamo, msimamo, falsafa yake, uhusiano wa mwandishi na anachoaimulia
Swali langu umelielewa ila umeamua tu kuzunguka mbuyu.Kama waisraeli wangetaka kutambuliwa kama wapalestina kwenye taifa la Palestina pasingekuwepo na vita.
Wewe ndio unashindwa kuelewa.
Hakuna mpalestina ambaye hataki waisraeli wasiwe Palestina. Ila wapelestina wanakataa waisrael kuanzisha taifa lao kwenye ardhi ya Palestina
Hilo jibu ungeweza litoa hata kwa swali lile la hesabu.
Kama ndivyo, kwenye ile link ya article uliyotoa mtandaoni, umethibitishaje kuwa mwandishi amesema kulingana na historia ya kweli ilivyo na sio mawazo yake?
Tunapeana elimu tu.
Mimi naongea kilichopo wengi wanaongelea ushabiki ikiwepo wewe.
Wewe mwenyewe unashindwa kuelewa Marekani na wazuñgu wanamchango gani kwenye hiyo vita
1. Hata mimi naongelea kilichopo.
2. Nukuu zote nimeweka kama wahusika walivyosema.
3. Kisichoeleweka sikujui labda kama Kuna anayesema wahusika hakusema hivyo?
Biden mnafiki tu anaona uchaguz umekaribia
Mfano wangu nilimaanisha utatumia njia gani kuthibitisha nani katoa jibu sahihi ilihali wewe huna uhakika nani kajibu sahihi.Nisingeweza kutoa jibu kwenye swali la kwanza kwa sababu sayansi inadili zaidi na Fact(Ukweli wa dhahiri) wakati Historia inadili zaidi na nadharia yenye hoja nzito.
Kumbuka Historia inaweza kupotoshwa na kufanywa ikawa kwéli. Ila sayansi haiwezikani kupotoshwa.
1+1= 2 dunia nzima tangu dunia inaumbwa mpaka mwisho wake.