ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #221
Haya upo sahihi umefurahi 🤗Logically unaweza kudhani uko sawa, ila uhalisia unakupinga. Mwenye jukumu la kutunza bikira yako ni wewe
Dhana ya kufikiri, your life's decision isn't your own is insane. Maamuzi juu ya mwili wako ni yako pekee, mpaka unafikia hatua ya ushawishi wa na mwanaume ni kwamba ulikubali subconsciously kwanza. Hakuna demu anaye chapwa kwa bahati mbaya
Angalia hata hapa utaona jinsi wanaanika upuuzi wao bila haya usoniKuna wanaume wapuuzi sn
Eeeh nyuma ya ule upuuzi kuna wanaume nyumaSasa kwa mfano wale madogo wa juzi, waliojipost na kujinadi "ficheni mabwana zenu ndo tushavamia" hao nao utawalaumu wanaume?
Unaniuliza hili swali mimi?Utajuaje mwanaume kajitunza?
Umeona nataka kuhalalisha au nyie ndio mnahalalisha kua nyie kuwalala wasichana wadogo ni sawa kama wameshindwa kukataa?Usitafute excuse kutaka kuhalalisha jambo, kila mtu kwa nafasi yake awajibike mzazi awajibike kwenye malezi na mtoto mwenye hiyo tunu ndio anatakiwa yeye kwa akili aliyopewa aitumie kwenye kujizuia mpaka ndoa.
Waalaykum Salaam yakhe buheri weye 😊Asalamaleko mtumishi wa Mungu 😎
Hata sio kobazi peke yao wala nini 😅Hizo ni akili za kobazi tena wale wenye IQ za Stone Age,hakuna mwanaume mwenye akili anataka au anafikiria mwanamke mwenye bikra
Mmeungana lakini hakuna hoja hata moja pekee yangu nawanyoosha na nina uhakika bakora zangu zinawaingia kwa uzuriRoboti la kike hilo !
Wengi wanaolilia bikra za wanawake hawajawahi kukutana nazo na hawajui shughuli yake.WANAUME, NAWAITA NJOOENI KWENYE JAMVI
ANGALIZO: Hapa ukija, njoo na hoja, usije na hisia zako
UTANGULIZI :Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya wanaume wakisema mwanamke asiye na bikra hastahili kuolewa hastahili kutolewa mahari, abebwe mzobe mzobe mpaka ndoani
Ila nina swali moja kwa hawa wanaume wenye mtazamo huu: Kwani nani anayeondoa bikra ya mwanamke?
Si mwanaume naye anashiriki katika tendo hilo?
Sasa kwanini baadhi yenu mna nguvu nyingi za kuwananga wanawake wasio na bikra, lakini hamna nguvu hizo hizo za kuzungumzia wajibu wa wanaume wanaowashawishi na kuwatumia wasichana wadogo kingono?
Nasema hivyo kwa sababu kuna wasichana wanaoingia kwenye mahusiano ya kingono wakiwa bado wadogo, hawajakomaa vya kutosha kiakili na kihisia
Baadhi yao hudanganywa, hushawishiwa kwa ahadi mbalimbali au hutumiwa na watu wazima wanaotambua vizuri wanachokifanya
Mwisho hujikuta wamepoteza usichana wao
Cha kushangaza ni kwamba, mwanaume anaweza kushiriki katika mazingira yaliyosababisha mwanamke kupoteza bikra halafu baadaye akageuka na kumdharau mwanamke huyo kwa sababu hiyohiyo
Yaani wewe mwanaume ambae hukujitunza ambae unajua kila sample ya kei za wanawake
Unapata wapi nguvu ya kusema nataka mwanamke bikra?
Kwa usafi upi hasa ulionao?
Hao uliwachezea unataka nani ale makombo yako wewe unatafuta fresh?
Nimeingia mtandaoni kutafuta hali ya ukatili kingono kwa wasichani wenye umri mdogo
Kwa mujibu wa utafiti wa kitaifa wa Tanzania wa mwaka 2024 kuhusu ukatili dhidi ya watoto na vijana (VACS) asilimia 8.4 ya wanawake waliohojiwa wenye umri wa miaka 18–24 waliripoti kufanyiwa ukatili wa kingono kabla ya kufikisha miaka 18
Huu ni utafiti tu ambao wanawake wengine huogopa kufunguka
Lakini naamini wapo wengi zaidi na tunaona kesi nyingi hata hazipelekwi kwenye madawati huishia kumalizwa kwa ngazi ya familia
Wote tunajua haya mambo yapo tena hufanywa na watu wakaribu sana kwenye familia wale wa kuaminiwa na sio watu tu ni Wanaume wenzenu au hata nyinyi wenyewe 📌
Naomba nieleweke sio kwamba wanaume wote wako hivi. La hasha!
Kuna wanaume wanaoheshimu wanawake, wanaolinda watoto na wanaopinga kabisa vitendo hivi
Hoja yangu ni kwa wale wanaume wanaotaka mwanamke awe bikra wakati wa ndoa, lakini hawataki kuzungumzia wajibu wa mwanaume katika kulinda heshima na usalama wa wasichana
Hakuna bikra itatoka bila mwanaume au tuseme baiskeli?
Wanaume kwanini msianze kuhamasishana wenyewe kwa wenyewe kufunga zipu zenu na kuacha kurubuni wasichana kwenye umri mdogo?
Hivi hamuoni kua nyie ndio chanzo kikubwa?
Mwisho; Kama bikra ni kigezo cha thamani ya mwanamke, je thamani ya mwanaume anayeshiriki katika tendo hilo inapimwaje?
Kama mwanamke anatakiwa kuwajibika kwa historia yake ya kimapenzi, je, mwanaume naye hapaswi kuwajibika kwa matendo yake?
Na kama kweli tunataka kupunguza tatizo hili, kwanini tusianze kwa kuhamasisha heshima, uwajibikaji, kutowadanganya wasichana na kutowatumia watoto kingono?
MWISHO WA SIKU, SI UNAWEZA KUMDHARAU MTU KWA JAMBO AMBALO WEWE MWENYEWE ULICHANGIA KULITOKEA?
ShesRise_1 ✋️
Na hiki ndio kinawatesa mwisho wa siku wanashikwa na hasira na kuzishusha kwa wanawake huku wakiacha wanaume ambao ndio hushiriki kuzitoaWengi wanaolilia bikra za wanawake hawajawahi kukutana nazo na hawajui shughuli yake.
Wanazililia kwa fantasy tu.
Hujaelewa hata nilicho kiandika? So mpaka huyo binti analalwa mzazi wake yupo wapi? Yeye mwenyewe je? Kwenye uwajibikaji hakuna mtoto wala mkubwa wote mnatakiwa kuwajibika.Umeona nataka kuhalalisha au nyie ndio mnahalalisha kua nyie kuwalala wasichana wadogo ni sawa kama wameshindwa kukataa?
Hapo anaehalalisha ni nani?
Nimeelewa sana huwezi kumlaumu binti mdogo ambae bado hajakomaa kiakili et kashindwa kukataaHujaelewa hata nilicho kiandika? So mpaka huyo binti analalwa mzazi wake yupo wapi? Yeye mwenyewe je? Kwenye uwajibikaji hakuna mtoto wala mkubwa wote mnatakiwa kuwajibika.
Dunia haina huruma ndioDunia haina huruma na haitokuja kuwa na huruma ,lea mwanao mfundishe mjini kuna vya watu,awe mvumilivu amjue Mungu na atumie akili yake kufanya maamuzi juu ya mwili wake,kwani yeye ndiye mwenye control na maamuzi ya bikra yake.
Kuna jamaa mmoja anasema yeye hataki bikra, anataka mwanamke mwenye uzoefu. Bikra wengi hawana uzoefu, atafanya naye nini?Na hiki ndio kinawatesa mwisho wa siku wanashikwa na hasira na kuzishusha kwa wanawake huku wakiacha wanaume ambao ndio hushiriki kuzitoa
Mpaka kufikia hatua wao hawaambulii kitu
Wanaishia kuja kujiliza huku
Ni hivi dada yaani apo haijalishi hao mabinti wamekua wakidanganywa na wanaume au kurubuniwa kwa kiasi gani kinachotakiwa mabinti kwanza wawe na misimamo hiyo itasaidia Sana mabinti kujiepusha na Hilo janga.Huo uhuni wanafanya na akina nani?
Huyo jamaa yako anapenda michezo 😅😅Kuna jamaa mmoja anasema yeye hataki bikra, anataka mwanamke mwenye uzoefu. Bikra wengi hawana uzoefu, atafanya naye nini?
Wanaume wenzio wataka bikra huku wao wenyewe bikra hawana I wonderNilicheka sana, lakini nikaona mantiki yake.
This bikra thing is just an old stupid obsession
Na hawa ndio hushawishi watoto wa shule ya msingi ili wapate bikraNa wanaoiendekeza sana hii obsession ndiyo wanavamia watoto wa shule.
Sasa unavyosema mimi ninavyo wachokonoa.....? Uliniona wapi na fanya hivyo?Nimeelewa sana huwezi kumlaumu binti mdogo ambae bado hajakomaa kiakili et kashindwa kukataa
Sijui wazazi wake walikua wapi kwani
wewe unatembea na binti zako kila wanapoenda ?
Lawama zaidi ni kwa mwanaume mharibifu mwenye tamaa anaetumia udhaifu wa mabinti wadogo kuwaingiza mkenge
Punguzeni u selfish wanaume
Dunia haina huruma ndio
Lakini wewe unavyochokonoa mabinti wadogo wa watu nature lazima itasema na wewe
Hapana kinachotakiwa ni nyie wanaume kuwalinda mabinti wadogo ambao bado hawana uwezo mkubwa kuchambua mamboNi hivi dada yaani apo haijalishi hao mabinti wamekua wakidanganywa na wanaume au kurubuniwa kwa kiasi gani kinachotakiwa mabinti kwanza wawe na misimamo hiyo itasaidia Sana mabinti kujiepusha na Hilo janga.
Huyo ni tayari alishaharibiwa na wanaume wenzioMimi wakati nipo fomu 5 kuna Binti alikua fomu4 mtaani kwetu aliniomba niwe namfundisha fundisha kwaajili ya maandalizi ya mtihani wa Necta lakini Cha kushangaza wakati nipo kwenye kumfundisha siku moja kaondoka akaniachia barua mezani kuja kuisoma alikua ananitongoza kabisa yule Binti sasa Hawa mabinti unasema wanakua na fikra ndogo huwa ujasiri mpaka wa kutongoza wanaume wanautoa wapi kwaiyo apo mabinti ndio wanatakiwa kujitahidi kuwa na misimamo zaidi itasaidia Sana.
Wewe ni mtoto wa kike najua unachosema unakielewa vzr na mimi sikupingi kuna wanaume wengi tuh wanawadanganya Hawa mabinti lakini Kama mabinti wakiamua kukaza kuwa na misimamo itasaidia zaidi yaani apo mabinti asilimia60 mabinti ni wenyewe Mimi nakwambia.Hapana kinachotakiwa ni nyie wanaume kuwalinda mabinti wadogo ambao bado hawana uwezo mkubwa kuchambua mambo
Kama kweli mnataka bikra fungeni hizo zipu zenu hakuna longo longo bana
Huyo ni tayari alishaharibiwa na wanaume wenzio
Mdogo wangu amka kutoka usingizi, the world ain't fairUnaniuliza hili swali mimi?
Au wewe ndio ujibu kua tutakujuaje kama umejitunza ili upewe bikra kihalali?